CHADEMA: Hatima ya Shibuda leo..

CHADEMA: Hatima ya Shibuda leo..

mbona hamuulizi yale yaliyojiri kule mbeya kwenye mkutano kwa magamba? lol kulikuwa na wale wanaojiita wapiganaji ndani ya CCM waliwasha moto wa ajabu.

Mkuu unawajua Magwanda, ingekuwa hayo wametenda wao ungesikia thread zote wamejaza wao humu, ila wengine hawataki kuwasikia. Hawa jamaa wako wabinafsi sana kuanzia viongozi+wanachama+wapenzi
 
Kama ilivyo desturi matokeo ya kikao yatatolewa kwa vyombo vya habari katika muda utakaoonekana ni muafaka. Hata hivyo, taarifa zitakazotolewa kwa umma ni zile zinazofaa kutolewa kwa umma lakini mambo mengine ya ndani yatabakia ndani. Tusubiri tu.
 
kazi kweli kweli au mambo mazito wakuu mbona mmekaa kimya mpaka sasa ? Na shibuda aliisha sema msimguse nyie mkimwaga ugali yeye anasema atamwaga mboga. Kweli magwanda leo hii mmekuwa mabubu ? Toeni taarifa zenu

soma mwananchi...............''mbowe: Jk vunja baraza la mawaziri''........ukurasa wa kwanza chini kabisa
 
Kupata taarifa muhimu mwenye nazo atujuze tafadhali wengine tupo nje y bongo magazeti hadi siku ya 3

Mkuu niwajuavyo Magwanda ukiona kimya ujue mambo mazito, kwani hawa jamaa ni watu wakupenda sana sifa, wasingekaa kimya kiasi hiki mkuu
 
Mkuu unawajua Magwanda, ingekuwa hayo wametenda wao ungesikia thread zote wamejaza wao humu, ila wengine hawataki kuwasikia. Hawa jamaa wako wabinafsi sana kuanzia viongozi+wanachama+wapenzi
Mawazo ya wengi ndiyo sahihi kidemokrasi. Kama wenzenu wamewazidi basi inabidi nyie mliowachache msalimu amri siyo kulazimisha.Mnaweza kugues tu matokeo ya kikao kile mkajifurahisha roho zenu kwanini muumize kichwa na kuanza kuturopokea nakufoka humu kana kwamba kuna mtu mlikuwa mmemtuma akawaletee hii habari?
 
soma mwananchi...............''mbowe: Jk vunja baraza la mawaziri''........ukurasa wa kwanza chini kabisa

Mkuu nimeisha nimeisha soma hilo gazeti hakuna kitu mkuu ! Na simu ya Slaa nampigia hapatikaniki kweli mambo mazito, hizi kauli za Mbowe zakusema kutoa maamuzi yatakayo faa, ni kauli za kushindwa kwa hoja
 
Mkuu unawajua Magwanda, ingekuwa hayo wametenda wao ungesikia thread zote wamejaza wao humu, ila wengine hawataki kuwasikia. Hawa jamaa wako wabinafsi sana kuanzia viongozi+wanachama+wapenzi

Afadhali CDM wabinafsi na tarifa zao..lakini yangekuwa magamba ungesikia waropokaji kama nape anasema lake, mukama kivyake yani hewa tu hawa majaa..ila CDM mpaka watoe taarifa ujue ipo sawa kwa yeyote atakaeisema hata mtoto mdogo atatoa tarifa hiyohiyo
 
Yangekuwa maandamano Arusha, wangejazana humu kuomba updates na picha..........!
Sasa kikao muhimu cha maamuzi mnapotezea!

Hawa jamaa huwa siwaelewi kabisa, wamekuwa kama kondoo wanasubiri mchungaji awaswage!....
Unakumbuka ile issue ya Zittom kususia posho............mwanzo walimtuhumu kuwa ameharakia, asingefanya pekee yake, angesubiri msimamo wa chama!
Ghafla wanamtuhumu Shibuda kukiuka msimamo wa chama blah blah blah.........
Mimi siwaelewi kabisaaa!
 
Ndugu wadau nimepitia thread zote hakuna hata moja iliyoelezea yaliyojiri kwenye kikao cha kamati kuu ya CDM kilichofanyika 17.07.2011 ambacho pamoja na mambo mengine kilijadili sakata la madiwani Arusha kuhusiana na mwafaka na CCM , na sakata la Mh. Shibuda kuhusiana na utovu wa nidhamu ndani ya Chama.

Mwenye nayo yaliyojiri tafadhali atujuze !

Wewe magamba hayakuhusu mambo ya CDM, kaulize udaku wenu huko Lumumba.
 
Ndugu wadau nimepitia thread zote hakuna hata moja iliyoelezea yaliyojiri kwenye kikao cha kamati kuu ya CDM kilichofanyika 17.07.2011 ambacho pamoja na mambo mengine kilijadili sakata la madiwani Arusha kuhusiana na mwafaka na CCM , na sakata la Mh. Shibuda kuhusiana na utovu wa nidhamu ndani ya Chama.

Mwenye nayo yaliyojiri tafadhali atujuze !
Hapo Msikitini kuna kashata? Nataka nipate gahawa mkuu
 
Jamani tusishabikie sana matukio ya maamuzi katika chama chetu.....viongozi wetu ni watulivu na wanajua nini wanachokifanya...matamko yao ndiyo ushabiki watu kwani ni ngazi ya juu.hivyo leo tuelekeze macho bungeni tusikie kero ya umeme watakavyojikaanga hawa mafisadi.
 
Tusubiri taarifa kutoka kwenye chanzo cha uhakika,tuache ubabaishaji!!
 
Yangekuwa maandamano Arusha, wangejazana humu kuomba updates na picha..........!
Sasa kikao muhimu cha maamuzi mnapotezea!

Hawa jamaa huwa siwaelewi kabisa, wamekuwa kama kondoo wanasubiri mchungaji awaswage!....
Unakumbuka ile issue ya Zittom kususia posho............mwanzo walimtuhumu kuwa ameharakia, asingefanya pekee yake, angesubiri msimamo wa chama!
Ghafla wanamtuhumu Shibuda kukiuka msimamo wa chama blah blah blah.........
Mimi siwaelewi kabisaaa!
Hivi ni adabu kuwasubiri wazazi wako mlangoni asubuhi na kuwauliza walikuwa wanafanya nini chumbani

subiri watakuambia kama ni zamu yako kuosha banda la mbwa au kuzoa mavi ya nguruwe.
 
Back
Top Bottom