CHADEMA haitalipa kisasi-Dr Slaa

CHADEMA haitalipa kisasi-Dr Slaa

Mkuu Molemo
Hivi aliyeshtakiwa ni Lwakatare au Chadema? Naona slaa anajichanganya sana; wakusema hatalipa kisasi ni Lwakatare lakini kwa sababu anajua alichokuwa anakipanga hawezi kulisema hilo.
Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz
 
Last edited by a moderator:
Tunasubiria mkuu bila pumba zako jukwa litapoteza chachandu
Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu chama,

Kumbe Chadema kwenye matukio mengine wana utaratibu wa kulipa visasi kwenye ili Lwakatare ndiyo haitalipa kisasi.
 
Last edited by a moderator:
Heri kijana mwenye akili kuliko mzee mpumbavu asiyekuwa na busara. CHADEMA ni chama kichanga (Kijana); Nyinyiemu ni chama kikongwe (Mzee)

Hata mjibaraguze sisi hatulipizi tuna mwachia Mungu.
 
Nilitegemea kutoona comments za waganga njaa wa CCM humu,maana mahakama imewaumbua kiasi cha kutosha,kama ile style ya Igunga ingetumika(kukosekana hati ya nyumba kesi nzima,na vielelezo vingine vinakosa thamani)ilibidi kesi ifutwe,kikubwa zaidi tumejifunza kuwa AG na DPP sio wanataaluma tena bali ni wanasiasa ambao kwa makusudi wameweka akili zao mifukoni na kuruhusu akili ndogo itawale akili kubwa.
 
Sijui waliokuwa wanaishambulia CHADEMA na kukiita chama cha kigaidi wanajisikiaje sasa,kuna mambo mengi ya kujifunza na kuendesha siasa zenye kuangalia hali ya baadae itakuaje,tunasubiri kesi ya Lwakatare iishe ili ukweli ujulikane.

Joseph kama wewe ni mtafiti wa mambo jiulize Mrema, Slaa, Mbowe wafunguliwa mashitaka mara ngapi? Lengo hapa ni kwamba uchaguzi uanakaribia na wale wote wa upinzani wenye mvuto wa kuchaguliwa watatafutiwa sababu mbalimbali za kufunguliwa mashitaka. Lengo likiwa hutapata muda wa kujiandaa au kuteuliwa kushiriki ktk uchaguzi!
Nashauri CDM wawe waangalifu ili wasipoteze muda kwenda mahakamani kwenye kesi. Tunawataka wawe na muda wa kutosha kuelimisha wananchi jinsi watakavyowainua kiuchumi mara wachukuapo uongozi wa nchi.
 
Nafahamu sana kuwa Serikali ya CCM kila siku inatafuta kitu cha kuweza kudidimiza upinzani,hata hivyo bado ukweli yafaa ujulikane hata kama wapinzani wakiwa wanakamatwa na kufunguliwa mashitaka,mbaya zaidi kwa hali ilivyo wapinzani hawawezi kuepuka kufunguliwa mashitaka na Serikali maana tunaona kesi nyingi za kutunga na kumbambikia wapinzani makosa yasiyo na kichwa wala miguu na mwisho wa siku ukweli unadhihiri mahakamani kuwa hawana makosa.
 
Nilitegemea kutoona comments za waganga njaa wa CCM humu,maana mahakama imewaumbua kiasi cha kutosha,kama ile style ya Igunga ingetumika(kukosekana hati ya nyumba kesi nzima,na vielelezo vingine vinakosa thamani)ilibidi kesi ifutwe,kikubwa zaidi tumejifunza kuwa AG na DPP sio wanataaluma tena bali ni wanasiasa ambao kwa makusudi wameweka akili zao mifukoni na kuruhusu akili ndogo itawale akili kubwa.

Watu wengi sana wamempuuza DPP.Hata sheikh Ponda jana alisema huyu si mwanasheria bali ni mwanasiasa.
 
Mkuu Molemo
Hivi aliyeshtakiwa ni Lwakatare au Chadema? Naona slaa anajichanganya sana; wakusema hatalipa kisasi ni Lwakatare lakini kwa sababu anajua alichokuwa anakipanga hawezi kulisema hilo.
Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz
Mkuu acha kujitoa akili na ufahamu.
Kumbuka maneno ya Mwigulu ambaye amekiri kuwa yeye ndio alipeleka polisi mkanda ule wa 'ugaidi'
Alisema anayo tape inayoonyesha kiongozi wa chadema akipanga ugaidi.
Leo unajidai kushangaa kuwa ni Lwakatare au Chadema?
 
Hata mahakamani una anza na kiapo kua uyasemayo sahihi, lkn unadanganya. Tusubiri mahakama mkuu punguza shangwe

Mkuu Mfyomi/mgorowa,
Ile kufutiwa kwa baadhi ya mashtaka na mahakama ni hatua kubwa, nalo linatosha kuwa shangwe.
 
Mmekatazwa haya maneno ya kuita vyama vya watu magaidi ama dini fulani na dini fulani ila bado hamsikii cjui mpk lilipuliwe jumba lele ndio mtaacha kueneza chuki zenu? hata swala la udini lilianza hivi hivi na badae mkaanza kusema kikundi cha wahuni while hao wahuni wako within the system
 
"Mungu akiwa upande wetu hakuna aliye juu yetu" Hongera sana wana ukombozi kwa kumtanguliza Mungu
 
Tuzidi kumwomba Mungu kila kitu kina mwisho na siku zote mafuta na maji havichemshwi pamoja.Watu fanyeni kazi na siku zote msema kweli ni mpenzu wa Mungu.
 
machadema mnachekesha kweli, mnatembea na sumu kuulia watu kisha mnahadaa wananchi eti mpo na mungu, huyo atakuwa ni mungu wa giza mfano wa freemason
 
slaa mwenyewe ndio amekivuruga chama kwa visasi na chuki zake binafsi leo anatuletea siasa zake mufilisi hapa
 
Nilitegemea kutoona comments za waganga njaa wa CCM humu,maana mahakama imewaumbua kiasi cha kutosha,kama ile style ya Igunga ingetumika(kukosekana hati ya nyumba kesi nzima,na vielelezo vingine vinakosa thamani)ilibidi kesi ifutwe,kikubwa zaidi tumejifunza kuwa AG na DPP sio wanataaluma tena bali ni wanasiasa ambao kwa makusudi wameweka akili zao mifukoni na kuruhusu akili ndogo itawale akili kubwa.

GAIDI MKUU WEWE. kwa hiyo kulisha watu sumu ni halali??? machadema bana. kwann hamuoni aibu???
 
Back
Top Bottom