MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,345
- 11,227
Join Date : 10th June 2011
Posts : 3
Posts : 3
Join Date : 10th June 2011Posts : 3Chadema yasemekana imekosa sababu ya kufanya maandamano dsm. Wakati mambo ya kutetea watanzania dsm yapo mengi.yapuuza imani yake katika maandamano ya dsm.kiongoz mmoja wa cdm akesha ofc za igp kumwambia 'ukiruhusu cuf waandamane na cc tutaandamana fanyeni lolote muwezalo kuhakikisha cuf awaandamani,'igp hamshangaa amwambia aliekutuma siku zake zina hesabika.
Hivi waliouliwa Urambo ni wanachama wa CUF, CDM, CCM...?
Wawe wafuasi wa chama chochote, waliouawa ni Watanzania, ni wananchi wa nchi hii.
Kwa nini wajitokeze CUF na kutaka kuandamana peke yao?
CDM mko wapi? CCM mko wapi? Watanzania mkomwapi? Wananchi mko wapi?
Kwa matukio kama haya ambayo tayari yamekuwa mengi, napendekeza tunapoandamna kuyapinga,
tusiandamane kama wafuasi wa chama fulani bali kama Watanzania,
ambapo Watanzania wasio wenzetu (polisi) wanauwa Watanzania wenzetu.
Tuwachane na malengo ya kisiasa ya chama fulani bali tuungane kama Watanzania kuikomboa Tanzania.
Sijui kwanini watanzania tuwaoga kiasi hiki watu wananyanyasika wamekaa tu sijui mpaka washikwe makalio na polisi ndiyo watanzania kupingana na polisi kwa vitendo...tunaogopa mabomu ya machozi na virungu lakini maumivu tunayo yapata kwa uonga wetu ni makubwa mno....Hivi waliouliwa Urambo ni wanachama wa CUF, CDM, CCM...?
Wawe wafuasi wa chama chochote, waliouawa ni Watanzania, ni wananchi wa nchi hii.
Kwa nini wajitokeze CUF na kutaka kuandamana peke yao?
CDM mko wapi? CCM mko wapi? Watanzania mkomwapi? Wananchi mko wapi?
Kwa matukio kama haya ambayo tayari yamekuwa mengi, napendekeza tunapoandamna kuyapinga,
tusiandamane kama wafuasi wa chama fulani bali kama Watanzania,
ambapo Watanzania wasio wenzetu (polisi) wanauwa Watanzania wenzetu.
Tuwachane na malengo ya kisiasa ya chama fulani bali tuungane kama Watanzania kuikomboa Tanzania.
Wanadai kesi iko mahakamani lakini kumbuka issue ya Arusha Pinda alikubali kuizungumuzia wakati alijua kabisa iko mahakamani, JK alisimama jukwaani akasema Pesa mbili Mramba ni safi wakati alijua anakase inaendelea mahakamani lakini linapo kuja upande wa upinzani tunaambiwa liko mahakama yaani wananiuzi.........Hebu ndugu nisaidieni jibu, hao polisi wamekataa hayo maandamano kwa kigezo gani?
kama alivyosema MAMMAMIA hapo juu, ngekuwa vyema vyama vyote vikaungana kwenye maandamano haya vyama vya upinza wakumbuke ilikuwa kwa CHADEMA na SASA kwa CUF je kesho chama gani?Ingawa mimi si mwanachama wa CUF ,nitaungana nao kwani wanaandamana kudai haki na kukemea vitendo vya Jeshi la Polisi kutumiwa vibaya na serikali ya magamba...Badala ya kulinda haki na usalama wa wa raia,hivi sasa wanatoa uhai wa raia kiulaini..Jeshi la Polisi linaiingilia uhuru wa vyama kufanya maandamano ambayo ni haki,hii yote ni kutumiwa na serikali ya magamba!!
Wanadai kesi iko mahakamani lakini kumbuka issue ya Arusha Pinda alikubali kuizungumuzia wakati alijua kabisa iko mahakamani, JK alisimama jukwaani akasema Pesa mbili Mramba ni safi wakati alijua anakase inaendelea mahakamani lakini linapo kuja upande wa upinzani tunaambiwa liko mahakama yaani wananiuzi.........
Chadema yasemekana imekosa sababu ya kufanya maandamano dsm. Wakati mambo ya kutetea watanzania dsm yapo mengi.yapuuza imani yake katika maandamano ya dsm.kiongoz mmoja wa cdm akesha ofc za igp kumwambia 'ukiruhusu cuf waandamane na cc tutaandamana fanyeni lolote muwezalo kuhakikisha cuf awaandamani,'igp hamshangaa amwambia aliekutuma siku zake zina hesabika.[/QUOTE
vipi ulikuwa unafukuzwa? naona umeandika msg ukiwa unahemahema.