Jakubumba
JF-Expert Member
- Mar 5, 2011
- 1,624
- 500
Haukuisha bwana uchaguzi ulirudiwa 1998 na kanali laban makunenge akashinda uchaguzi mdogo.
ebana eeh umenikumbusha mbali sana kuhusu huyu jamaa makunenge! Hivi yuko wapi? Jamaa alikuwa katili sana huyu sijui aliupataje ubunge