CHADEMA haitalipa kisasi-Dr Slaa

CHADEMA haitalipa kisasi-Dr Slaa

Mkuu umewaza mbali sana..!
Mkuu Molemo, ni mhimu sana kuweka options zote na ikibidi unazi-dry run zote kuona mwisho wake. CDM kama taasisi lazima tuweze na mfumo mpana zaidi unaoweza kuona CDM inayoongozwa na vitukuu vyangu na vyako. Hatujengi CDM itakayokufa baada ya muda fulani rahasha!! tunajenga taasisi itakayoishi. Binafsi sikuwa nimewaza hizi kesi za uchaguzi wangewachomoka magamba.
 
Umenena vema sana mkuu.Pamoja sana Kamanda.
 
Tulianza na mungu tutamaliza na mungu na katika hili hakuna wa kutushinda!
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema hawatalipa kisasi hata baada ya mahakama kumfutia kesi ya ugaidi Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama hicho, Wilfred Lwakatare, kwa kigezo kuwa mashitaka hayo yalikuwa hayajitoshelezi kuitwa kuwa ni ya ugaidi.

Akizungumza na gazeti hili baada ya hukumu hiyo iliyotolewa na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam na kuvutia hisia za watu wengi Dk. Slaa alisema: “Tumesema toka mwanzo, tunaanza na Mungu, tunaendelea na Mungu na tutamaliza na Mungu, hujuma zozote dhidi ya CHADEMA kamwe hazitashinda kwa uwezo wa Mungu.

CHADEMA tunapigania ukombozi wa pili wa taifa letu, tunawapigania wanyonge, tunawapigania walalahoi. Hatukuwa, hatuna na hatutakuwa na sababu ya ugaidi.

Source:Tanzania Daima

Dr hata wafanye nini bado tuko pamoja daima, shida yetu ni kukomboa taifa letu wala si chochote kingine
 
Mkuu chama,

Kumbe Chadema kwenye matukio mengine wana utaratibu wa kulipa visasi kwenye ili Lmmwakatare ndiyo haitalipa kisasi.
Mkuu Ritz
Ofisi ya Lwakatare moja ya majukumu yake ni hayo ya kulipa visasi na yeye ndio mratibu wa shughuli zote; safari itakuwa hii ngumu sana ushetani wao umejulikana; huyo slaa anayedai hatalipa kisasi eti kwasababu mhalifu kawekwa ndani na Kibanda waliyemtoa jicho asemeje? Kibanda kama asingehama Tanzania Daima yangemfika ya kutolewa macho?
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Chama,
Hata ingelikuwa Darasa la saba tu, ni busara ya Kawaida tu kujua kilichokuwa kinaendelea katika kesi ya ugaidi aliyobambikiwa Lwakatare. Si amini kama ulikuwa hujui. Hivyo Slaa hawed kujichanganya, wakati nimefuatilia utaratibu wote tangu kauli ya Mwigulu Nchemba, mawasiliano ya Nchemba na Ludovick hadi Mwigula kumlipa fedha kwa kazi aliyomfanyia, TISS kuhangaika kuhonga maofisa wa Ofisi ya Katibu Mkuu ili wakubali kutengeneza ushahidi Fake. Chama ujue Chadema ni Chama Makini haikurupuki hata siku mmoja. Tunaanza na Mungu, Tunaendelea na Mungu na Tutamaliza na Mungu. Hakuna hila, itafanikiwa kuihujumu Chadema, na ni vema wanaopanga hujuma wafahamu kuwa Mabadiliko yanayotokea Tanzania sasa ni saw na Gharika kubwa, na hakuna nguvu yeyote iwayo ya kibinadamu inayoweza kuzuia Gharika. Ni vema, wabaya wetu ndani ya TISS,CCM na Serikali wakaacha kuhangaika kwa kuwa hawatafanikiwa.
Iowa fedha

QUOTE=chama;6322489]Mkuu Molemo
Hivi aliyeshtakiwa ni Lwakatare au Chadema? Naona slaa anajichanganya sana; wakusema hatalipa kisasi ni Lwakatare lakini kwa sababu anajua alichokuwa anakipanga hawezi kulisema hilo.
Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
Dr.W.Slaa
Kwa busara zako hebu tuhabarishe aliyekuwa akiongea ndani ya video ile ni Mwigulu Nchemba au Lwakatare? Mambo yapo wazi kama ungekuwa na hizo busara unazotaka mimi nitumie nina uhakika ungelaani mipango yoyote ile ya kudhuru binadamu mwenzako na huyu Mungu mnayemtia kwenye vinywa vyenu kila siku ni yupi? Hivi nafsi zenu hazioni ubaya kumtaja Mungu pasipo sababu mna utakatifu gani? Miongoni mwenu kuna wauaji; wabakaji; wezi na watesaji nyie ongeeni siasa tu Mungu muacheni muombeni tu kama waumini wa kawaida
Chama
Gongo la mboto DSm
 
Last edited by a moderator:
Joseph kama wewe ni mtafiti wa mambo jiulize Mrema, Slaa, Mbowe wafunguliwa mashitaka mara ngapi? Lengo hapa ni kwamba uchaguzi uanakaribia na wale wote wa upinzani wenye mvuto wa kuchaguliwa watatafutiwa sababu mbalimbali za kufunguliwa mashitaka. Lengo likiwa hutapata muda wa kujiandaa au kuteuliwa kushiriki ktk uchaguzi!
Nashauri CDM wawe waangalifu ili wasipoteze muda kwenda mahakamani kwenye kesi. Tunawataka wawe na muda wa kutosha kuelimisha wananchi jinsi watakavyowainua kiuchumi mara wachukuapo uongozi wa nchi.

Wanaweza kuwawekea hata pingamizi wakati wa uchaguzi kwa kisingizio cha kuwa na kesi mahakamani
 
Chama,
Hata ingelikuwa Darasa la saba tu, ni busara ya Kawaida tu kujua kilichokuwa kinaendelea katika kesi ya ugaidi aliyobambikiwa Lwakatare. Si amini kama ulikuwa hujui. Hivyo Slaa hawed kujichanganya, wakati nimefuatilia utaratibu wote tangu kauli ya Mwigulu Nchemba, mawasiliano ya Nchemba na Ludovick hadi Mwigula kumlipa fedha kwa kazi aliyomfanyia, TISS kuhangaika kuhonga maofisa wa Ofisi ya Katibu Mkuu ili wakubali kutengeneza ushahidi Fake. Chama ujue Chadema ni Chama Makini haikurupuki hata siku mmoja. Tunaanza na Mungu, Tunaendelea na Mungu na Tutamaliza na Mungu. Hakuna hila, itafanikiwa kuihujumu Chadema, na ni vema wanaopanga hujuma wafahamu kuwa Mabadiliko yanayotokea Tanzania sasa ni saw na Gharika kubwa, na hakuna nguvu yeyote iwayo ya kibinadamu inayoweza kuzuia Gharika. Ni vema, wabaya wetu ndani ya TISS,CCM na Serikali wakaacha kuhangaika kwa kuwa hawatafanikiwa.
Iowa fedha

QUOTE=chama;6322489]Mkuu Molemo
Hivi aliyeshtakiwa ni Lwakatare au Chadema? Naona slaa anajichanganya sana; wakusema hatalipa kisasi ni Lwakatare lakini kwa sababu anajua alichokuwa anakipanga hawezi kulisema hilo.
Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz
[/QUOTE]

Baba wetu Kamanda Dr.W.Slaa Asante sana kwa busara na hekima zako.Tuko Pamoja na wewe.Usihofu ni lazima haki itashinda.

Kuna watu wengine wapo hapa Jamvini kugeuza ukweli kuwa uwongo na uwongo kuwa ukweli.Hao wasikusumbue tunawajua na wameshajidhalilisha vya kutosha.
 
Last edited by a moderator:
Ma Ccm yanaangaika kutafutia watu kesi licha wawape wananchi wake maisha bora
 
Baba wetu Kamanda Dr.W.Slaa Asante sana kwa busara na hekima zako.Tuko Pamoja na wewe.Usihofu ni lazima haki itashinda.

Kuna watu wengine wapo hapa Jamvini kugeuza ukweli kuwa uwongo na uwongo kuwa ukweli.Hao wasikusumbue tunawajua na wameshajidhalilisha vya kutosha.[/QUOTE]
Ukweli ni kama vile kuishi na kimada na kudai unaishi na mke wakati huna hata cheti kimoja cha ndoa kinachotambulika
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Katibu anamshirikisha Mungu kwenye maneno yake wakati anajua uchafu na dhambi kubwa anazoendelea kuzifanya hapa duniani.Labda kama ana maanisha mungu wa masanamu.Ewe Mungu kwa uwezo wako naomba mchukue huyu kiumbe chako ili majanga yapungue kwa hii nchi yetu isije ikawa ni kwa sababu ya laana anazotusababishia
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema hawatalipa kisasi hata baada ya mahakama kumfutia kesi ya ugaidi Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama hicho, Wilfred Lwakatare, kwa kigezo kuwa mashitaka hayo yalikuwa hayajitoshelezi kuitwa kuwa ni ya ugaidi.

Akizungumza na gazeti hili baada ya hukumu hiyo iliyotolewa na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam na kuvutia hisia za watu wengi Dk. Slaa alisema: “Tumesema toka mwanzo, tunaanza na Mungu, tunaendelea na Mungu na tutamaliza na Mungu, hujuma zozote dhidi ya CHADEMA kamwe hazitashinda kwa uwezo wa Mungu.

CHADEMA tunapigania ukombozi wa pili wa taifa letu, tunawapigania wanyonge, tunawapigania walalahoi. Hatukuwa, hatuna na hatutakuwa na sababu ya ugaidi.

Source:Tanzania Daima

maneno matamu machoni mwa Wananchi ndiyo mwanya wanaotumia CDM kufanya uhalifu huku wakijua wananchi wameshawapiga upofu wa kuelewa kwa maneno matamu yasiyokuwa na kweli. Na hiyo ndiyo hulka ya MAFIA yoyote ulimwenguni
 
Katibu anamshirikisha Mungu kwenye maneno yake wakati anajua uchafu na dhambi kubwa anazoendelea kuzifanya hapa duniani.Labda kama ana maanisha mungu wa masanamu.Ewe Mungu kwa uwezo wako naomba mchukue huyu kiumbe chako ili majanga yapungue kwa hii nchi yetu isije ikawa ni kwa sababu ya laana anazotusababishia
Hivi hata kuchukua wake za watu huwa anaanza na munngu kweli?
 
Katibu anamshirikisha Mungu kwenye maneno yake wakati anajua uchafu na dhambi kubwa anazoendelea kuzifanya hapa duniani.Labda kama ana maanisha mungu wa masanamu.Ewe Mungu kwa uwezo wako naomba mchukue huyu kiumbe chako ili majanga yapungue kwa hii nchi yetu isije ikawa ni kwa sababu ya laana anazotusababishia

This is Rubbish!

Umesahau kuna ambaye anatumia kodi zetu kulipia vimada wake.Kuombea binadamu mwenzako kifo kwa sababu ya tofauti za kiitikadi ni upuuzi wa hali ya juu
 
Ccm itakufa mwakani 2014 uchaguzi wa local gvt isipokufa naanzisha guerrilar war ila tuikatae jamani.....ccm?how do you feel when you mention it??? Rotten dump
 
Back
Top Bottom