CHADEMA chazoa viti Mbeya vijijini, CCM hoi

CHADEMA chazoa viti Mbeya vijijini, CCM hoi

Natamanni Uchaguz uwe leo .ccm puuuuuuuuuu!
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeez power juuu!
 
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa wenyeviti wa vijiji na vitongoji kata ya Nsalala Mbeya vijijini.Chadema imenyakua vijiji 4 huku CCM ikiambulia kijiji 1 tu.Katika uchaguzi wa vitongoji Chadema imeshinda vitongoji 9 huku CCM nayo ikishinda vitongoji 9.Uchaguzi huo umefanyika mwishoni mwa wiki. Source Nipashe Uk.13

Hii inaleta faraja sana...kama hata vijijini wameanza kuelewa safi! Viva CHADEMA.
 
halafu eti anatokea mtu kama mjinga vile anasema maandamano ya chadema hayajawasadia kujiimarisha
 
Cdm tumethubutu,tumeweza na tunazidi kusonga mbeleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee..............................
 
Safi sana hiyo, ni dalili njema sana kwa kuwa inaonyesha kuwa Chama cha MAGAMBA kinaishia, wale wenzangu na mie na bonge la mgogoro linawasumbua.
 
Jana usiku nimesikiliza radio Five ya Arusha, wametangaza vitongoji vinne na kijiji kimoja vyote vimecukuliwa na CCM, Kumbe kulikuwa na vitongoji 18. Radio five hawatundei haki wananchi kwa kutupa habari vipandevipande tena za upande mmoja. Inamaana huyo Enerst Mdee( Mtoa taarifa) wao wa huko Mbeya, jana alipata matokeo ya vitongoji vyenye ushindi wa CCM peke yake ?
 
Si ndiko kule kwa Shitambala aliyenunuliwa
 
Back
Top Bottom