WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,236
Mkuu Molemo, ni mhimu sana kuweka options zote na ikibidi unazi-dry run zote kuona mwisho wake. CDM kama taasisi lazima tuweze na mfumo mpana zaidi unaoweza kuona CDM inayoongozwa na vitukuu vyangu na vyako. Hatujengi CDM itakayokufa baada ya muda fulani rahasha!! tunajenga taasisi itakayoishi. Binafsi sikuwa nimewaza hizi kesi za uchaguzi wangewachomoka magamba.Mkuu umewaza mbali sana..!
Mkuu Molemo, ni mhimu sana kuweka options zote na ikibidi unazi-dry run zote kuona mwisho wake. CDM kama taasisi lazima tuweze na mfumo mpana zaidi unaoweza kuona CDM inayoongozwa na vitukuu vyangu na vyako. Hatujengi CDM itakayokufa baada ya muda fulani rahasha!! tunajenga taasisi itakayoishi. Binafsi sikuwa nimewaza hizi kesi za uchaguzi wangewachomoka magamba.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema hawatalipa kisasi hata baada ya mahakama kumfutia kesi ya ugaidi Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama hicho, Wilfred Lwakatare, kwa kigezo kuwa mashitaka hayo yalikuwa hayajitoshelezi kuitwa kuwa ni ya ugaidi.
Akizungumza na gazeti hili baada ya hukumu hiyo iliyotolewa na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam na kuvutia hisia za watu wengi Dk. Slaa alisema: Tumesema toka mwanzo, tunaanza na Mungu, tunaendelea na Mungu na tutamaliza na Mungu, hujuma zozote dhidi ya CHADEMA kamwe hazitashinda kwa uwezo wa Mungu.
CHADEMA tunapigania ukombozi wa pili wa taifa letu, tunawapigania wanyonge, tunawapigania walalahoi. Hatukuwa, hatuna na hatutakuwa na sababu ya ugaidi.
Source:Tanzania Daima
Mkuu RitzMkuu chama,
Kumbe Chadema kwenye matukio mengine wana utaratibu wa kulipa visasi kwenye ili Lmmwakatare ndiyo haitalipa kisasi.
Joseph kama wewe ni mtafiti wa mambo jiulize Mrema, Slaa, Mbowe wafunguliwa mashitaka mara ngapi? Lengo hapa ni kwamba uchaguzi uanakaribia na wale wote wa upinzani wenye mvuto wa kuchaguliwa watatafutiwa sababu mbalimbali za kufunguliwa mashitaka. Lengo likiwa hutapata muda wa kujiandaa au kuteuliwa kushiriki ktk uchaguzi!
Nashauri CDM wawe waangalifu ili wasipoteze muda kwenda mahakamani kwenye kesi. Tunawataka wawe na muda wa kutosha kuelimisha wananchi jinsi watakavyowainua kiuchumi mara wachukuapo uongozi wa nchi.
[/QUOTE]Chama,
Hata ingelikuwa Darasa la saba tu, ni busara ya Kawaida tu kujua kilichokuwa kinaendelea katika kesi ya ugaidi aliyobambikiwa Lwakatare. Si amini kama ulikuwa hujui. Hivyo Slaa hawed kujichanganya, wakati nimefuatilia utaratibu wote tangu kauli ya Mwigulu Nchemba, mawasiliano ya Nchemba na Ludovick hadi Mwigula kumlipa fedha kwa kazi aliyomfanyia, TISS kuhangaika kuhonga maofisa wa Ofisi ya Katibu Mkuu ili wakubali kutengeneza ushahidi Fake. Chama ujue Chadema ni Chama Makini haikurupuki hata siku mmoja. Tunaanza na Mungu, Tunaendelea na Mungu na Tutamaliza na Mungu. Hakuna hila, itafanikiwa kuihujumu Chadema, na ni vema wanaopanga hujuma wafahamu kuwa Mabadiliko yanayotokea Tanzania sasa ni saw na Gharika kubwa, na hakuna nguvu yeyote iwayo ya kibinadamu inayoweza kuzuia Gharika. Ni vema, wabaya wetu ndani ya TISS,CCM na Serikali wakaacha kuhangaika kwa kuwa hawatafanikiwa.
Iowa fedha
QUOTE=chama;6322489]Mkuu Molemo
Hivi aliyeshtakiwa ni Lwakatare au Chadema? Naona slaa anajichanganya sana; wakusema hatalipa kisasi ni Lwakatare lakini kwa sababu anajua alichokuwa anakipanga hawezi kulisema hilo.
Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz
Tunasubiria mkuu bila pumba zako jukwa litapoteza chachandu
Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu tapika pumba hizo!!Pata Serukamba moja!
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema hawatalipa kisasi hata baada ya mahakama kumfutia kesi ya ugaidi Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama hicho, Wilfred Lwakatare, kwa kigezo kuwa mashitaka hayo yalikuwa hayajitoshelezi kuitwa kuwa ni ya ugaidi.
Akizungumza na gazeti hili baada ya hukumu hiyo iliyotolewa na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam na kuvutia hisia za watu wengi Dk. Slaa alisema: Tumesema toka mwanzo, tunaanza na Mungu, tunaendelea na Mungu na tutamaliza na Mungu, hujuma zozote dhidi ya CHADEMA kamwe hazitashinda kwa uwezo wa Mungu.
CHADEMA tunapigania ukombozi wa pili wa taifa letu, tunawapigania wanyonge, tunawapigania walalahoi. Hatukuwa, hatuna na hatutakuwa na sababu ya ugaidi.
Source:Tanzania Daima
Hivi hata kuchukua wake za watu huwa anaanza na munngu kweli?Katibu anamshirikisha Mungu kwenye maneno yake wakati anajua uchafu na dhambi kubwa anazoendelea kuzifanya hapa duniani.Labda kama ana maanisha mungu wa masanamu.Ewe Mungu kwa uwezo wako naomba mchukue huyu kiumbe chako ili majanga yapungue kwa hii nchi yetu isije ikawa ni kwa sababu ya laana anazotusababishia
Katibu anamshirikisha Mungu kwenye maneno yake wakati anajua uchafu na dhambi kubwa anazoendelea kuzifanya hapa duniani.Labda kama ana maanisha mungu wa masanamu.Ewe Mungu kwa uwezo wako naomba mchukue huyu kiumbe chako ili majanga yapungue kwa hii nchi yetu isije ikawa ni kwa sababu ya laana anazotusababishia