CHADEMA na CCM waache kujiozesha kwa wakenya, wakomalie nchi yao
tupo hatua laki moja nyuma ya wakenya, tusimame wenyewe, sio kujiwekesha kwenye kila kitu kinachokamata media attention
CCM na CHADEMA hawahitaji siasa za kenya kuongoza Tanzania, wanahitaji uwezo na utashi
upuuzi mwingine humu JF unakera sana
kinana ndio mkuu wa waangalizi wa uchaguzi huo kutoka jumuhiya ya a. Mashariki ngoja nipite zangu kama nilivyo.naona kuna upotoshaji mkubwa sana wa baadhi ya members humu jf........this is for the record!
Chadema kweli utoto umewazidi juzi wameenda kumpigia campaign Odinga na mkajinadi eti Odinga ni Chadema sasa hivi mnaanza kuwashwawashwa tena
Hahahahaaa, CDM bwana wamembwaga jamaa yao.
Hakuna jamaa wa CDM hapo wote matatizo matupu,Kenyatta Fisadi wa ardhi na mlevi,na
Odinga ameingia mkataba wa kuifanya Mombasa ijitenge na kuwa nchi ya kiislam ili apate kura za
watu wa coast, na amepata lakini hazijamsaidia kwani Christian wengi wa bara wamepiga kura za
chuki dhidi yake.Kwa hili hata mimi nilitaka Odinga apigwe chini"
.......
Wewe umeelewaje hiyo barua?
Hakuna jamaa wa CDM hapo wote matatizo matupu,Kenyatta Fisadi wa ardhi na mlevi,na
Odinga ameingia mkataba wa kuifanya Mombasa ijitenge na kuwa nchi ya kiislam ili apate kura za
watu wa coast, na amepata lakini hazijamsaidia kwani Christian wengi wa bara wamepiga kura za
chuki dhidi yake.Kwa hili hata mimi nilitaka Odinga apigwe chini"
......
kinana ndio mkuu wa waangalizi wa uchaguzi huo kutoka jumuhiya ya a. Mashariki ngoja nipite zangu kama nilivyo.
WanaJF,
Kutokana na uchaguzi mkuu wa Kenya unavyoendelea, mengi yamekuwa yakisemwa kwa kuhusisha wagombeaji wa uraisi na vyama vya siasa hapa Tanzania. Baadhi wamesema kwamba CDM ipo nyuma ya Raila Odinga na CCM ipo nyuma ya Uhuru Kenyatta. Kulingana na uchanguzi unavyokwenda sasa hivi, kama kweli CCM ipo nyuma ya Uhuru Kenyatta na akaendelea kuongoza kama ilivyo sasa na kushinda uchaguzi huo. Basi CCM itaonekana ni Dume la Afrika. Kwani wengi wanainterest sana na uchaguzi.
Siasa ni mchezo kama mingine tu, ukizubaa unaliwa tena dakika za mwisho kabisa.
Dume La Afrika Ni Mzungu!
WanaJF,
Kutokana na uchaguzi mkuu wa Kenya unavyoendelea, mengi yamekuwa yakisemwa kwa kuhusisha wagombeaji wa uraisi na vyama vya siasa hapa Tanzania. Baadhi wamesema kwamba CDM ipo nyuma ya Raila Odinga na CCM ipo nyuma ya Uhuru Kenyatta. Kulingana na uchanguzi unavyokwenda sasa hivi, kama kweli CCM ipo nyuma ya Uhuru Kenyatta na akaendelea kuongoza kama ilivyo sasa na kushinda uchaguzi huo.
Basi CCM itaonekana ni Dume la Afrika.
Kwani nchi nyingi duniani zinainterest sana na uchaguzi hasa kwa kujua kwamba mgombea aliyekuwa na nguvu uchaguzi uliopita ndo anapambana tena.