CHADEMA hawana fadhila, leo wamemsahau Sabodo

combra

Senior Member
Joined
May 28, 2012
Posts
130
Reaction score
31
Nimekaa chini na kutafakari ni wapi CHADEMA wametoka na nina aliyekuwa nyuma yao kwenye kipindi kigumu mbali na kusahau mchango mkubwa wa Dr slaa chadema kimemsahau Sabodo kwa mchango mkubwa ambao amekuwa akikipatia chama ili kiweze kusonga mbele nakutimiza ndoto za wa Tz.lkn tokea vuguvugu la uchaguzi lianze wamemsahau Sabodo.

Lakini ikumbukwe Sabodo ni mwana CCM lakini alikubali kuonekana msaliti na kuisadia CHADEMA. Tafakari
 
wewe ndio kapi orijino kabisaaaa. nini hiki ulichoandika? naamini ukisoma hiki ulichoandika na ku-post, unaona aibu nafsini mwako. onyesha clearly ni kwa vipi CHADEMA wamemsahau Mzee Sabodo na kwa vipi CCM wamemkumbuka
 
Nimekaa chini na kutafakari ni wapi CHADEMA wametoka na nina aliyekuwa nyuma yao kwenye kipindi kigumu mbali na kusahau mchango mkubwa wa Dr slaa chadema kimemsahau Sabodo kwa mchango mkubwa ambao amekuwa akikipatia chama ili kiweze kusonga mbele nakutimiza ndoto za wa Tz.lkn tokea vuguvugu la uchaguzi lianze wamemsahau Sabodo.
Lakin ikumbukwe Sabodo ni mwana ccm lkn alikubali kuonekana msaliti na kuisadia chadema.tafakari

Unajua kazi au nafasi ya mdhamini ndani ya chama? na je unataka wafanyeje ili uone kama wanamkumbuka!
 
Nami cna cha kukuuliza wajibu kwanza wenzangu maswal yao mbona umekimbia?
 
Hata zittokabwe wamemsahau, dkt. Slaa pia.. yaani ni kama makarai ya kubebea zege baada ya ujenzi yanatupwa, au kama makopo ya chooni.
 
Nimekaa chini na kutafakari ni wapi CHADEMA wametoka na nina aliyekuwa nyuma yao kwenye kipindi kigumu mbali na kusahau mchango mkubwa wa Dr slaa chadema kimemsahau Sabodo kwa mchango mkubwa ambao amekuwa akikipatia chama ili kiweze kusonga mbele nakutimiza ndoto za wa Tz.lkn tokea vuguvugu la uchaguzi lianze wamemsahau Sabodo.

Lakini ikumbukwe Sabodo ni mwana CCM lakini alikubali kuonekana msaliti na kuisadia CHADEMA. Tafakari

We umejuaje kama huyo sabodo wako kasalitiwa?we ni kiongozi wa hio chadema
Ma ccm kweli hatuna akili
 
Mada nyingine humu Jf hazina mashiko kabisaa yaani.....tyuuup
 
Nimekaa chini na kutafakari ni wapi CHADEMA wametoka na nina aliyekuwa nyuma yao kwenye kipindi kigumu mbali na kusahau mchango mkubwa wa Dr slaa chadema kimemsahau Sabodo kwa mchango mkubwa ambao amekuwa akikipatia chama ili kiweze kusonga mbele nakutimiza ndoto za wa Tz.lkn tokea vuguvugu la uchaguzi lianze wamemsahau Sabodo.

Lakini ikumbukwe Sabodo ni mwana CCM lakini alikubali kuonekana msaliti na kuisadia CHADEMA. Tafakari
Hivi naye alikuwa anagombea wakakata jina lake? Wamemsahau kwa lipi?
 
unatumia vigezo gani kujua amesahulika,majungu peleka ccm
 
CDM masrahi wamepiga pesa na sahivi wanajaziwa mafuta daily eti wanataka kuitoa CCM ..mabadiliko si kuuza chama vinginevyo na nyie muondolewe hapo mlipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom