Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,756
🤣🤣Kwa hiyo balozi anapongeza juhudi za kupambana na 'ugaidi'!
Balozi na serikali ni rafiki yetu...
Kule Ujerumani CDU ni marafiki wa TL....
🤣🤣Kwa hiyo balozi anapongeza juhudi za kupambana na 'ugaidi'!
Sasa wanang'amua kumbe marafiki zao ni 'magaidi'; kwa hiyo wanatafuta marafiki wa kweli, ambao wao ni wakadamizaji wa wananchi!🤣🤣
Balozi na serikali ni rafiki yetu...
Kule Ujerumani CDU ni marafiki wa TL....
Mtataga mabogaWanakumbi.
CHADEMA wakiongozwa na Tundu Lissu, mmeayaona mataifa ambayo mnataka Tanzania iwekewe vikwazo vya kiuchumi.
Kesi ya Mbowe ipo Mahakamani, manachoweza kufanya kwa sasa ni kuitaka Judiciarytz kusimamia sheria na haki siyo Rais Samia, kusema aachiwe. Utawala wa Sheria hautaki hivyo!
Bahati mbaya Chadema wasomi wengi wameikimbia sasa hivi chama kipo mikononi mwa wanaharakati. Hawa ndiyo wamemponza Mbowe, wamemwambia apambane na serikali wapo nyuma yake hamna hata mmoja alifika hata kituo cha polisi kumjulia hali.
Mpumbavu ni nani?
Mpumbavu ni Mtanzania yoyote anayemuamini mtu anajipambanua kama mwanaharakati za Haki za Binadamu na utawala Bora lakini harakati zake zinaelemea upande mmoja wa chama cha siasa. Kupandikiza chuki na kugawa watu matabaka ya uvyama.
View attachment 1872026
Hivi DPP si anaweza kusema hana nia tena ya kuendelea ma mashtaka? That's the back door ambayo Rais anatumia kufuta kesi. Political power overrides judiciary systemJudiciarytz kusimamia sheria na haki siyo Rais Samia, kusema aachiwe. Utawala wa Sheria hautaki hivyo!
Yes Mandela alitumia hyo strategy..... Kuparalyse serikali ili iondoke madarakani as a result of international pressure. Tatizo waTZ hatuna exposure pengine umeisikia mara ya kwanza hapa.Yaani tuwekewe vikwazo vya uchumi na wao wanaishi humu humu
Halafu wakiweka vikwazo ndio tutapata hela ya kuendeleza mchakato wa katiba mpya na kupunguza makali ya tozo?🤣🤸♂️🐒
Balozi wa Ujerumani mh.Heiss anasema "pongezi kwa serikali ya AWAMU ya 6 chini ya mh.Rais SSH kwa kuanza vyema kulijenga taifa ndani ya siku chache"......
YA NGOSWE MUACHIE NGOSWE
CHADEMA WAENDELEE KUUFUKUZA UPEPO.
#TujitokeziKuchanjwa
Aiiseee, mbona picha inaanza kuonekana kuwa ni ya kutisha hii?Mtataga mabogaView attachment 1872246
Mkuu 'zitto junior', nitakueleza kwa nini 'strategy' ya namna hiyo huwezi kuipata na kuitumia wakati huu. China.Yes Mandela alitumia hyo strategy..... Kuparalyse serikali ili iondoke madarakani as a result of international pressure. Tatizo waTZ hatuna exposure pengine umeisikia mara ya kwanza hapa.
Kumbe una amini kuwa Mbowe amebambikzwa kesi kwa sababu ya kupambana na serikali? Kama ni hivyo, hamwezi kumshinda Mbowe.Wanakumbi.
CHADEMA wakiongozwa na Tundu Lissu, mmeayaona mataifa ambayo mnataka Tanzania iwekewe vikwazo vya kiuchumi.
Kesi ya Mbowe ipo Mahakamani, manachoweza kufanya kwa sasa ni kuitaka Judiciarytz kusimamia sheria na haki siyo Rais Samia, kusema aachiwe. Utawala wa Sheria hautaki hivyo!
Bahati mbaya Chadema wasomi wengi wameikimbia sasa hivi chama kipo mikononi mwa wanaharakati. Hawa ndiyo wamemponza Mbowe, wamemwambia apambane na serikali wapo nyuma yake hamna hata mmoja alifika hata kituo cha polisi kumjulia hali.
Mpumbavu ni nani?
Mpumbavu ni Mtanzania yoyote anayemuamini mtu anajipambanua kama mwanaharakati za Haki za Binadamu na utawala Bora lakini harakati zake zinaelemea upande mmoja wa chama cha siasa. Kupandikiza chuki na kugawa watu matabaka ya uvyama.
View attachment 1872026
Tatizo kubwa la chadema sasa hivi ni kukosa strategists wanaoweza kukishauri chama kuji-adjust ili kiendane na mazingira yaliyopo.Kesi ya Mbowe ipo Mahakamani, manachoweza kufanya kwa sasa ni kuitaka Judiciarytz kusimamia sheria na haki siyo Rais Samia, kusema aachiwe. Utawala wa Sheria hautaki hivyo!
Mkuu, umesema vizuri sana hapo. Kama nilivyosema kwenye post yangu hapo juu, Tanzania sasa hivi ni strategically hot spot kwa waamerika na wachina. Sasa hivi wote wako tayari kum-'throw under the bus' mtu yeyote ili interests zao zifanikiwe.Usione hawa jamaa wanavyopigana vibega wakati huu wakifukuzia kutuletea chanjo hapa na sifa za ajabu sana unazozisikia kwa wakati huu ukadhani ni vichaa!
Wakati huu wako tayari sana kukutupa chini ya gari moshi usagike na ukandamizwaji wako kuliko kumsema mkandamizaji kama kajitoa na kukubali kujiegemeza kwao kuliko kumwacha akimbilie kwa wachina.
Mkuu, umesema vizuri sana hapo. Kama nilivyosema kwenye post yangu hapo juu, Tanzania sasa hivi ni strategically hot spot kwa waamerika na wachina. Sasa hivi wote wako tayari kum-'throw under the bus' mtu yeyote ili interests zao zifanikiwe.
Waamerika wakisikia 'wachina' wanataka kujenga bandari bagamoyo, wanachofikiria ni military base, hilo hawawezi kulikubali hata kidogo!
Likitokea hilo hizo NGOs zitakuwa zinamilikiwa na akina Mbowe, Msigwa, Lema nk. Zitageuka kuwa ni dili za kupiga pesa, na hizo pesa ili upate itabidi uanze kutafuta connections za watu wataokuwa na influence juu ya hao watoa pesa. TZ shida nyingi mzee, tatizo la TZ ni watu siyo katiba..vikwazo vitakuwa dhidi ya serikali ya CCM
..Na badala yake misaada itaelekezwa kwa NGOs.
Moja ya silaha kubwa ya Pro-Chadema JF ni matusi.Hili jibu limethibitisha kuwa1 wewe kuitwa mpumbavu unapendelewa2. Wewe nakushauri uwaeleze nduguzo wakuwaishe mirembe1 kabla hujachelewa ama1 sivyo kuungana na mwendazake ni haki yako
Kwani MBOYE kauwa viongozi wangapi ??? Je alitumia kisu au bastolo?Wanakumbi.
CHADEMA wakiongozwa na Tundu Lissu, mmeayaona mataifa ambayo mnataka Tanzania iwekewe vikwazo vya kiuchumi.
Kesi ya Mbowe ipo Mahakamani, manachoweza kufanya kwa sasa ni kuitaka Judiciarytz kusimamia sheria na haki siyo Rais Samia, kusema aachiwe. Utawala wa Sheria hautaki hivyo!
Bahati mbaya Chadema wasomi wengi wameikimbia sasa hivi chama kipo mikononi mwa wanaharakati. Hawa ndiyo wamemponza Mbowe, wamemwambia apambane na serikali wapo nyuma yake hamna hata mmoja alifika hata kituo cha polisi kumjulia hali.
Mpumbavu ni nani?
Mpumbavu ni Mtanzania yoyote anayemuamini mtu anajipambanua kama mwanaharakati za Haki za Binadamu na utawala Bora lakini harakati zake zinaelemea upande mmoja wa chama cha siasa. Kupandikiza chuki na kugawa watu matabaka ya uvyama.
View attachment 1872026
Kwa nini Mboye kaamua kuwa muuaji wa kutisha?Kesi ipo mahakamani.