CHADEMA hawana fadhila, leo wamemsahau Sabodo

CHADEMA hawana fadhila, leo wamemsahau Sabodo

Subiri CHADEMA watakapoingia ikulu kuanzia october watamfanya kuwa mtoa kodi namba 1 ili wananchi tuzidi kuneemeka kwa kodi ya biashara zake.
 
Ulitaka wamkumbuke kwa kumpa ubunge au uraisi ??
Maana sijakuelewa??
Au kuna hela katoa wameikataa??
Tumia akili unapotoa mada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom