Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,331
- 8,254
Ndio kinachofanyikakama wao ni mtaji jiunge nao anzisheni chenu mpate Ubunge, povu la nini ndugu ?
Kwani lazima wawe wabunge kupitia CHADEMA? inamaana nyie CCM hamtaki wabunge wazuri?CHADEMA mnadanganywa Sana.
Na hakika mnadanganywa.
Mnawaachaje wabunge makini kama Bulaya na Mdee.
Hivi ni mtanzania gani asiyeiona kazi wanayofanya hawa wabunge tangu wamekua wabunge.
Poleni,
life is hard, byee.
Tena ajiunge nao huyu mpuuzi, kwanini yeye hataki ubunge?kama wao ni mtaji jiunge nao anzisheni chenu mpate Ubunge, povu la nini ndugu ?
Waende ACT Kwa wazalendoCHADEMA mnadanganywa Sana.
Na hakika mnadanganywa.
Mnawaachaje wabunge makini kama Bulaya na Mdee.
Hivi ni mtanzania gani asiyeiona kazi wanayofanya hawa wabunge tangu wamekua wabunge.
Poleni,
life is hard, byee.
Halima pole sana ( Maana wewe ni mzee Halima kwa id fake) ,, kibuli hakijengi, ya nini ulitaka ninyi Covid-19 mbembelezwe pamoja na jeuri mliyoionesha kwenye chama ambacho kimsingi kiliwaweka town!CHADEMA mnadanganywa Sana.
Na hakika mnadanganywa.
Mnawaachaje wabunge makini kama Bulaya na Mdee.
Hivi ni mtanzania gani asiyeiona kazi wanayofanya hawa wabunge tangu wamekua wabunge.
Poleni,
life is hard, byee.
Nyie mbona mmewatoa kwenye uwaziri akina Kalemani? Si mlikuwa mnasemaga ni waziri makini na mkawaaminisha watanzania hivyo?CHADEMA mnadanganywa Sana.
Na hakika mnadanganywa.
Mnawaachaje wabunge makini kama Bulaya na Mdee.
Hivi ni mtanzania gani asiyeiona kazi wanayofanya hawa wabunge tangu wamekua wabunge.
Poleni,
life is hard, byee.
Heri ya lawama kama hizo kuliko FedhehaCHADEMA mnadanganywa Sana.
Na hakika mnadanganywa.
Mnawaachaje wabunge makini kama Bulaya na Mdee.
Hivi ni mtanzania gani asiyeiona kazi wanayofanya hawa wabunge tangu wamekua wabunge.
Poleni,
life is hard, byee.
Tumeshawafukuza Inakuuma? IVUMILIECHADEMA mnadanganywa Sana.
Na hakika mnadanganywa.
Mnawaachaje wabunge makini kama Bulaya na Mdee.
Hivi ni mtanzania gani asiyeiona kazi wanayofanya hawa wabunge tangu wamekua wabunge.
Poleni,
life is hard, byee.
Hivi boss wenu ameishia wapi na harakati za katiba mpya. Au kalambishwa asali kihelehele chote kimemwishaWAANZISHE TU kwani nani kawakataza? CHADEMA haiwezi kuwavumilia MALAYA wa KISIASA
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Unapokuwa Kiongozi unatakiwa Kuonyesha uongozi na Sio tamaa ya pesa!! Kama wao wanajiona ni vidume wakasimame mahali waanzishe mkutano WA kisiasa waone kama watapata wafuasi!!!! Ni muhimu sana kuheshimu taasisi inayokubeba, na Sio kujiona wewe ni WA Muhimu kuliko taasisiNguvu waliyokuwa nayo na kuwa na wafuasi wengi ilitokana na nguvu ya CHADEMA, tofauti na hapo hakuna hata mtu ana shobo nao
Hapo ndipo akili zako zilipo ishiaCHADEMA mnadanganywa Sana.
Na hakika mnadanganywa.
Mnawaachaje wabunge makini kama Bulaya na Mdee.
Hivi ni mtanzania gani asiyeiona kazi wanayofanya hawa wabunge tangu wamekua wabunge.
Poleni,
life is hard, byee.