CHADEMA haya ndiyo mataifa mnaomba yaiwekee Tanzania vikwazo vya kiuchumi

Mkuu, umesema vizuri sana hapo. Kama nilivyosema kwenye post yangu hapo juu, Tanzania sasa hivi ni strategically hot spot kwa waamerika na wachina. Sasa hivi wote wako tayari kum-'throw under the bus' mtu yeyote ili interests zao zifanikiwe.
Waamerika wakisikia 'wachina' wanataka kujenga bandari bagamoyo, wanachofikiria ni military base, hilo hawawezi kulikubali hata kidogo!
Nimekusoma hapo unaponielekeza nikusome, lakini unasahau pia niliyoandika kumjibu mkuu 'zitto jr' kuhusu ukombozi wetu. Hiyo ni kazi yetu, siyo kazi yao, pamoja na kwamba wao wataifanyaiwe nzito zaidi kwetu kwa kushirikiana na watesi wetu.

Hatuwezi kuwategemea wao ndio waje watuondoe kwenye kunyimwa haki kwetu.

Kuhusu CHADEMA kufanya makosa kama unavyoyaeleza hapo juu, sijui kama wewe unao uhakika wa dhamira wa mhusika (Samia) kutenda hayo unayoandika kuwa aliahidi.

Jambo la muhimu lililobaki sasa ni kutafuta haki, haya mengine ni kubabaishana tu.

Lakini niseme ukweli wangu juu ya mchango wako uliouweka hapa leo. Sijawahi kukusoma ukionyesha umakini kama ulioonyesha katika andiko hilo.
 
Jibu hoja... Matusi hayo peleka FB sio hku kwa great thinkers.
Hoja zangu zipo wazi JF ni uwanja wangu wa kujidai miaka na miaka. Moja ya utaratibu wangu namjibu mtu jinsi anavyokuja ukija kihuni hapa umefika ukija kiungwana umefika pia.
 
Masaa 96 yamepita tangu Mheshimiwa Mbowe afikishwe mahakamani na kufunguliwa mashtaka ya ugaidi lakini hakuna tamko lolote la chama.
 
Back
Top Bottom