CHADEMA haina gazeti, radio wala tv, wanachama walipomuhitaji afsa habari wakaletewa Tumaini Makene

Tanzania daima ni msaada wa wajerumani kwa chama lakini mkuu wa taasisi akajimilikisha CDM kwa sasa hawawezi kuanzisha gazeti maana litapunguza mapato ya Tanzania daima gazeti la mkuu wa Taasisi
 
Magetisita, mimi nakushauri haya ya CDM yameshakuzidi umri huwezi na wala haupo na hautakuwepo ktk level yao tena.
Cha msingi fuata mambo na vitu vya level yako na vinavyokuhusu wewe na watu wako, by the way sijui mambo ya Uswisi umefikia wapi au ndiyo umekatia ktkt kama kawaida yako??
 
sixgates, unaonekana u mtu mzuri na pia unakipenda sana CHADEMA, Sijui kwa nini unapoteza maarifa na furaha yako kuwa katika taasisi ambayo kwa moyo wako yaonesha unakipenda, na kuamua kuwa mfuasi wa mtu pasipo kujali unaizurum nafsi yako. Ningekuwa na uwezo ningekulazimisha ufuate takwa la,moyo wako na si mtu kwa minajili ya kulipa fadhila. Think twice brother hopes you will make u-turn soon before ts late kamanda!

Mkuu ukiweka mahaba pembeni utagundua chadema ina matatizo sana
 
Last edited by a moderator:
Kiaje mkuu.. Tatizo huangalii ushauri, unaangalia nani katoa. Mimi nimeandika jinsi ya kuboresha umoja wa wanawake chadema lakini kw ukaidi wao sioni kinachofanyika

kamwe sintokua kwenye siasa zenu... and i hope wahusika wa saisa za Tanzania watakusikia

but you are shrinking mkuu

not the same kabisa
 
kamwe sintokua kwenye siasa zenu... and i hope wahusika wa saisa za Tanzania watakusikia

but you are shrinking mkuu

not the same kabisa

Unazungumza hata usichoweza kukielewa mwenyewe, yo ar doing what yo claiming th yo don't want to do. Hueleweki
 
Mkuu ukiweka mahaba pembeni utagundua chadema ina matatizo sana
Nimekuambia ulioa ushauri unaodai kuutoa mwaka mwaka gani? Maana sasa umeahidiwa porojo ....jibu nitiririke hapa JUKWAANI maana kutwa kuchwa wewe tu, unajitia unaifahamu Chadema , sema ......maana najua unadanganya hapa JUKWAANI , njia ya mwongo na mzushi ni fupi ......
 
Enzi zile chadema ilivyokuwa CHADEMA, nlikuwa sehem ya kukishauri chama kijiimarishe katika maeneo matatu muhimu.

- Media (printing media, redio, tv, social networks)
- Umoja wa wanawake chadema
- umoja wa vijana chadema

Naomba leo nizungumzie tu Kwenye upande wa media zilionyeshwa changamoto nyingi kwanini chadema hakina chombo cha habari, nilizielewa changamoto hizo pengine watanielewa zaidi wale wenye kujua gharama za kumiliki media outlet kama redio au gazet au tv. Baada ya kuona chadema inahitaji subira katika hili, juhudi zilielekezwa katika "lobbing team" ndani ya media nchini, pia hamasa ikaelekezwa kwenye "social networks" ambapo designing yake ilikuwa na nia njema kujenga hoja na kupangua in short vijana wa chadema were supposed to be "arguments gladiators" na sio kupika na kurely much on propganda. John mnyika alikuwa mtu mwenye mikakati mingi, akizungumza unamuona kabisa the project was going to be real, nakumbuka hata pale ofisini ufipa kuna chumba kilitengwa kwa ajili ya chadema TV lakini sifaam what is going on since I ve left the party pengine bado ni sehemu ya kupigia story na kusomea magazeti as it was then.

Moja ya ombi kubwa ilikuwa ni kumpata afisa habari ambaye angekuwa talented, committed na ambaye atakuwa na uwezo wa ku counter attack propaganda kabla hazija sambaa beyond mile-stones. Katika watu waliokuwa wanategemewa kwa weledi (professionalism), usikivu, commitment, proactive na mwenye high degree of understanding was this guy mohamed Mtoi. Badala yake akaletwa Tumaini Makene, and the rumors has it jamaa kabebwa tuu ndio maana hata deliverance yake ipo too low.

Mtakubaliana na mimi kuwa kwa sasa afsa habari ya chadema imelala, nimetoka kwenye mihangaiko yangu naingia hapa JF na kwenye website ya chadema, hakuna any new feed, can you imagine?.

Its high time for chadema fans to loud their voice against this passive party information officer because ni disgrace kwa chama kinachotaka kuchukua dolla.
Si wanayo Chadema youtube wao wanaita TV.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu

Tuangalie na kujadili mambo kama great thinkers na tusiwe washabikia mambo na kuweka ushabiki kila mahali.

Binafsi namkubali sana Tumaini Makene na naweza sema kuwa ni afisa habari bora kabisa kwa sasa kwenye hizi siasa za vyama vingi, ni mweledi na msomi wa kiwango cha juu kwenye tasnia ya habari.

Naamini kuwa nisingeweza kuvaa viatu vya makene na kama zingewekwa cv zetu Mimi na makene ingekuwa ukame wa maono Kwa Mimi kuchaguliwa na kuachwa Makene. By profession Makene ni mwanahabari Mimi sio mwanahabari, japo naandika makala lakini kuandika makala kwenye magazeti hakunifanyi kuwa mwanahabari chadema ikihitaji mwanahabari mwenye weledi wa aina ya Makene.

Tumuache Makene afanye kazi yake na tuheshimu team playing anayoifanya.
 
Breaking news;- slaa adhalilishwa kigoma kaskazini jioni hii. Akimbia mkutano:

Wakuu,

Taarifa za uhakika kutoka kwa katibu wa JIMBO LA KIGOMA KASKAZINI CHADEMA ndugu RAMA RUAHA, ni kwamba Katibu mkuu wa CHADEMA Padri SLAA leo alikuwa afanye mikutano miwili katika vijiji viwili baada ya kukimbia NGOME KUU YA ZZK ''MWANDIGA'' na kukimbilia kuweka mikutano ifanyike kijiji cha NYARUBANDA na mwingine KIDAHWE.

Taarifa kamili ni kama ifuatavyo

(i). MKUTANO WA NYARUBANDA. - Itabidi PADRI SLAA aishukuru mvua iliyowatawanyisha wananchi wenye HASIRA walioanza kumshambulia SLAA kwa mabango, maneno makali na mawe, huku vijana wake wa REDBRIGED wakionyesha kuishiwa nguvu na kuomba msaada wa POLISI.

SLAA anayejidai kichwa ngumu leo ameishukuru mvua hiyo iliyositiri AIBU YAKE YA KARNE YA KUPOPOLEWA NA MAYAI VIZA NA MAWE.

(ii). MKUTANO WA KIDAHWE - Katika Hali ile ile ya WAHA WA KIGOMA kumchukia DOKTA SLAA kwa kuwafanya wendawazimu na kuwataka washerehekee MAZISHI YA KIJANA WAO, huku SLAA ILIMBIDI AINGIE MITINI.

NDIO, SLAA AMESHINDWA KUTOKEA MKUTANONI KIDAHWE BAADA YA KUAMBIWA KUWA WANANCHI WA ENEO HILO WANA HASIRA NA CHUKI KUBWA DHIDI YAKE, VIONGOZI WA CHADEMA KIDAHWE WALIKATAA HATA KUMUWEKEA MEZA YA KUSIMAMA KUHUTUBIA, GARI LA M4C LILILOONGOZANA NA VIBARAKA WAKE LILIAMBULIA MATUSI MAKUBWA NA MAWE MFULULIZO KISHA KUPEWA TAHADHARI KUWA MLETENI SLAA AONE CHA MTEMA KUNI.

KWA KIFUPI KABISA SLAA AMEUMBUKA KWA KUSHINDWA KUHUTUBIA JIMBONI KWA ZITTO KABWE,

WENYEWE WANASEMA ''slaa hawezi kutuulia mwanetu halafu anakuja kutuimbia NGOMA za kikweo tucheze, sisi sio wapuuzi''

namuomba MOLEMO, BEN SAA NANE, TUMAINI MAKENE, WAITARA NA WENGINEO WOTE WAJE HAPA KUBISHA AMA KUTHIBITISHA TOFAUTI''
 
Duh! inawezekana hata taarifa ya habari ITV hujaangalia
 
Back
Top Bottom