CHADEMA Hakuna Mhandisi wala Mwanasayansi!

Kwa hizi masters na phd za google mkuu??!! Msomi ni yule mwenye kutumia taaluma yake kwa kuleta maendeleo chanya kwa watu wake...Lema ni kiboko ya CCM ameifuta rangi ya kijani kwanzia njiapanda mpaka Namanga...!!?

Fact imekaa vizuri mkuu hongera
 

Hah hah hah ha-ha haha
 
Umeambiwa CHADEMA NI MAABARA yenye kuhitaji hao profesionals.Hebu nitajie hao unaowaita mapadri au wanasheria kwani isije ikawa una majina ya watu wawili au watatu ndo unatumia kama hoja ya kuwakilisha mamilioni ya watu.Did u conduct a research,if yes what was the methodology and sample size.Huku JF kuna usemi ...No research No right to speak.

 
Mimi ni mhandisi mke wangu mwanasayansi baba yangu mtaalam wa hesabu mama yangu mtaalam wa anga tupo wote chadema. Unasemaje, na tumetoboa ushahidi tar 25 oct2015.
 
1
wapo wengi tuu ila kwa kuwa elimu yao hawajabahatisha hawaoni haja ya kutangaza. Hivi nikuulize WEWE UNAFIKIRI STELA MANYANYA NI MHANDISI?. Msomi ambae kasoma bahati mbaya, hajiamini kwenye fani yake, kaungaunga, Ndio huwa wanajitangaza kwa fani zao ila ukimpeka kwenye fani anajiumauma. Lakini ujue chama cha siasa sio kampuni ya ujenzi.
 
unawajua wanachama wote Wa chadema au unaropoka tu

hapo hukutenda haki au hukuielewa kabisa mada .yeye ameuliza kwa nini hakuna kiongozi mwana sayansi ,sio hakuna mwanachama mwanasayansi hivyo ni vitu viwili tofauti
 
Mhandisi Nada Narry, Mshindi kura za maoni Hanang,
 

Mhandisi Nada Narry mshindi kura za maoni, Hanang.
 
Adam Zella wa Mbeya vijijini naye ni mhandisi, kalaga bao
 
David Djumbe mgombea wa ubunge jimbo singida .....ni mhandisi wa electrical engineer,naamini wako wengi sana sema kujua wako wapi ndio inakuwa tatizo
 
Sio Kweli, Chadema ina magwiji wa sayansi na madaktari bingwa wengi tu. Take your time utawaona na kuwaelewa. Ni mpango mkakati tu.


 
Jibu fupi tu tukiingia magogoni vyuo vya umma vyote ni vyetu sasa unataka wanasayansi wa sayari ipi hatupapatik tukichukua dola
 
Wahandisi na wanasayansi wa nini kwenye siasa, chadema haina wachumia tumbo
 
ni bora usiwe na wahandisi ndani ya chama!! maaana tuna wahandisi wanasaini majengo feki na barabara ovyo!!! wahandisi njaaa!!! wachumia tumbo.
 

Huko ccm penye wahandisi na wanasayansi mbona nchi nusu karne bado iko hoi?
Hakuna ubongo, kuna uharo wa bata humo kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…