CHADEMA hawastahili kupewa hata Serikali ya kijiji

[emoji28][emoji28]ao jamaa ua wana chekesha wametoka kwenye kupambana na siasa adi kwenye kupambana na mwanamziki....nilicho kiona wengi ni wafata mkumbo..aki sema kigogo wote wana follow
 
Mambo yanabadilika na kwenda kasi sana, kutoka kwa wapenda mabadiliko wa kweli mfano wa akina 𝗦𝗮𝗮 𝗡𝗮𝗻𝗲 na sasa hawa ndezi aina ya 𝗦𝗮𝗮 𝗕𝗮𝘆𝗮
kushughulikiwa na vyombo vilevile vya dola!
 
Habari wadau..!
Hawa CHADEMA ni watu wa ajabu sana,walianza na harakati za kumshusha Sabaya wamefanikiwa kumchafua kisiasa na sasa kesi ipo mahakamani.

Leo wanataka kumshusha Diamond Platinum kisa kuunga mkono CCM kwenye uchaguzi wa 2020.

Haya yote ni matokeo ya visasi yaani hawana uvumilivu wa kisiasa kabisa leo Diamond anaweza akalipa kutokana na mapenzi yake kwa CCM kwa zile harakati walizoanza za kumtoa BET yaani wajamaa inapukuja swala la kulilia madaraka hawana kabisa uzalendo wanaweza hata wakauza nchi.

Waliangaika sana kipindi cha JPM kuiuza nchi kwa mabeberu ikashindikana leo wamekuja na staili ya kafala.

Hawa hawastahili hata kupewa kuongoza serikali ya kijiji kwa kweli watalipiza kisasi kwa kila mtu siku watakapopewa nchi.

Nami nasema siku CHADEMA watakapochukua hii nchi nitaenda zangu kuishi hata Kivu huko Congo kuliko kungalia hawa wajamaa wakiongoza nchi.
CHADEMA ni mazezeta na ni watu ambao hawana akili. Wanafikiri binadam ni one way ticket, kitu ambacho hawajui kuwa binadam ni diversity na anabadilika kulingana na mazingira yanavyo badilikia. Wangekuwa watu wenye akili nadhani wasingetumia guvu kubwa sana ku-focus mashambulizi yao yote kwa Magufuli. Sasa wanakipata kwani mtu aliyekuwa anawafanya wawe maarufu hayuko tena.

Toka Mama ashike madaraka wamepagawa na hawajui wafanye nini na kelele zao za direction moja zimezimika. Tanzania sasa inatawaliwa na mwana mama. Hawana Munitions nyingine tena kutoka kwenye masanduku yao ya mazingaombo. Wamebanwa kisawasawa kisisa kiasi kwamba hawajui wafanye nini.

Wakenya walio kuwa wakiwapa support kubwa kwa kumhofia Magufuli, Simba wa Chato, ambaye alikuwa mbioni kuwavusha watanazania kwa speed ya rocket kwenda kwenye uchumi wa kwanza, wamesha wageuzia kisogo, kwani Mama alikwenda kusawazisha kwa kaka na kumwambia asiwe na wasi wasi tunairudisha gear na kwenda mwendo wa kawaida yetu amabao waliuzoea.

Kaka naye kawatuliza washambuliaji wake ili wamwache Mama ang'are kama ishara ya kusalim amri. Kwa hali hiyo kuwafanya watanzanaia wasiwe maadui wa wakenya tena. Wakenya waendelee na kujigamba kwao kuwa wao ni zaidi ya watanzania na ni wazungu weusi. Kitu ambacho hawakitambui ni kuwa nchi yao imesha chukuliwa na wazungu na wahindi na wenyewe wakiwa puppet wa siasa zao za ki- BBI na wananchi wao kuwa Dispora ughaibuni.

Lissu kiwete amekwishni! Kaufyata kama mkia wa mbwa akimwona Chatu. Simsikii tena mwana sheria uchwara made in Tanzania na mpinzania wa Magufuli. Jamaa amemkufuru mungu kwa kumdhihaki hata mwasisi wa nchi yetu Mwalim Nyerere kweli? Huyo kwa hasira za mizimwu yetu sidhani kama kuna mtu ambaye atamsikiliza tena.

Lissu masikini na ushamba wake wa kishosalisti country, bila kujua mchezo wa wazungu, akaingia mzima mzima kwenye mbinu za wakenya na wazungu wao kuisaliti nchi yake kwa malengo ya kuwa Rais wa kwanza kutoka upinzani. Jamaa mpumbavu sana. Nani alimwaminisha kuwa watamzania wako tayari kuwa na Rais kiwete, aliyetengenezwa na wakenya wakishirikiana na mabeberu wao. Atokomee mbali huko. Watanzania hatuna haja naye msaliti mkubwa wa waasisi wetu.

Lissu na Mbowe CHADEMA imekufa mikononi mwenu kwa tamaa zenu za madaraka na ubinafsi ulio jawa na uongo wa kipindukia!
 
Wewe ni kima kama kima wengine badala ujikite kwenye hoja za msingi unaleta matapishi yako yasiyo na tija.
 
Kwahiyo chadema ilimuua?

Unamuua mtu huku ccm ikiendelea kukugonga?
Malaika wa Mungu alimchapa kichapo kitakatifu ili liwe fundisho kwa watu wenye akili mbaya kama yeye,kumbuka kuwa vyama ni watu na vinaongozwa na watu walioummbwa kwa mfano wa Mungu ,unapoua/kubagua/kuzuia kundi fulani lisiwepo kwa matakwa yako unamtesa mwenyezi Mungu aliyekuumba wewe na watu wengine hivyo anakuondoa ili usiendelee kumtesa Mungu na wanadamu wenzio.
 
Habari wadau!

Hawa CHADEMA ni watu wa ajabu sana, walianza na harakati za kumshusha Sabaya wamefanikiwa kumchafua kisiasa na sasa kesi ipo mahakamani.

Leo wanataka kumshusha Diamond Platinumz kisa kuunga mkono CCM kwenye uchaguzi wa 2020.

Haya yote ni matokeo ya visasi yaani hawana uvumilivu wa kisiasa kabisa leo Diamond anaweza akalipa kutokana na mapenzi yake kwa CCM kwa zile harakati walizoanza za kumtoa BET yaani wajamaa inapokuja suala la kulilia madaraka hawana kabisa uzalendo wanaweza hata wakauza nchi.

Waliangaika sana kipindi cha JPM kuiuza nchi kwa mabeberu ikashindikana leo wamekuja na staili ya kafala.

Hawa hawastahili hata kupewa kuongoza serikali ya kijiji kwa kweli watalipiza kisasi kwa kila mtu siku watakapopewa nchi.

Nami nasema siku CHADEMA watakapochukua hii nchi nitaenda zangu kuishi hata Kivu huko Congo kuliko kungalia hawa wajamaa wakiongoza nchi.
Usichojua ni kwamba hakuna jipya la kuusema CHADEMA.Chadema ilikuwepo, ipo, na itakuwepo ila wewe utapita.

Jiulize kwanini Chadema kila siku na si TLP,CHAUMA,CUF,JAHAZI ASILIA.

Iwepo Tume Huru ya UCHAGUZI,hakuna kura za mabegi na viroba uchaguzi ufanyike halafu urudi hapa kuleta mrejesho.
 
Mkuki kwa Nguruiwe...

Matendo yake mwenyewe uje uwasingizie wapinzani...
 
Unaposema hawastahili kuongoza hata kijiji unaleta upumbavu kwenye maswala ya msingi.
 
Ndiyo maana 2019 mkatuletea asilimia kubwa ya wnyeviti wa vijiji na mitaa majambazi,na 2020 mkazima mitandao yote,vyombo vya ulinzi na usalama vikawa vitamba kila mahali,taarifa za habari makini za ndani na nje ya nchi mkazuia ikabaki ni miziki tu,watu wengi wakaishia mahabusu wengine vilema na wengine kupoteza maisha sababu ya uchaguzi feki,nakwaambia mtavuna mlichopanda shenzi sana ninyi.
Alafu na maendeleo ndiyo yanazidi kupotea kabisa
 
Back
Top Bottom