PreGE2025 CHADEMA: Hadi sasa, hatujui walipo Heche na Mnyika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Mkurugenzi wa mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa hadi sasa hawafahamu ni wapo alipo John Mnyika na John Heche. Ameandika;

"Mpaka sasa, hatujui aliko Katibu Mkuu wetu John Mnyika na John Heche Makamu Mwenyekiti ! Walitekwa waziwazi na maofisa wa maeneo ya Fire na Salenda walipokuwa wakielekea mahakamani—na tangu hapo wamepotea bila maelezo yoyote.

Soma Pia: Baada ya Heche, Katibu Mkuu CHADEMA John Mnyika amekamatwa na Polisi

Tunataka majibu sasa hivi: YUKO WAPI KATIBU MKUU,YUKO WAPI MAKAMU MWENYEKITI? Acheni kugeuza Jeshi la Polisi kuwa chombo cha utekaji, mateso na uonevu wa kisiasa.

Huu ni mchepuko hatari kuelekea utawala wa kiimla!Wanaotumia nguvu dhidi ya haki leo, wasahau amani kesho—nguvu ya wananchi huwa haijawahi kushindwa.MWISHO WA YOTE, TUTASHINDA."
1745511784349.png
 
View attachment 3314292
We nyau jitokeze usisubiri watu, watanzania wana akili wanachofanya hao nyumbu ni kutest mitambo kujua km wanaweza kuiangusha serikali, hao ni wahaini wawekwe kizuizini. Km una hao wa kuandamana kuiangusha serikali jitokezeni msijifiche nyuma ya keyboard
 
Maswali ya kuwauliza wake zao mnawauliza polisi kweli? Sasa polisi watajuaje walipo watu wazima na akili zao
Uhai ni zawadi ya Mungu kila mtu ana wajibu wa kuilinda kwa gharama yoyote hata kama unapishana nao kiitikadi husifurahi wenzako wanapokutwa na madhila mbalimbali,

Tuna wajibu wakuonyana bila kudhihakiana, ulipaswa kumjibu kistarabu tu na kwa unyenyekevu kwamba ni vema akaripoti Polisi.
 
Ustaarabu umeanza lini au mabaya yakiwapata watu wa upande mmoja tu ndo ustaarabu unatakiwa ila wakifa wa upande mwingine ruksa kufanya sherehe?
 
Mkurugenzi wa mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa hadi sasa hawafahamu ni wapo alipo John Mnyika na John Heche. Ameandika;

"Mpaka sasa, hatujui aliko Katibu Mkuu wetu John Mnyika na John Heche Makamu Mwenyekiti ! Walitekwa waziwazi na maofisa wa maeneo ya Fire na Salenda walipokuwa wakielekea mahakamani—na tangu hapo wamepotea bila maelezo yoyote.

Soma Pia: Baada ya Heche, Katibu Mkuu CHADEMA John Mnyika amekamatwa na Polisi

Tunataka majibu sasa hivi: YUKO WAPI KATIBU MKUU,YUKO WAPI MAKAMU MWENYEKITI? Acheni kugeuza Jeshi la Polisi kuwa chombo cha utekaji, mateso na uonevu wa kisiasa.

Huu ni mchepuko hatari kuelekea utawala wa kiimla!Wanaotumia nguvu dhidi ya haki leo, wasahau amani kesho—nguvu ya wananchi huwa haijawahi kushindwa.MWISHO WA YOTE, TUTASHINDA."
View attachment 3314292
Leo narudia tena; nikiangalia safu hii ya uongozi ya chadema pale juu, lofa na mshamba pale ni lissu tu hawa kina mnyika na heche ni wajanja wajanja flani.
 
Mambo ya hovyo sana.

Madaraka kitu cha ajabu sana.

Watu wakishika madaraka wanakuwa na roho za ajabu hivi.
 
Hii operesheni ya polisi leo haikuwa coordinated kitaifa badala yake Kanda Maalumu chini ya ZSO ndio wameiratibu. Kumefanyika uholela wa kamata piga na uwa . Kuna uwezekana Heche na Mnyika wamedhurika. Taharuki kwa vyombo imekuja taarifa hii inatolewa vipi.

Kwa mara ya kwanza Polisi HQ wameshindwa kutoa statement ya tukio la leo. Kila mwenye akili anaanza kujitenga nalo ndani ya polisi na vyombo. Hongera wananchi mliofanikiwa kupata picha na video. Hii itakula kwao.

Nchi imevimba ni muda tu italipuka.
 
Watafikishwa mahakamani kinondoni siku ya jumatatu. Mtachagua, muende Kisutu au kinondoni, wengine watapelekwa Temeke mahakamani
 
Back
Top Bottom