Mungu akiwa upande wetu nani atatushinda
Inatia moyo sana kuona sasa umemjua Mungu. Wengi wataweza kujumuika na wewe kupata vinywaji maana ilikuwa ni wasiwasi mtupu; Mungu anedelee kuibariki Chadema na aipushe na watu waovu kama Lwakatare
Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu wangu Ben Saanane hiyo ni kauli nzito kutoka kwa mtu mzito.Kamanda anayejiandaa kuingia madarakani kwa kura za wananchi.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema hawatalipa kisasi hata baada ya mahakama kumfutia kesi ya ugaidi Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama hicho, Wilfred Lwakatare, kwa kigezo kuwa mashitaka hayo yalikuwa hayajitoshelezi kuitwa kuwa ni ya ugaidi.
Akizungumza na gazeti hili baada ya hukumu hiyo iliyotolewa na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam na kuvutia hisia za watu wengi Dk. Slaa alisema: Tumesema toka mwanzo, tunaanza na Mungu, tunaendelea na Mungu na tutamaliza na Mungu, hujuma zozote dhidi ya CHADEMA kamwe hazitashinda kwa uwezo wa Mungu.
CHADEMA tunapigania ukombozi wa pili wa taifa letu, tunawapigania wanyonge, tunawapigania walalahoi. Hatukuwa, hatuna na hatutakuwa na sababu ya ugaidi.
Source:Tanzania Daima
Mkuu sina kiherehere ila nafarijika sana kuona watu wanabadilika; nataka kuona vijana tunashindana kwa hoja na sera; hivi huoni faraja kuona hata habibu mchange anakaa na wewe na kuburudika na vinywaji bila hofu yoyote? Wanasiasa wazee wapo tayari kufanya lolote ili mradi tu waingie madarakani; wewe bado kijana sana una nafasi ya kurekebisha mambo kabla hujawasikiliza hao wazee fikiria kwa makini azma zao.Hicho kiherehere chako hicho.....!
hawa lolote cdm nimagaidi tu.
Heri kijana mwenye akili kuliko mzee mpumbavu asiyekuwa na busara. CHADEMA ni chama kichanga (Kijana); Nyinyiemu ni chama kikongwe (Mzee)
Aibu mnayo nyie; na Chadema inao uwezo huo wa kulipa kisasi au ni maneno ya kuropoka tu?ChamaGongo la mboto DSM
Mkuu sina kiherehere ila nafarijika sana kuona watu wanabadilika; nataka kuona vijana tunashindana kwa hoja na sera; hivi huoni faraja kuona hata habibu mchange anakaa na wewe na kuburudika na vinywaji bila hofu yoyote? Wanasiasa wazee wapo tayari kufanya lolote ili mradi tu waingie madarakani; wewe bado kijana sana una nafasi ya kurekebisha mambo kabla hujawasikiliza hao wazee fikiria kwa makini azma zao.
Chama
Gongo la mboto DSM
Kesi hii ilikuwa ni kugharamia zile kesi mbili za Igunga na Sumbawanga Mjini, attention yote imehamia kwenye kesi huku magamba yamejirudishia ubunge kiulaini bila hata kupata report za maana.