usitumie nguvu kufunga hoja, hoja nadhani itakuwa kubwa zaidi baada ya viongozi wa dini kutoa tamko
"Katika ibada hiyo, Sheikh Alawi, akisoma dua, alitangaza rasmi kuwa marehemu hao Omar Ismail na Denis Shirima wamefariki kishujaa"
(Ni kauli ya Shehe aliyesoma dua ya kumuombea marehemu Omary Ismail leo pale NMC-Arusha;habari ipo kwenye Gazeti la MTanzania la leo tarehe 13 January,2011)
View attachment 20160
Usiku wa Septemba 25 mfalme Hussein wa Jordan alifariki na 26 akazikwa kwa kuwa muislam.
Pia mauji ya Pemba watu waliofariki walizikwa siku inayofuata kwa kuwa wote waliofariki ni madhehebu ya kiislam.
Unapokuwa karibu na waumini wa kiislam wanakwambia, kitu cha kwanza kufanyiwa baada ya kukamilika taratibu zote ni kupelekwa mahala pake pa milele yaani kaburini, ndio maana hata viongozi wakuu wa madhehebu hayo mara tu akifa hakai siku nyingi huzikwa
Kwa upande wa madhehebu mengine kama baba wa taifa alikaa muda wa 2 week.
Lkn chadema wameuweka mwili wa madhehebu ya kiislam siku 6 sawa na madhehebu mengine jambo ambalo ktk mtazamo wa kiislam sio nadra kutokea labda patokee dharura.
jee chadema hawakukiuka maadili?hawakuona haja ya kuuzika mapema?

hatan hii ni hoja ya msingi. hoja ya msingi sio inayoifurahisha chadema. jee utaposikia mh Mboe kasaliwa msikitini wakati ukijua ni mkiristo pia utasema sio hoja ya msingi?
Hivi wewe ni polisi au? Naona unalazimishia kazi za Polisi! mara ooh kama Pemba ooh mwembechai unafikiri kila siku situation zitakuwa zilezile. pole sana..inawezekana. lkn Chadema walipanga mapema mazishi leo ya kitaifa, kwa hivyo tunaamini kwamba huo ulikuwa ni mpango wa chadema na sio polisi. polisi ktk mtazamo wa kawaida matukio kama haya huwa wanafanya uchunguzi haraka kama vile mwembechai na pemba
hata maaskofu waliwahi kusema jk ni chaguo la Mungu. jee hawakufanya makosa?"Katika ibada hiyo, Sheikh Alawi, akisoma dua, alitangaza rasmi kuwa marehemu hao Omar Ismail na Denis Shirima wamefariki kishujaa"
(Ni kauli ya Shehe aliyesoma dua ya kumuombea marehemu Omary Ismail leo pale NMC-Arusha;habari ipo kwenye Gazeti la MTanzania la leo tarehe 13 January,2011)
Hivi wewe ni polisi au? Naona unalazimishia kazi za Polisi! mara ooh kama Pemba ooh mwembechai unafikiri kila siku situation zitakuwa zilezile. pole sana..
Ungefaa sana kama ungelivalia njuga suala la kuchakachua matokeo ya uraisi...
kumbuka hawa wananchi ni mashujaa na situation iliotokea hili jambo imebidi itokee kama utaratibu unavyouona. hawa wananchi mashujaa sio tu ni waislamu kwa heshima zote ila ni watanzania wa hali ya juu hivyo tulitaka kuwaenzi na kuwapa heshima zote. sababu kubwa chadema na wananchi tulitaka kufanya hivi ili vifo vyao visije vika sahauliwa na kutokumbukwa tena. Kwa heshima hii "taifa zima lilisimama kuenzi na kukumbuka maisha yao" hii ndio sababu kubwa pekee.
jirani zangu wawili waislaam hadi leo hawajazikwa.
1. Mmoja alikufa maji alipoenda mtoni na maji yakambeba.
2. Mwingine aliliwa na simba na fisi wakasambaza mifupa yake.
Kibaya ni kuwa hadi leo imepita zaidi ya miaka 8 na siyo wiki moja.
By the way:
Hiyo mihogo uliyopo si itatumika kutengenezea gongo?
Likiiva usinisahau mkuu maana kisamvu chake kilivyonona, gongo lake litakuwa la kufa mtu.
eti jamaa mla mihogo anajua zaidi kuliko sheikh wao. Au ni kiherehere tu!
ninavyojua chadema huwa hawana majibu kama haya. Labda wazidiwe sana kihoja ndio huja na majibu kama hayawacontact alqaeda wakupe bomu ukajilipue upunguze hasira. Mabikra 70 watakuwa wanakusubiri akhera! Hihiihi
Yaleyalee kwani hawakujua matokeo ya uraisi? walichakachua yale na sasa wamechakachua issue hii..tunasema hivyo kwa sababu polisi wanajua imani ya kiislam ndio maana yanapotokea matokeo kama haya hufanywa haraka. hakuna hata pamoja kama yaliotokea ARUSHA
yaleyalee kwani hawakujua matokeo ya uraisi? Walichakachua yale na sasa wamechakachua issue hii..
View attachment 20160
usiku wa septemba 25 mfalme hussein wa jordan alifariki na 26 akazikwa kwa kuwa muislam.
Pia mauji ya pemba watu waliofariki walizikwa siku inayofuata kwa kuwa wote waliofariki ni madhehebu ya kiislam.
Unapokuwa karibu na waumini wa kiislam wanakwambia, kitu cha kwanza kufanyiwa baada ya kukamilika taratibu zote ni kupelekwa mahala pake pa milele yaani kaburini, ndio maana hata viongozi wakuu wa madhehebu hayo mara tu akifa hakai siku nyingi huzikwa
kwa upande wa madhehebu mengine kama baba wa taifa alikaa muda wa 2 week.
Lkn chadema wameuweka mwili wa madhehebu ya kiislam siku 6 sawa na madhehebu mengine jambo ambalo ktk mtazamo wa kiislam sio nadra kutokea labda patokee dharura.
Jee chadema hawakukiuka maadili?hawakuona haja ya kuuzika mapema?
View attachment 20160
Usiku wa Septemba 25 mfalme Hussein wa Jordan alifariki na 26 akazikwa kwa kuwa muislam.
Pia mauji ya Pemba watu waliofariki walizikwa siku inayofuata kwa kuwa wote waliofariki ni madhehebu ya kiislam.
Unapokuwa karibu na waumini wa kiislam wanakwambia, kitu cha kwanza kufanyiwa baada ya kukamilika taratibu zote ni kupelekwa mahala pake pa milele yaani kaburini, ndio maana hata viongozi wakuu wa madhehebu hayo mara tu akifa hakai siku nyingi huzikwa
Kwa upande wa madhehebu mengine kama baba wa taifa alikaa muda wa 2 week.
Lkn chadema wameuweka mwili wa madhehebu ya kiislam siku 6 sawa na madhehebu mengine jambo ambalo ktk mtazamo wa kiislam sio nadra kutokea labda patokee dharura.
jee chadema hawakukiuka maadili?hawakuona haja ya kuuzika mapema?
Source : http://islam.about.com/cs/elderly/a/funerals.htmMuslims strive to bury the deceased as soon as possible after death, avoiding the need for embalming or otherwise disturbing the body of the deceased. An autopsy may be performed, if necessary, but should be done with the utmost respect for the dead.
Washing and Shrouding
In preparation for burial, the family or other members of the community will wash and shroud the body. (If the deceased was killed as a martyr, this step is not performed; martyrs are buried in the clothes they died in.) The deceased will be washed respectfully, with clean and scented water, in a manner similar to how Muslims make ablutions for prayer. The body will then be wrapped in sheets of clean, white cloth (called the kafan).