14. -(1)-Every political party which has been fully registered shall--a) maintain proper accounts of the funds and property of the party;-b)-submit to the Registrar-–"(i) an annual statement of the account of the political party-audited by the Controller and Auditor-General-and the report of the account." (This became law in March, 2009)ii) an annual declaration of all the property owned by the party.(2) The Registrar, after inspecting any accounts or report submitted pursuant to this section may, for the benefit of the members or the public, publish any matter relation to the funds, resources or property of any party or the use of such funds, resources or property.(3)-The Registrar shall publish in the official Gazette, an annual report on the audited accounts of every party.
Kumbe Mwali na wewe unakuwaga na 'pwenti' eenh! Hii ngonjera itafika tu mwisho, mwongo na mkweli watajulikana..tatizo letu waTanzania tukishamjua mkweli tunamshangilia, na mwongo tunamzomea..basi, hatuchukui hatua!
Mwali ,
Chadema wanaweza kuwa wamepeleka Audited Financial Statement kwa msajili lakini mkaguzi akiwa ameteuliwa na wao na sio CAG kama sheria inavyotaka.
Mkaguzi wa fedha za umma lazima ateuliwe na CAG.Swali la msingi pia msajili anawezaje kupokea hesabu ambazo hazina Audit Report ya CAG? Msajili anapokea tu hesabu bila kuhakikisha sheria zimefuatwa?
Baada ya kusoma majibu ya Chadema katika gazeti lao nimegundua ndugu zetu wapendwa wametumia mazowea katika kuwasilisha hesabu zao kwa msajili wa vyama. Kwanza niseme wazi kua nimeridhika kua angalau wanakeep hesabu (as Zitto said), na wanahakikisha hesabu zao zinafika kwa msajili on time BUT...
Sheria inataka CAG akague hizo hesabu KABLA hazijamfikia msajili. Amekagua? Chadema wanafanya kazi kwa mazoea. Sheria ya zamani ndio inasema chama kitapeleka kwa msajili wakati sheria ya sasa inasema CAG kwanza kisha msajili.
Turejee sequence ya ukaguzi wa pesa za ruzuku:
Kwanza mkaguzi wa chadema kathibitishwa na CAG? Ni nani mkaguzi huyu? Hayupo.
Pili, sheria inasema Msajili anapelekewa audited accounts. CAG is the auditor. CHADEMA is the auditee. How comes chadema wapeleke kwa msajili wakati CAG hajawapa mkaguzi.
Kwa hiyo barua walio peleka kwa msajili ni sawa na barua yoyote tu, sio audited account inayo takiwa kwa mujibu wa kanuni. Wanaweza kujiandikia chochote tu humo. Hiyo barua haina thamani kwa mujibu wa sheria hii, ila wanaweza kuitumia internally ndani ya chama wakitaka, au wanaweza kuzitumia magazetini na social media. But a fact is a fact: chadema hawajakaguliwa.
Hizi taarifa za Chadema zina chumvi na sukari. Ila chumvi ndio nyingi...
Kupeleka tu mahesabu inaonyesha kwambs wanajua wajinu wao.
Bila shaka umemsikia CAG anasema kwamba hana fungu la kufanyia audit vyama vya siasa.
Kwahiyo kwa namna yoyote ile Chadema haiwezi kulaumiwa,labda sass ni muda muafaka bunge litenge bajeti ya kufanyia audit vyama vya siasa kwakuwa kwa kuganya hivyo ndipo mzizi wa fitna utakuwa umekatwa.
Kwa wake ambao vitabu vyao ni vichafi hats hizo audited report wanazodai kuwa nazi hazijafikishwa ofisini kwa msajili kwahiyo hats wao ccm hawajakaguliwa. #FACT
CAG amefika ofisi za CDM kufanya wajibu wake???.Nikufahamishe CAG anatakiwa kukagua yeye au ku-outsource kama capacity haitoshi.Kama CAG hakupanga auditor wa kukagua vyama unategemea nini.Angalau CDM wameonyesha Good governance kwa kuweka mahesabu wazi ingawaje hayajakaguliwa. nikazi ya msajiri kuzikataa hesabu zisizokaguliwa lakini kitendo cha kuzipokea na kukaa kimya maana yake ACCEPTANCE
Nadhani haya ndio masuala ya msingi. Kwa nini CAG hajakagua mahesabu hayo wakati yapo? Kanuni zinasemaje kama CAG hajakagua/ameshindwa kukagua? Chama ambacho mahesabu yake yanatakiwa kukaguliwa, kinatakiwa kufanya nini (kwa mujibu wa kanuni) endapo CAG ameshindwa kukagua mahesabu yake kwa wakati? Kwa mujibu wa kanuni, ni muda gani CAG amepewa kukagua mahesabu na kutoa report yake?Sheria inataka CAG akague hizo hesabu KABLA hazijamfikia msajili. Amekagua?
Ccm ndio kabisaaaaa, hata internal audit sijui kama ipo.
Mi sijasema kua kosa la kukaguliwa au kutokaguliwa ni la chadema. Ila ninachosema ni kwamba chadema wasiseme wamekaguliwa wakati hawajakaguliwa. Waseme kua wako tayari kw ukaguzi wakati wowote.
Taarifa wanazo leta kukanusha kauli ya kutokaguliwa zinazidi kuoneaha namna ambavyo hawajakaguliwa.
Ooh! Ni nini mandate ya msajili kulingana na sheria hiyo?
Huyo Auditor umejuaje kama sio Accredited?
Halafu kama ndivyo unavyosema then kosa hapa ni la CHADEMA,Registrar au CAG?
Ooh! Ni nini mandate ya msajili kulingana na sheria hiyo?
Huyo Auditor umejuaje kama sio Accredited?
Halafu kama ndivyo unavyosema then kosa hapa ni la CHADEMA,Registrar au CAG?