- Thread starter
- #21
Ndo maana wanataka kuabolish chaguzi ndogo.
wamesoma alama za nyakati
Ndo maana wanataka kuabolish chaguzi ndogo.
Jiulize kwa nini CCM siku hizi haizungumzii ile dhana kuwa mtaji wake uko vijijini.
Naona sasa somo la uraia limeanza kueleweka vijijini,2015 ccm kazi wanayo.peeeeepoziIiiiii
Nimemkumbuka yule mwenyekiti wa chadema mkoa wa Mbeya aliyehamia CCM na kujigamba kwamba ataibomoa kabisa chadema Mbeya eti yeye ndiye aliingiza wanachama,sijui sasa hivi anaficha wapi sura yake
Hakuna mtanganyika asiyechoshwa na CCM iliyozeeka na kuota magamba kila mahali, kuanzia IKULU mpaka kule vitongojini. Watanganyika tubadilike tuyaepuke haya magamba, ni suma ya kufisha itatumaliza. Chadema safi sana Mbeya!!!
Chadema wao walenge zaidi uchaguzi wa serikali za mitaa 2014 maana hapo ndio penye mzizi wa 2015. Ukikamata uongozi wa serikali za mitaa,vijiji na vitongoji unajiweka katika nafasi nzuri zaidi ya ushindi ktk uchaguzi mkuu maana hadaa,ulaghai na wizi wa kura ni rahisi kuudhibiti
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa wenyeviti wa vijiji na vitongoji kata ya Nsalala Mbeya vijijini.Chadema imenyakua vijiji 4 huku CCM ikiambulia kijiji 1 tu.Katika uchaguzi wa vitongoji Chadema imeshinda vitongoji 9 huku CCM nayo ikishinda vitongoji 9.Uchaguzi huo umefanyika mwishoni mwa wiki. Source Nipashe Uk.13