CHADEMA haina gazeti, radio wala tv, wanachama walipomuhitaji afsa habari wakaletewa Tumaini Makene

sixgates

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
3,979
2,000
Enzi zile chadema ilivyokuwa CHADEMA, nlikuwa sehem ya kukishauri chama kijiimarishe katika maeneo matatu muhimu.

- Media (printing media, redio, tv, social networks)
- Umoja wa wanawake chadema
- umoja wa vijana chadema

Naomba leo nizungumzie tu Kwenye upande wa media zilionyeshwa changamoto nyingi kwanini chadema hakina chombo cha habari, nilizielewa changamoto hizo pengine watanielewa zaidi wale wenye kujua gharama za kumiliki media outlet kama redio au gazet au tv. Baada ya kuona chadema inahitaji subira katika hili, juhudi zilielekezwa katika "lobbing team" ndani ya media nchini, pia hamasa ikaelekezwa kwenye "social networks" ambapo designing yake ilikuwa na nia njema kujenga hoja na kupangua in short vijana wa chadema were supposed to be "arguments gladiators" na sio kupika na kurely much on propganda. John mnyika alikuwa mtu mwenye mikakati mingi, akizungumza unamuona kabisa the project was going to be real, nakumbuka hata pale ofisini ufipa kuna chumba kilitengwa kwa ajili ya chadema TV lakini sifaam what is going on since I ve left the party pengine bado ni sehemu ya kupigia story na kusomea magazeti as it was then.

Moja ya ombi kubwa ilikuwa ni kumpata afisa habari ambaye angekuwa talented, committed na ambaye atakuwa na uwezo wa ku counter attack propaganda kabla hazija sambaa beyond mile-stones. Katika watu waliokuwa wanategemewa kwa weledi (professionalism), usikivu, commitment, proactive na mwenye high degree of understanding was this guy mohamed Mtoi. Badala yake akaletwa Tumaini Makene, and the rumors has it jamaa kabebwa tuu ndio maana hata deliverance yake ipo too low.

Mtakubaliana na mimi kuwa kwa sasa afsa habari ya chadema imelala, nimetoka kwenye mihangaiko yangu naingia hapa JF na kwenye website ya chadema, hakuna any new feed, can you imagine?.

Its high time for chadema fans to loud their voice against this passive party information officer because ni disgrace kwa chama kinachotaka kuchukua dolla.
----------------------
----------------------
Wakuu

Tuangalie na kujadili mambo kama great thinkers na tusiwe washabikia mambo na kuweka ushabiki kila mahali.

Binafsi namkubali sana Tumaini Makene na naweza sema kuwa ni afisa habari bora kabisa kwa sasa kwenye hizi siasa za vyama vingi, ni mweledi na msomi wa kiwango cha juu kwenye tasnia ya habari.

Naamini kuwa nisingeweza kuvaa viatu vya makene na kama zingewekwa cv zetu Mimi na makene ingekuwa ukame wa maono Kwa Mimi kuchaguliwa na kuachwa Makene. By profession Makene ni mwanahabari Mimi sio mwanahabari, japo naandika makala lakini kuandika makala kwenye magazeti hakunifanyi kuwa mwanahabari chadema ikihitaji mwanahabari mwenye weledi wa aina ya Makene.

Tumuache Makene afanye kazi yake na tuheshimu team playing anayoifanya.
 
Last edited by a moderator:

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
21,997
2,000
here we go again...

an isntitution without media grip inawanyima usingizi baadhi ya watu

funny
 
TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
21,997
2,000
Ushauri sio tusi. Kwa sasa tukubali kurugenzi ya habari chadema ipo soo weak.

it is funny kuona mke mdogo anamshauri mke mkubwa kuboresha mapishi... kwikwikwikwi

ndugu yangu, ulikua smart, ila hii ya chadema inakumaliza kweli

jifanyie tathmini
 
sixgates

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
3,979
2,000
it is funny kuona mke mdogo anamshauri mke mkubwa kuboresha mapishi... kwikwikwikwi

ndugu yangu, ulikua smart, ila hii ya chadema inakumaliza kweli

jifanyie tathmini

Kiaje mkuu.. Tatizo huangalii ushauri, unaangalia nani katoa. Mimi nimeandika jinsi ya kuboresha umoja wa wanawake chadema lakini kw ukaidi wao sioni kinachofanyika
 
Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
4,133
1,225
Enzi zile chadema ilivyokuwa CHADEMA, nlikuwa sehem ya kukishauri chama kijiimarishe katika maeneo matatu muhimu.

- Media (printing media, redio, tv, social networks)
- Umoja wa wanawake chadema
- umoja wa vijana chadema

Naomba leo nizungumzie tu Kwenye upande wa media zilionyeshwa changamoto nyingi kwanini chadema hakina chombo cha habari, nilizielewa changamoto hizo pengine watanielewa zaidi wale wenye kujua gharama za kumiliki media outlet kama redio au gazet au tv. Baada ya kuona chadema inahitaji subira katika hili, juhudi zilielekezwa katika "lobbing team" ndani ya media nchini, pia hamasa ikaelekezwa kwenye "social networks" ambapo designing yake ilikuwa na nia njema kujenga hoja na kupangua in short vijana wa chadema were supposed to be "arguments gladiators" na sio kupika na kurely much on propganda. John mnyika alikuwa mtu mwenye mikakati mingi, akizungumza unamuona kabisa the project was going to be real, nakumbuka hata pale ofisini ufipa kuna chumba kilitengwa kwa ajili ya chadema TV lakini sifaam what is going on since I ve left the party pengine bado ni sehemu ya kupigia story na kusomea magazeti as it was then.

Moja ya ombi kubwa ilikuwa ni kumpata afisa habari ambaye angekuwa talented, committed na ambaye atakuwa na uwezo wa ku counter attack propaganda kabla hazija sambaa beyond mile-stones. Katika watu waliokuwa wanategemewa kwa weledi (professionalism), usikivu, commitment, proactive na mwenye high degree of understanding was this guy mohamed Mtoi. Badala yake akaletwa Tumaini Makene, and the rumors has it jamaa kabebwa tuu ndio maana hata deliverance yake ipo too low.

Mtakubaliana na mimi kuwa kwa sasa afsa habari ya chadema imelala, nimetoka kwenye mihangaiko yangu naingia hapa JF na kwenye website ya chadema, hakuna any new feed, can you imagine?.

Its high time for chadema fans to loud their voice against this passive party information officer because ni disgrace kwa chama kinachotaka kuchukua dolla.

Ushauri wako ulikuwa mwaka gani? Ukijibu ntaendelea
 
Fede Masolwa

Verified Member
Oct 26, 2013
528
195
Kila nyumba ina taratibu zake, makene na mtoi wote ni wazuri sana, mbona taarifa za chama ziko active tu sio twitter, facebook, website n.k na mpaka taarifa ya molemo ya leo ipo, weee unatatizo unapenda lakin unajifanya upend rudi tu.
 
Alinda

Platinum Member
Jun 26, 2008
1,690
2,000
Endelea kukishauri chama chako cha mafisadi lakini CDM hatuhitaji yote hayo tunajitangaza kwa vitendo
Hapa naona unataka kuchanganisha watu lakini Bwana Mtoi na Makene wako smart sana hivyo huu uchochezi wako ni Kati bure.
 
Mhadzabe

JF-Expert Member
May 20, 2009
2,889
2,000
Kiaje mkuu.. Tatizo huangalii ushauri, unaangalia nani katoa. Mimi nimeandika jinsi ya kuboresha umoja wa wanawake chadema lakini kw ukaidi wao sioni kinachofanyika

sixgates, unaonekana u mtu mzuri na pia unakipenda sana CHADEMA, Sijui kwa nini unapoteza maarifa na furaha yako kuwa katika taasisi ambayo kwa moyo wako yaonesha unakipenda, na kuamua kuwa mfuasi wa mtu pasipo kujali unaizurum nafsi yako. Ningekuwa na uwezo ningekulazimisha ufuate takwa la,moyo wako na si mtu kwa minajili ya kulipa fadhila. Think twice brother hopes you will make u-turn soon before ts late kamanda!
 
Last edited by a moderator:

chayowa1981

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
219
225
Endelea kukishauri chama chako cha mafisadi lakini CDM hatuhitaji yote hayo tunajitangaza kwa vitendo

Join Date : 24th November 2013
Location : doha
Posts : 212
Rep Power : 326117
Likes Received : 187
Likes Given :32

Just thinking loud kwamba kwa takwimu hizo either ajira yako iko mtandaoni, au wewe ni mvivu asiyefanya kazi, na kukalia majungu kutwa nzima
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom