shamzugi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2021
- 569
- 1,190
Refa wenu, uwanja wenu, mashindano muanzishe ninyi, unahisi ubingwa atabe Nani??Ndio maana tunataka tume iitishe uchaguzi haraka na mapema upinzani hakuna!

unadhani hiyo itafanya muhurumiwe kwenye debe 🤣Refa wenu, uwanja wenu, mashindano muanzishe ninyi, unahisi ubingwa atabe Nani??
Ahsante kwa utambuzi wa mdomoniunadhani hiyo itafanya muhurumiwe kwenye debe 🤣
Thubutu!!!
Soma historia na chimbuko la siasa za vyama vingi ulimwenguni fanya na kautafiti kidogo
utakuta hiyo ni kilio isiyo na mfariji na haisaidii hata kidogo.
Ipo hivyo na itaendelea kua hivyo bila wasi
Na wewe wamilikiwa na nani?Mbowe, Mdee, Lisu na Sugu Ndio wamiliki wa Chadema
Mwenyekiti wa Chadema anawahusu??katibu wa ccm anawahusu pia!
Haya ndio matamanio ya Kila jizi la kura la ccm.Chadema imepoteza mvuto chadema ni sawa na mtu anayekata roho kurusha miguu na mikono ni kawaida yake, Chadema ilivamia suala la Dp world likabuma,wakaja na mchongo wa operation katiba imebuma wananchi wamechuna.
Wakavamia agenda ya umeme imebuma raisi kipenzi amewaambia ukweli wananchi wameelewa kiini cha tatizo.
Haitoshi walipoona slaa na kundi lao wanawazidi umaarufu na kuteka agenda wakapita mlango wa nyuma wakafanya yao mpaka leo hii wakina mdude hawajui mchawi ni nani.
Ghafla wakarukia makonda hata sijui anawahusu nini naye ni mwenezi wa ccm, wakajaribu kutengeneza movie la baharia macmuga wa ubelgiji eti amefanya ziara marekani ikabuma.
Ghafla macmuga yupo segera anahutubia wananchi wamemchunia akabwabwaja sana kwa hasira kawaida huja kwa mbwembwe airport hupokelewa kwa maandamano na misafara ya magari na pikipiki mwenyekiti kagoma kuidhinisha pesa ya mapokezi.
Wakatengeneza kipande cha movie mnyika ziarani sijui wapi wakati ni mambo ya kawaida .
Sasa wamevamiwa tukio la maafa kama la kutafutia kiki mara barua ya rambirambi mara mwenyekiti mfalume mswati kufanya ziara hanang yaani hawana pa kushika.
Ushauri wa bure chadema inahitaji viongozi wapya waliokuwepo wamedumaza chama hakina maendeleo hata jengo lenye hadhi ya ofisi ni mtihani.
Lissu yupo mjini lakini kama hayupo.
Tume ya uchaguzi itisheni uchaguzi haraka tuwachakaze mapema asubuhi!
Maisha magumu wanavizia matukio hawana cha kuwambia wananchi!CHADEMA ni chama cha Makasiriko, Susa Susa, Visasi, na Vinyongo
Radio
FM
0 Megaherts
Wanywe maji kweli kweli. Washakabwa makoo
Umekata tamaa kwa kiwango kikubwa sana mpo hoi bin taabani!Haya ndio matamanio ya Kila jizi la kura la ccm.
Tujue anafanyia nini ruzuku ile ni kodi zetu!Mwenyekiti wa Chadema anawahusu??
Utakayekuwa na timu bora uwanjani!Refa wenu, uwanja wenu, mashindano muanzishe ninyi, unahisi ubingwa atabe Nani??
Narudia tena, haya ndio matamanio ya Kila jizi la kura la ccm.Umekata tamaa kwa kiwango kikubwa sana mpo hoi bin taabani!
Ile ya kule kagera vpNaunga mkono watu kuchangia wahanga ila tunataka kamati huru ya kusimamia hii michango. Bado wananchi tuna maumivu makubwa na utafunwaji wa michango ya Join The Chain. Iteuliwe kamati maalum isiyohusisha yeyote aliyehusika na michango iliyopita. Viongozi waliopo ndani ya CHADEMA kwa sasa hawana uhalali wa kimaadili kuchangisha pesa kwasababu wana tuhuma za kutafuna michango.
Si mlishasema mnatumia dola kubaki madarakani. Na uchaguzi ulopita kote mlishinda ninyi, haya basi waleteeni watanzania maendeleo. Kila ripoti ya CAG ikitoka Ni maumivu tu.😅Utakayekuwa na timu bora uwanjani!
Kuwa chawa ni ajira rasmi kwa sasa hapa bongo. Unalipa kweli kweli uchawaCHADEMA imepoteza mvuto chadema ni sawa na mtu anayekata roho kurusha miguu na mikono ni kawaida yake, CHADEMA ilivamia suala la Dp world likabuma,wakaja na mchongo wa operation katiba imebuma wananchi wamechuna.
Wakavamia agenda ya umeme imebuma raisi kipenzi amewaambia ukweli wananchi wameelewa kiini cha tatizo.
Haitoshi walipoona slaa na kundi lao wanawazidi umaarufu na kuteka agenda wakapita mlango wa nyuma wakafanya yao mpaka leo hii wakina mdude hawajui mchawi ni nani.
Ghafla wakarukia makonda hata sijui anawahusu nini naye ni mwenezi wa ccm, wakajaribu kutengeneza movie la baharia macmuga wa ubelgiji eti amefanya ziara marekani ikabuma.
Ghafla macmuga yupo segera anahutubia wananchi wamemchunia akabwabwaja sana kwa hasira kawaida huja kwa mbwembwe airport hupokelewa kwa maandamano na misafara ya magari na pikipiki mwenyekiti kagoma kuidhinisha pesa ya mapokezi.
Wakatengeneza kipande cha movie mnyika ziarani sijui wapi wakati ni mambo ya kawaida .
Sasa wamevamiwa tukio la maafa kama la kutafutia kiki mara barua ya rambirambi mara mwenyekiti mfalume mswati kufanya ziara hanang yaani hawana pa kushika.
Ushauri wa bure chadema inahitaji viongozi wapya waliokuwepo wamedumaza chama hakina maendeleo hata jengo lenye hadhi ya ofisi ni mtihani.
Lissu yupo mjini lakini kama hayupo.
Tume ya uchaguzi itisheni uchaguzi haraka tuwachakaze mapema asubuhi!
Wamejaa matapishi kutwa kuwachonganisha wananchi na Wafu. Kukimbizana na makaburi and so forth..Maisha magumu wanavizia matukio hawana cha kuwambia wananchi!
Chawa nini maana yake?Kuwa chawa ni ajira rasmi kwa sasa hapa bongo. Unalipa kweli kweli uchawa
Kuongea kwako wewe ndio mvuto wenyewe!CHADEMA imepoteza mvuto chadema ni sawa na mtu anayekata roho kurusha miguu na mikono ni kawaida yake, CHADEMA ilivamia suala la Dp world likabuma,wakaja na mchongo wa operation katiba imebuma wananchi wamechuna.