CHADEMA hali ni mbaya tia maji!

CHADEMA hali ni mbaya tia maji!

Mwanachadema wenzangu tusitishwe na maneno ya mtoa mada.
Tujitahidi kutoa michango, tukumbuke hata kwenye ile michango ya Join The Chain tulichangia vya kutosha pamoja na ile ya Lema kwenda kutangaza dhuluma dhidi ya awamu ya tano ndivyo hivyo hivyo tujitahidi na kujichanga hapa.

View attachment 2834816
Naunga mkono watu kuchangia wahanga ila tunataka kamati huru ya kusimamia hii michango. Bado wananchi tuna maumivu makubwa na utafunwaji wa michango ya Join The Chain. Iteuliwe kamati maalum isiyohusisha yeyote aliyehusika na michango iliyopita. Viongozi waliopo ndani ya CHADEMA kwa sasa hawana uhalali wa kimaadili kuchangisha pesa kwasababu wana tuhuma za kutafuna michango.
 
Chadema imepoteza mvuto chadema ni sawa na mtu anayekata roho kurusha miguu na mikono ni kawaida yake,
Chadema ilivamia suala la Dp world likabuma,wakaja na mchongo wa operation katiba imebuma wananchi wamechuna,

Wakavamia agenda ya umeme imebuma raisi kipenzi amewaambia ukweli wananchi wameelewa kiini cha tatizo .
Haitoshi walipoona slaa na kundi lao wanawazidi umaarufu na kuteka agenda wakapita mlango wa nyuma wakafanya yao mpaka leo hii wakina mdude hawajui mchawi ni nani.

Ghafla wakarukia makonda hata sijui anawahusu nini naye ni mwenezi wa ccm, wakajaribu kutengeneza movie la baharia macmuga wa ubelgiji eti amefanya ziara marekani ikabuma.

Ghafla macmuga yupo segera anahutubia wananchi wamemchunia akabwabwaja sana kwa hasira kawaida huja kwa mbwembwe airport hupokelewa kwa maandamano na misafara ya magari na pikipiki mwenyekiti kagoma kuidhinisha pesa ya mapokezi.

Wakatengeneza kipande cha movie mnyika ziarani sijui wapi wakati ni mambo ya kawaida .
Sasa wamevamiwa tukio la maafa kama la kutafutia kiki mara barua ya rambirambi mara mwenyekiti mfalume mswati kufanya ziara hanang yaani hawana pa kushika.

Ushauri wa bure chadema inahitaji viongozi wapya waliokuwepo wamedumaza chama hakina maendeleo hata jengo lenye hadhi ya ofisi ni mtihani.
Lissu yupo mjini lakini kama hayupo.

Tume ya uchaguzi itisheni uchaguzi haraka tuwachakaze mapema asubuhi!
Nchi mmejaa wajinga na wapumbavu hata Magufuli aliamini hivyo hivyo kuwa atahualpa Chadema Matokeo yake hata wewe unayajua kilichompata
Nafurahi kukuona muda wote unsiwaza chadema na Shughuli zake Endelea kuifikiria hivyo huvyo ila Chadema ipo sawa wewe ndio siku zako zinahesabika

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
i
Naunga mkono watu kuchangia wahanga ila tunataka kamati huru ya kusimamia hii michango. Bado wananchi tuna maumivu makubwa na utafunwaji wa michango ya Join The Chain. Iteuliwe kamati maalum isiyohusisha yeyote aliyehusika na michango iliyopita. Viongozi waliopo ndani ya CHADEMA kwa sasa hawana uhalali wa kimaadili kuchangisha pesa kwasababu wana tuhuma za kutafuna michango.
ile ya tetemeko la BUKOBA iliundiwa kamati?
 
Chadema imepoteza mvuto chadema ni sawa na mtu anayekata roho kurusha miguu na mikono ni kawaida yake,
Chadema ilivamia suala la Dp world likabuma,wakaja na mchongo wa operation katiba imebuma wananchi wamechuna,

Wakavamia agenda ya umeme imebuma raisi kipenzi amewaambia ukweli wananchi wameelewa kiini cha tatizo .
Haitoshi walipoona slaa na kundi lao wanawazidi umaarufu na kuteka agenda wakapita mlango wa nyuma wakafanya yao mpaka leo hii wakina mdude hawajui mchawi ni nani.

Ghafla wakarukia makonda hata sijui anawahusu nini naye ni mwenezi wa ccm, wakajaribu kutengeneza movie la baharia macmuga wa ubelgiji eti amefanya ziara marekani ikabuma.

Ghafla macmuga yupo segera anahutubia wananchi wamemchunia akabwabwaja sana kwa hasira kawaida huja kwa mbwembwe airport hupokelewa kwa maandamano na misafara ya magari na pikipiki mwenyekiti kagoma kuidhinisha pesa ya mapokezi.

Wakatengeneza kipande cha movie mnyika ziarani sijui wapi wakati ni mambo ya kawaida .
Sasa wamevamiwa tukio la maafa kama la kutafutia kiki mara barua ya rambirambi mara mwenyekiti mfalume mswati kufanya ziara hanang yaani hawana pa kushika.

Ushauri wa bure chadema inahitaji viongozi wapya waliokuwepo wamedumaza chama hakina maendeleo hata jengo lenye hadhi ya ofisi ni mtihani.
Lissu yupo mjini lakini kama hayupo.

Tume ya uchaguzi itisheni uchaguzi haraka tuwachakaze mapema asubuhi!
Kwn katibu mkuu mmeshampata??? Au umevamiwa na ugonjwa wa kisasa unaoitwa +255 okoa bandari zetu???
 
sasa hapo ccm iko wapi? hiyo ni serikali wanachokitoa hapo ni kodi zetu.
mnaakili ndogo sana kiasi kwamba hata jitu la ccm likijisaidia haja kubwa linamshukuru raisi kwa kujisaidia vizuri
Hiyo serikali ipo chini ya chadema ndio maana wanafanya michango huko akili zenu zote zipo mfukoni kwa mwenyekiti!
 
wewe hujui kutofautisha kati ya chama na serikali hivyo huelewi nilichoandika
hizo pesa wanazojazia mafuta kwenye ma V8 kwenda kwa wahanga zinatoka lumumba au hazina?
ulisoma kweli wewe au uliiba mitihani hapo kivukoni?
 
Serikali inatekeleza sera za chama gani!
 
Mwanachadema wenzangu tusitishwe na maneno ya mtoa mada.
Tujitahidi kutoa michango, tukumbuke hata kwenye ile michango ya Join The Chain tulichangia vya kutosha pamoja na ile ya Lema kwenda kutangaza dhuluma dhidi ya awamu ya tano ndivyo hivyo hivyo tujitahidi na kujichanga hapa.

View attachment 2834816
Tutachanga!! Lakini Chama kimechangia nini?
 
Chadema imepoteza mvuto chadema ni sawa na mtu anayekata roho kurusha miguu na mikono ni kawaida yake, Chadema ilivamia suala la Dp world likabuma,wakaja na mchongo wa operation katiba imebuma wananchi wamechuna.

Wakavamia agenda ya umeme imebuma raisi kipenzi amewaambia ukweli wananchi wameelewa kiini cha tatizo.

Haitoshi walipoona slaa na kundi lao wanawazidi umaarufu na kuteka agenda wakapita mlango wa nyuma wakafanya yao mpaka leo hii wakina mdude hawajui mchawi ni nani.

Ghafla wakarukia makonda hata sijui anawahusu nini naye ni mwenezi wa ccm, wakajaribu kutengeneza movie la baharia macmuga wa ubelgiji eti amefanya ziara marekani ikabuma.

Ghafla macmuga yupo segera anahutubia wananchi wamemchunia akabwabwaja sana kwa hasira kawaida huja kwa mbwembwe airport hupokelewa kwa maandamano na misafara ya magari na pikipiki mwenyekiti kagoma kuidhinisha pesa ya mapokezi.

Wakatengeneza kipande cha movie mnyika ziarani sijui wapi wakati ni mambo ya kawaida .
Sasa wamevamiwa tukio la maafa kama la kutafutia kiki mara barua ya rambirambi mara mwenyekiti mfalume mswati kufanya ziara hanang yaani hawana pa kushika.

Ushauri wa bure chadema inahitaji viongozi wapya waliokuwepo wamedumaza chama hakina maendeleo hata jengo lenye hadhi ya ofisi ni mtihani.

Lissu yupo mjini lakini kama hayupo.

Tume ya uchaguzi itisheni uchaguzi haraka tuwachakaze mapema asubuhi!

Watu wanahangaika na maafa ya Hanang wewe unahangaika na CHADEMA. Una roho mbaya sana
 
Sasa Kama chama kimechoka ninyi si ndo mngefurahi??? Kwamba unahitaji chadema kiwe imara ili mkiachie nchi?? Umeanza lini kuwa na huruma kwa chadema?? Si kuwa ndo unaombea chadema ife ili mtawale milele??
 
hiki sio chama ni kikoba
 
Una athari tatu zinakusumbua. Moja: elimu inayotolewa na CCM.( huu ni mkakati wa vyama visivyotaka kuachia dola, na vimevuna ng'ombe nyingi tu km wewe). mbili ni mazingira uliyokulia... Wengi mmetoka kujitawazia magunzi ya mahindi hivyo siasa mmezikuta WASHROOM ( siyo rahisi muelewe), tatu ni njaa na ufisadi matumboni mwenu( siyo rahisi uchambue Mambo kwa usahihi km una njaa au ni mnufaika wa mfumo).
Over...........
Kwenye...
 
Muulize kiongozi mkuu yeyote wa hiyo kampuni ya vikoba mwenye kuweza kuinua mkono kupinga ufisadi sio unakariri maneno kama kasuku wa kihindi!
 
Sasa Kama chama kimechoka ninyi si ndo mngefurahi??? Kwamba unahitaji chadema kiwe imara ili mkiachie nchi?? Umeanza lini kuwa na huruma kwa chadema?? Si kuwa ndo unaombea chadema ife ili mtawale milele??
Ndio maana tunataka tume iitishe uchaguzi haraka na mapema upinzani hakuna!
 
Back
Top Bottom