Kwa kawaida uongo huwa hauna uwezo wa kuhimili test of time. Leo asubuhi nilikuwa naangalia taarifa ya habari nikakutana na habari ambayo imenishtua ya kwamba CHADEMA wamekana muafaka wa Umeya wa Arusha. Alipoulizwa Mbowe akajibu kuwa wanafanya uchunguzi juu ya suala hilo huku Lema akisema kuwa hatambui muafaka huo. Kitendo cha kutokuwepo kwa kauli thabiti inayoonekana kuwa imetokana na azimio la kikao rasmi, ni kielelezo cha kutoaminika kwa CHADEMA. Nasema hivi kwa sababu zifuatazo: Kwanza, taarifa za kuwepo kwa muafaka tumezipata siku nyingi zilizopita. Kama muafaka huo ungekuwa ni batili, CHADEMA wangeukana immediately au hata kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa Naibu Meya. Pili, kuna tofauti kubwa sana katika kauli kati ya Mbowe na Lema kitendo kinachoashiria kuwa kuna misimamo tofauti kati ya Mbowe na Lema. Tatu, inaonekana kuwa CHADEMA hawana shida na maendeleo bali wanataka mapinduzi bila ya kujali gharama zake. CDM wanatuhadaa! Hawaaminiki!!

mbona hujasema la waziri Mkulo,Ngereja na Mhando kila mtu akiwa na hamsini zake ebu tufafanulie hilo hukulisikia kwenye hiyo taarifaKwa kawaida uongo huwa hauna uwezo wa kuhimili test of time. Leo asubuhi nilikuwa naangalia taarifa ya habari nikakutana na habari ambayo imenishtua ya kwamba CHADEMA wamekana muafaka wa Umeya wa Arusha. Alipoulizwa Mbowe akajibu kuwa wanafanya uchunguzi juu ya suala hilo huku Lema akisema kuwa hatambui muafaka huo. Kitendo cha kutokuwepo kwa kauli thabiti inayoonekana kuwa imetokana na azimio la kikao rasmi, ni kielelezo cha kutoaminika kwa CHADEMA. Nasema hivi kwa sababu zifuatazo: Kwanza, taarifa za kuwepo kwa muafaka tumezipata siku nyingi zilizopita. Kama muafaka huo ungekuwa ni batili, CHADEMA wangeukana immediately au hata kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa Naibu Meya. Pili, kuna tofauti kubwa sana katika kauli kati ya Mbowe na Lema kitendo kinachoashiria kuwa kuna misimamo tofauti kati ya Mbowe na Lema. Tatu, inaonekana kuwa CHADEMA hawana shida na maendeleo bali wanataka mapinduzi bila ya kujali gharama zake. CDM wanatuhadaa! Hawaaminiki!!
Kwa kawaida uongo huwa hauna uwezo wa kuhimili test of time. Leo asubuhi nilikuwa naangalia taarifa ya habari nikakutana na habari ambayo imenishtua ya kwamba CHADEMA wamekana muafaka wa Umeya wa Arusha. Alipoulizwa Mbowe akajibu kuwa wanafanya uchunguzi juu ya suala hilo huku Lema akisema kuwa hatambui muafaka huo. Kitendo cha kutokuwepo kwa kauli thabiti inayoonekana kuwa imetokana na azimio la kikao rasmi, ni kielelezo cha kutoaminika kwa CHADEMA. Nasema hivi kwa sababu zifuatazo: Kwanza, taarifa za kuwepo kwa muafaka tumezipata siku nyingi zilizopita. Kama muafaka huo ungekuwa ni batili, CHADEMA wangeukana immediately au hata kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa Naibu Meya. Pili, kuna tofauti kubwa sana katika kauli kati ya Mbowe na Lema kitendo kinachoashiria kuwa kuna misimamo tofauti kati ya Mbowe na Lema. Tatu, inaonekana kuwa CHADEMA hawana shida na maendeleo bali wanataka mapinduzi bila ya kujali gharama zake. CDM wanatuhadaa! Hawaaminiki!!
Kwa kawaida uongo huwa hauna uwezo wa kuhimili test of time. Leo asubuhi nilikuwa naangalia taarifa ya habari nikakutana na habari ambayo imenishtua ya kwamba CHADEMA wamekana muafaka wa Umeya wa Arusha. Alipoulizwa Mbowe akajibu kuwa wanafanya uchunguzi juu ya suala hilo huku Lema akisema kuwa hatambui muafaka huo. Kitendo cha kutokuwepo kwa kauli thabiti inayoonekana kuwa imetokana na azimio la kikao rasmi, ni kielelezo cha kutoaminika kwa CHADEMA. Nasema hivi kwa sababu zifuatazo: Kwanza, taarifa za kuwepo kwa muafaka tumezipata siku nyingi zilizopita. Kama muafaka huo ungekuwa ni batili, CHADEMA wangeukana immediately au hata kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa Naibu Meya. Pili, kuna tofauti kubwa sana katika kauli kati ya Mbowe na Lema kitendo kinachoashiria kuwa kuna misimamo tofauti kati ya Mbowe na Lema. Tatu, inaonekana kuwa CHADEMA hawana shida na maendeleo bali wanataka mapinduzi bila ya kujali gharama zake. CDM wanatuhadaa! Hawaaminiki!!
Kwanza, taarifa za kuwepo kwa muafaka tumezipata siku nyingi zilizopita. Kama muafaka huo ungekuwa ni batili, CHADEMA wangeukana immediately au hata kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa Naibu Meya. Pili, kuna tofauti kubwa sana katika kauli kati ya Mbowe na Lema kitendo kinachoashiria kuwa kuna misimamo tofauti kati ya Mbowe na Lema. Tatu, inaonekana kuwa CHADEMA hawana shida na maendeleo bali wanataka mapinduzi bila ya kujali gharama zake. CDM wanatuhadaa! Hawaaminiki!!
Join Date : 22nd June 2011Unataka nani awaamini chadema, wananchi makini au kina nyie ambao mnakurupukia mambo, ambao kimsingi ni wazi umakini wenu unahojika.kwa mfano mapinduzi yamesemwa na nani kati ya waliohojiwa , lema na mbowe au unajisemea tu(baseless argument).tunaiamini chadema mno mno mno.
Kwa kawaida uongo huwa hauna uwezo wa kuhimili test of time. Leo asubuhi nilikuwa naangalia taarifa ya habari nikakutana na habari ambayo imenishtua ya kwamba CHADEMA wamekana muafaka wa Umeya wa Arusha. Alipoulizwa Mbowe akajibu kuwa wanafanya uchunguzi juu ya suala hilo huku Lema akisema kuwa hatambui muafaka huo. Kitendo cha kutokuwepo kwa kauli thabiti inayoonekana kuwa imetokana na azimio la kikao rasmi, ni kielelezo cha kutoaminika kwa CHADEMA. Nasema hivi kwa sababu zifuatazo: Kwanza, taarifa za kuwepo kwa muafaka tumezipata siku nyingi zilizopita. Kama muafaka huo ungekuwa ni batili, CHADEMA wangeukana immediately au hata kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa Naibu Meya. Pili, kuna tofauti kubwa sana katika kauli kati ya Mbowe na Lema kitendo kinachoashiria kuwa kuna misimamo tofauti kati ya Mbowe na Lema. Tatu, inaonekana kuwa CHADEMA hawana shida na maendeleo bali wanataka mapinduzi bila ya kujali gharama zake. CDM wanatuhadaa! Hawaaminiki!!
tuanze na hii ya kujivua gamba kwanza tupime kama kuna uaminifi, then tuangalie ishu nyengine.
kwani zimebaki siku ngapi kati ya 90 tulizoahidiwa?
Naweza kuelewa kwa nini unasema CHADEMA hawaaminiki. Ni kwa sababu mlihonga watu fulani fulani ili wakubali kuwa Arusha kuna muafaka. Bila kushughulisha akili mkaamua tatizo la Arusha ni 'vyeo' na sio ukiukwaji wa taratibu na sheria za uchaguzi wa Mayor. Sasa mlungula umeingia mfuko na muafaka wenyu umegundulika ni hewa! Na hapa ndipo unalalamika maana huamini kuwa HELA hainunui akili wala utashi na hata madaraka!
Join Date : 22nd June 2011
Posts : 4
Thanks 0
Thanked 2 Times in 2 Posts
Rep Power : 0
siyo kosa lako! ukishatoka kwenye u-junior member utakuwa na akili
Chama Cha magamba ndicho kilichokosa msemaji inatokea mke wa raisi,watoto wa raisi wote wanaongea kama katibu mkuu wa CCm au Katibu Kiongozi pale Ikulu ha ha haMuungwana ni kauli! Rudi katika kauli zenu za nyuma baada ya hatuwa hii ya mwafaka na sasa mnabadilika . Hata hivyo hichi chama hakina msemaji maalum?? Inawezekana hii ikawa ni kauli ya mbabe mmoja tu!