CHADEMA + CUF: Maandamano ya kitaifa

Yakuza

Senior Member
May 22, 2011
114
43
Wana JF

Kuna tetesi kuwa CUF tayari wanawasiliana na CHADEMA juu ya maandamano ya Kitaifa dhidi ya kamata kamata ya waheshimiwa wabunge wa vyama vya upinzani.

Kumbukeni hadi leo Mh. Magdalena Sakaya (CUF), Mh. E. Mbowe (CDM) na Mh. Zitto Z. Kabwe (CDM) wako mikononi mwa Polisi.

Je, inawezekana CUF na CDM kuungana ktk hili? Kama ni kweli, maandamano hayo ya kitaifa yamepangwa lini na kikomo chake ni lini? Yatakuwa na mtindo wa yale ya Tunisia na Misri?

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu tubariki wale tupendao haki sawa kwa wote:mwaaah:
 
Ni tetesi au ni ndoto yako?!, achana na hayo! Ikitokea kama ya libya tutalia kilio kikuuu, Mungu atuepushie balaa hilo!
 
no needof guns, style ya egypt ndio poa zaidi. sasa hivi askari wenyewe wanaenjoy. mubarak kawatumia na sasa hivi hayupo kwenye power lakini askari wako pale pale wanalitumikia taifa
 
kama cmd watashilikiana na cuf mimi sita shiliki kabisa kwenye hayo maandamano
 
Yaani Mamba na Kenge wawe kwenye mission moja, hii ni kali sana, cuf ni kenge tu!
 
Kwani CUF si wako madarakani? government of the national unity?
 
Kama ni kweli itakuwa vizuri kuonyesha hisia zetu wananchi,Ila mkumbuke intelijensia ya Mwema itayazuia
 
hii poa tu mwanampotevu karudi nyumbani
mwaka huu ccm watakula magamba
 
It is impossible CUF CDM to work together. Especially on mission toward CCM. Kwa hapo tusidanganyane. Yaani CUF waandamane kisa Zitto Mbowe wamedakwa na polisi! thats very impossible. Wangeandamana Sakaya alipodakwa hapo ningeelewa. Kumbuka Mbowe ameshikilia wadhifa alokuwa nao Hamad Rashid hicho kitu kitawauma CUF for the rest of their 5 election years.
 
Viongozi wa CUF (CCM B,),NCCR (CCM c) ,&TLP ( CCM D) walisema maandamo ya CDM hayana tija kwa nchi yetu,wamesahau methali inayosema fimbo anayopigiwa mke mwenzio ifiche isije ikakupiga na ww,Leo iweje waandamane na wao ni serikali.
 
We mama Ghati hebu rete hiro risime rangu hapo pembeni... tha anguha mbhe mura!!
 
Nadhani CUF nao wameonja chungu hii kule Tabora ndiyo maana wanataka kuandamana. Nadhani kila chama kingefanya kwa mtindo wake especially katika strong holds zao itapendeza sana kuona nchi imegawanwa huku magamba wakibaki na kipande tu labda dodoma!
 
Ndoa ya CUF na CCM inavunjika Tartiiiiiibu, na sasa kuna mtu anaaamka kutoka usingizini
 
kama cmd watashilikiana na cuf mimi sita shiliki kabisa kwenye hayo maandamano

Maandamano usishiriki ila shiriki kujifunza japo kuandika kiswahili.

Wewe unaonekana ni Mtanzania mwenyeuchungu na nchi yako basi isaidie nchi yako katika hili la lugha.
 
Ni tetesi au ni ndoto yako?!, achana na hayo! Ikitokea kama ya libya tutalia kilio kikuuu, Mungu atuepushie balaa hilo!

Mbona yetu yalianza kabla ya hao. Ni kiwangombinu na uwezo tofauti. Elimu yetu ya ndiyo mzee ndilo balaa lenyewe. Polisi wa Misri ni nafuu kuliko w3a kwetu. Ufisadi wa Chama Twawala usiseme
 
Wakifanya hivyo ni hatua moja kubwa sana kutanguliza issues za kitaifa kuliko za kichama. CUF kama CDM wana matatizo yao lakini wanapomature na kubainisha issues za kipaumbele kwa taifa tuungane na kuwapongeza.
 
Back
Top Bottom