Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,870
- 32,650
Sitaki.Kuwa kimya basi...
Sitaki.Kuwa kimya basi...
Gaidi ajutiwe?!Watajuta kumshikilia.
Wapigania uhuru wa Africa wangekataa tamaa kama wewe sasa hivi Africa ingekuwa kwenye ukoloniNatamaniii viongozi wa upinzani waachane na Siasa nafikilia familia zao wanahuzuni kiasi gani.Wanachi wanyewe watakapo choka nadhani watachukua maamuzi mbadala.
Sasa kama huna shida si ukojoe ukalale!!Sina shida.
Hahahaha mbowe amefichwa Kama kwapa vile.huyu gaidi anatia hurumaTumepokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe hayupo kiituo cha Polisi cha Oysterbay , na Polisi hawataki kusema amepelekwa wapi. Tunawataka Polisi watoe taarifa za alipo Mwenyekiti ili aweze kupatiwa mahitaji.
Kaingia KAHABA WA FERIKatoka kayafa kaingia naninii.. Hii ni ni bandika bandua aisee....!!!
Una shida kubwa sana!Sina shida.
Tumepokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe hayupo kiituo cha Polisi cha Oysterbay , na Polisi hawataki kusema amepelekwa wapi. Tunawataka Polisi watoe taarifa za alipo Mwenyekiti ili aweze kupatiwa mahitaji.
Mama anaupiga mwingi kamanda.Katoka kayafa kaingia naninii.. Hii ni ni bandika bandua aisee....!!!
Na inawezekana wanang'ang'ania wapeleke hayo mahitaji ikiwemo chakula ili wamuwekee sumu ili akifa waisingizie SerikaliMnataka kupeleka mahitaji gani wakati Makamu Mkiti amesema kama chama hawatafanya chochote wanawaachia polisi wafanye wanachotaka wao? Mbona mnapingana wenyewe kwa wenyewe?
Sikojoi wala silali.Sasa kama huna shida si ukojoe ukalale!!
Sina.Una shida kubwa sana!...
Isijekuwa wameshamuua tayariTumepokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe hayupo kiituo cha Polisi cha Oysterbay , na Polisi hawataki kusema amepelekwa wapi. Tunawataka Polisi watoe taarifa za alipo Mwenyekiti ili aweze kupatiwa mahitaji.