CHADEMA Hakuna Mhandisi wala Mwanasayansi!

Wahandisi wapo wamejaa tele na hawana makeke kama unavyotaka wawe.Wanapambana zaidi ktk taaluma zao na wanaipa support tu chadema ktk kuiondoa ccm

 

Serikali iliyopo madarakani ina kila aina ya wasomi unaowataka sasa tembelea sehemu ambazo elimu hizo ulizozitaja kama zimeweza kusaidia wananchi kwa kile walichokisomea utaishia kutoa machoz na kuilaani ccm.
 
Yule profesa wa CCM anayeita mil.10 fedha ya mboga ana faida gani?
Wapo wasomi weny PHD lakini mchango wao wa mawazo kwa ndg zao tu ni 00% je kwa taifa itakuwaje?

Siasa haichagui msomi au mtu mweny elimu ya kawaida....tunaangalia uwezo wa mtu wa kufikiri, kutatua matatizo na kuishi vyema na jamii yote
 
Yule MWANATHAYANTHI wenu wa Physics ikawaaje hata tano bora hakuwepo,?!
 
Chadema hatuhitaji ma profesa kama maghembe
Dr kama jk
Profesa kama maji marefu....
 

Ulitaka kujaza post tu
 

Hao wa ccm waliosomea hayo makitu wamesaidia nini hii nchi tuanze na professor wa hela za mboga, na wengine ma pro pro zaidi ya umasikini sana sana wamekuwa mafisadi chenge.n.k
 
wizi mtupu na unafiki wa hali ya juu kuwahi tokea karne hii ya sayansi na teknolojia.
 

Attachments

  • 1437814820652.jpg
    86.5 KB · Views: 276
Walio somea hisabati na sayansi huko ugambani wanamsaada gani na nchi kama majizi na watetezi wa wezi
 
Wewe maengineer hawana njaa,,, wengi wanaamini kwenye fact maana wao wamesomea ukweli na sio uongo kwa hiyo wengi siasa haziwahusu na sidhani kama wanapigaga kura,, ila safari hii kura za wale wote waliosomea fact zitaenda kwa MAGUFULI maana bila shaka baraza lake litakuwa na watu wa fact akina muhongo, nk..
 
Mbona rahisi tu? Mbowe karithi mali ya babake, kafungua disco na danguro dar. Sasa anatumia ujinga wenu kuwa bungeni. Mimi nafanya kazi halali, simdanganyi mbweha yeyote kuwa nitamkomboa. Sijamuua Chacha Wangwe, sizini na Mukya Dubai...... Ukimaliza kunifananisha na Huyo mchaga. Unifananishe pia na Idd Amin. Yeye pia hakuwa na elimu ila alifurahia maisha kama Mbowe na kilaza kama wewe bado ungemsifu tu. Hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…