FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,416
- 7,828
Marekani ina vaccine mandates katika taasisi lakini kuna nchi ambazo tayari zina utaratibu huo ulioidhinishwa na serikali zikiwemo baadhi ya nchi za Ulaya kama nilivyosema.Hiyo mandate unayoiongelea Marekani si ya serikali federal au state, ni ya waajiri, shule etc, ambayo nishaizungumzia hapo juu..
Ufaransa kwa mfano, serikali imepitisha hivi karibuni ulazima wa chanjo kwa baadhi ya watu hususani katika sekta ya afya. Uingereza nayo iko katika uelekeo huohuo hivi sasa. Ugiriki, Urusi nazo zimekwisha fanya hivyo.
Marekani nayo inaelekea huko, tusubiri chanjo zipate full approval. Hali jinsi inavyokwenda, ulazima katika utaratibu wa utoaji wa chanjo utakuwepo na utaongezeka zaidi.