GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
MONOTONOUS...!
Hivi tunatumia akili kweli?
Thread za namna hii ni nyingi sana humu ndani, lakini kwa vile mtu anasumbuliwa hela ya mboga nyumbani anaamua kutundika recycle ya ishu ya zamani kwa kubadili maneno mawili...ni upumbavu ulipelea!...unapoteza muda na resources. ...you copy-cat!
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
Na mwendawazimu Mwemabila kusahau wa kina jeykay
Kuna watu wana shida eeh...!Huyo baba wa marehemu kama kweli kasema hayo ni mnafiki kwa kinywa chake aliwaeleza waandishi kwenye geti la mount meru kuwa kuna mtu anaitwa nyerere ndiye aliyekuwa akisimama kama kiongozi wa familia baada ya kifo lkutokea kwani yeye hukaa kondoa na alifika akakuta tayari cdm wanaendelea kuwasiliana mnaye .
Anasema hizo habari za kukataa kupelekwa mwili uwanjani hazikuanzishwa ma familia bali baadhi ya watu hivyo wakaenda kwa shehe wa mkoa akawaambia halina shida bali tu wasionyeshe mwili ndiyo maana mashehe walikuwa uwanjani kuuombea .
Omar alimalizia kwa kusema kuna watu wanataka haki ya mwanangu ipotee na wajukuu zangu wateseke
Mwili uliwekwa Chumba cha maiti na serikali. CDM walipokwenda kuuchukua ilikuwa mbinde kwa maana kwamba serikali ilitaka uendelee kukaa huko ha ta kwa mwezi mzima.
Muislam anaweza kuombewa popote isipokuwa uwanja wa NMC?? Hapo umeandika kwa Elimu au kwa ujanja wa kuvuta??
Nani kakwambia MAiti haikuoshwa??
Nani kakwambia MAiti haikuvishwa Sanda?? Unaushahidi??
Nani kakwambia Dua halikusomwa??
Una haja ya nguvu ya kutafuta source nyingine ya habari zako uliyo nayo iko chakari kwa Bangi.
Wewe hizo taratibu za mazishi ulikuwa wazijua ? je zimefuatwa ? hapo ndipo tunapo takiwa kujadili kwani ni muhimu kufuata utaratibu ili next time yasitokee malalamiko, kuwa na hekima na usiwe bukima !
Wewe unaakili kuliko masheikh waliokuwepo pale NMC na kuuswalia mwili?Wewe hizo taratibu za mazishi ulikuwa wazijua ? je zimefuatwa ? hapo ndipo tunapo takiwa kujadili kwani ni muhimu kufuata utaratibu ili next time yasitokee malalamiko, kuwa na hekima na usiwe bukima !
Aliswaliwa pale NMC ? je swala ya maiti ya kiislamu unaijua ?
Alizikwa haraka ?
Hatakiwi maiti ya kiislamu kufanywa maonyesho kama ilivyofanyika.
Ulizia upate kujua , sio kubisha kibubusa !
Katika sakata la vurugu za Arusha lililosababisha kifo cha marehemu Ismail Omari, imebainika kwamba taratibu za mazishi ya kiislamu zilikiukwa na hivyo kusababisha baadhi ya mashehe kususia maziko hayo.
Kwa mujibu wa taratibu za mazishi ya kiislamu, mtu aliyekufa anatakiwa kufanyiwa yafuatayo:
Kutokana na hayo basi, CHADEMA kwa kujitafutia umaarufu wa kisiasa, waliamua kuwashurutisha familia ya mfiwa kusubiri taratibu zao za kichama tofauti na taratibu za kidini, kama alivyosema baba wa marehemu mzee Omari Juma
- Kuoshwa
- Kuvikwa sanda
- Kuswaliwa swala ya maiti (msikitini au mahala popote pale) na sio uwanja wa NMC ambapo hilo halikufanyika. Na hairuhusiwi mwili kufanywa maonyesho
- Kuzikwa ( haraka iwezekanavyo) sio kuuweka mwili mochwari kusubiria maandamano ya mazishi
- Kuombewa dua
Ndugu zangu CHADEMA mara nyingine msirudie kufanya jambo kama hili, kwa kutofuata maadili ya dini na mkampanga ya kwenu. Huku ni kujidhalilisha kwani yaonekana hata taratibu za dini nyingine hamzijui
Wewe unaakili kuliko masheikh waliokuwepo pale NMC na kuuswalia mwili?
Msiegemee habari za kuambiwa...spoonfed monkeys!
Hakuna mtu anayeweza kufanya taratibu za kuandaa mwili wa marehemu wa kiislamu bila kufuata taratibu zinazopaswa!...Hata mortuary attendants tu wanajua hilo na hawawezi kufanya makosa!...
Ukisimuliwa kitu CHANGANYA NA ZAKO...wee MBAYUWAYU!
Nimeuliza maswali wewe unaita kubisha Kibubusa. Haya nipe hiyo Ilimu ya swala ya maiti Kiseseba!
Wewe unaakili kuliko masheikh waliokuwepo pale NMC na kuuswalia mwili?
Msiegemee habari za kuambiwa...spoonfed monkeys!
Hakuna mtu anayeweza kufanya taratibu za kuandaa mwili wa marehemu wa kiislamu bila kufuata taratibu zinazopaswa!...Hata mortuary attendants tu wanajua hilo na hawawezi kufanya makosa!...
Ukisimuliwa kitu CHANGANYA NA ZAKO...wee MBAYUWAYU!
Hapo kwenye RED kama ndivyo uislamu unavyosema, basi nachukuwa fursa hii kumuombea radhi/samahani JK kwa kuufanya maonesho maiti ya Rashid mfaume kawawa, maana aliletwa pale karimjee na show ilikuwa ndefu kwa masaa mengi tu.
Swala ya maiti ya kiislamu ina rakaa 4, na inaswaliwa kama swala zingine isipokuwa yenyewe ni kusimama tu. Kwa hiyo masharti mengine yote ya kuwa msafi nk lazima yafuatwe, upo hapo mkuu ?
Nipo Alhaj.
Sikuwepo Arusha, mwenzangu ulikuwepo?
Muislamu mwenye Pesa na Cheo au Heshima katika jamii mwili wake unaweza fanyiwa maonyesho kwa kiasi kile heshima yake inavyruhusu. Lakini kwa muislamu kapuku mwili wake kuwekwa hadharani ni kinyume kabisa na ibada ya kiislamu.
Mungu hutoa neema kubwa kwa watu wakubwa na neema ndogo kwa watu wadogo.
Watu wengine huwa mnawashwa kuandika chochote hata hakina miguu wala kichwa mara ngapi tumeaga miili ya waislam iliyokaa kwa motuali kwa muda mrefu Kawawa alikaa siku ngapi mbona hukuwalaumu CCM kuchelewesha na kuufanyia maonesho mwli wake.Katika sakata la vurugu za Arusha lililosababisha kifo cha marehemu Ismail Omari, imebainika kwamba taratibu za mazishi ya kiislamu zilikiukwa na hivyo kusababisha baadhi ya mashehe kususia maziko hayo.
Kwa mujibu wa taratibu za mazishi ya kiislamu, mtu aliyekufa anatakiwa kufanyiwa yafuatayo:
Kutokana na hayo basi, CHADEMA kwa kujitafutia umaarufu wa kisiasa, waliamua kuwashurutisha familia ya mfiwa kusubiri taratibu zao za kichama tofauti na taratibu za kidini, kama alivyosema baba wa marehemu mzee Omari Juma
- Kuoshwa
- Kuvikwa sanda
- Kuswaliwa swala ya maiti (msikitini au mahala popote pale) na sio uwanja wa NMC ambapo hilo halikufanyika. Na hairuhusiwi mwili kufanywa maonyesho
- Kuzikwa ( haraka iwezekanavyo) sio kuuweka mwili mochwari kusubiria maandamano ya mazishi
- Kuombewa dua
Ndugu zangu CHADEMA mara nyingine msirudie kufanya jambo kama hili, kwa kutofuata maadili ya dini na mkampanga ya kwenu. Huku ni kujidhalilisha kwani yaonekana hata taratibu za dini nyingine hamzijui
Kuoshwa
Kuvikwa sanda
Kawawa alikaa siku ngapi.Hapa tunazungumzia utaratibu, kama mwingine ameuvunja na ww ndio umuige ? Kwa Mungu wanaadamu wote ni sawa hajali pesa yako wala umaarufu wako bali ni matendo yako ndiyo yatakayo kuokoa au kukuangamiza