Baada ya viongozi wa kanisa kuchoshwa na CCM, hasa JK wameamua kukihalalisha chadema kuwa chama rasmi kwa wakristo wote, unaweza kuangalia SAFU yao uongozi wa juu hakuna waislamu na pia slaa ni padre (hii nafasi kama CID vile mpaka kufa mtu haachi). Mambo yafuatayo yanadhihirisha hilo
a) Hivi karibuni inasemekana walimrubuni Lwakatare atoke CUF
b) Chadema inapewa support kubwa na wafanyabishara wa kikristo na fedha nyingine kutoka kanisani ili iweze kushinda, wako kina Mengi (nyangumi) hii inafanyika kwa siri kubwa
c) Vyombo vya habari na mitandao itatumika ku-influence public opinion kanisa pamoja na Mengi wana-own 90% of the media Tanzania.
d) Hata hii movement ya waraka wa uchaguzi ni sehemu ya mkakati wenyewe
NB. Waislamu watagawanywa ili kila wakati ashinde mkristo nafasi ya U-rais!

Teheteh...kuna ka-uweli kidogo naona imeku-touch!!!Tumaini wewe Tumaini lako liko wapi?
Zitto Kabwe amebatizwa lini na wapi? na je siyo kiongozi wa Chadema?
Mbona viongozi wa juu wa CCM ni waislamu lakini hakiitwi chama cha waislamu?
Vichwa vya namna hii ndivyo vinaendelea kuota kwamba kwavile JK muislamu, Shein muislamu, Makamba muislamu, basi wana mamlaka ya kuamuru mahakama ya kadhi iingizwe kwenye katiba na tujiunge na OIC!
Wanaamini kwamba mtu ukiwa kiongozi inakuwa kwa maslahi ya dini yako badala ya kutumikia wananchi kwa misingi ya haki na sheria
Nina wasi wasi na uwezo wako wa kuchanganua mambo makubwa makubwa. Ni bora ukanyamaza kuliko kujianika ulivyo namna hii!
Je kwa matusi hayo anaweza kugeuza upepo?Niko kwenye kampeni ya TLP, inayoendelea viwanja vya Stendi Kuu hapa Bi'Mulo.
Mwenyekiti Agostino Lyatonga Mrema anaunguruma. Anamwanga mbovu kuhusu CCM na Chadema kuja kumpokonya jimbo pekee la TLP. Amewapaka. Sana viongozi wa juu wa CCM na Chadema kwa kila aina ya Tusi.
Baada ya viongozi wa kanisa kuchoshwa na CCM, hasa JK wameamua kukihalalisha chadema kuwa chama rasmi kwa wakristo wote, unaweza kuangalia SAFU yao uongozi wa juu hakuna waislamu na pia slaa ni padre (hii nafasi kama CID vile mpaka kufa mtu haachi). Mambo yafuatayo yanadhihirisha hilo
a) Hivi karibuni inasemekana walimrubuni Lwakatare atoke CUF
b) Chadema inapewa support kubwa na wafanyabishara wa kikristo na fedha nyingine kutoka kanisani ili iweze kushinda, wako kina Mengi (nyangumi) hii inafanyika kwa siri kubwa
c) Vyombo vya habari na mitandao itatumika ku-influence public opinion kanisa pamoja na Mengi wana-own 90% of the media Tanzania.
d) Hata hii movement ya waraka wa uchaguzi ni sehemu ya mkakati wenyewe
NB. Waislamu watagawanywa ili kila wakati ashinde mkristo nafasi ya U-rais!
Hofu! ni msamiati kwangu...wenye hofu ni wanaopanga mikakati na hila usiku na mchana "waraka after waraka" hila after hila hao ndio wenye hofu!ukisikia pumba basi ndo hizi, lengo lako hapa ni kupanda chuki tu. Tangu lini Chadema kilikuwa chama haramu kwa Wakristo? Kuwepo Dr. Slaa hakuwezi ku-substantiate madai yako.
Kwa hiyo unataka kusema CUF ni chama cha dini pinzani ya Kikristo? Mkuu kama huna point achakuandika.
You have no evidence, hata hivyo hakuna sheria wala kanuni za vyanzo vya mapato ya vyama vya siasa Tz. Yeyote anaruhusiwa kuchangia. Suala la nyangumi au papa ni porojo na lugha za wapiganaji siyo wewe.
90% you must be kidding
Mkakati wenyewe ni upi?
Huenda hii ndiyo hofu yako kubwa, ndo maana umeweka 'NB'. Mkuu Tumain uwe tayari kuongozwa na mtu yeyote awe Muislam, Mkristo au asiye na dini. Unataka kueleza nini ktk hii hofu yako? yaani ni raha sana Rais akiwa wa dini yako! By the way sijawahi kuwa proud eti kwakuwa Rais ni dini yangu. Huu ni upuuzi unaozidi maelezo.
Baada ya viongozi wa kanisa kuchoshwa na CCM, hasa JK wameamua kukihalalisha chadema kuwa chama rasmi kwa wakristo wote, unaweza kuangalia SAFU yao uongozi wa juu hakuna waislamu na pia slaa ni padre (hii nafasi kama CID vile mpaka kufa mtu haachi). Mambo yafuatayo yanadhihirisha hilo
a) Hivi karibuni inasemekana walimrubuni Lwakatare atoke CUF
b) Chadema inapewa support kubwa na wafanyabishara wa kikristo na fedha nyingine kutoka kanisani ili iweze kushinda, wako kina Mengi (nyangumi) hii inafanyika kwa siri kubwa
c) Vyombo vya habari na mitandao itatumika ku-influence public opinion kanisa pamoja na Mengi wana-own 90% of the media Tanzania.
d) Hata hii movement ya waraka wa uchaguzi ni sehemu ya mkakati wenyewe
NB. Waislamu watagawanywa ili kila wakati ashinde mkristo nafasi ya U-rais!
Hofu! ni msamiati kwangu...wenye hofu ni wanaopanga mikakati na hila usiku na mchana "waraka after waraka" hila after hila hao ndio wenye hofu!
Issue wawe wazi kwamba wanasupport chama gani siyo kufanya kufichaficha!
Baada ya viongozi wa kanisa kuchoshwa na CCM, hasa JK wameamua kukihalalisha chadema kuwa chama rasmi kwa wakristo wote, unaweza kuangalia SAFU yao uongozi wa juu hakuna waislamu na pia slaa ni padre (hii nafasi kama CID vile mpaka kufa mtu haachi). Mambo yafuatayo yanadhihirisha hilo
a) Hivi karibuni inasemekana walimrubuni Lwakatare atoke CUF
b) Chadema inapewa support kubwa na wafanyabishara wa kikristo na fedha nyingine kutoka kanisani ili iweze kushinda, wako kina Mengi (nyangumi) hii inafanyika kwa siri kubwa
c) Vyombo vya habari na mitandao itatumika ku-influence public opinion kanisa pamoja na Mengi wana-own 90% of the media Tanzania.
d) Hata hii movement ya waraka wa uchaguzi ni sehemu ya mkakati wenyewe
NB. Waislamu watagawanywa ili kila wakati ashinde mkristo nafasi ya U-rais!
Teheteh...kuna ka-uweli kidogo naona imeku-touch!!!
Mambo makubwa kama yapi?...kupita hayo kupanga kufanya "Uharamia kwa Taifa" kwa kutumia dini balaa hii!
Brainwashed and frustated mind!WAKATI MWINGINE MTU UNAWEZA KUAMUA UTUKANE TU, HATA UKIFUNGIWA potelea mbali..
huuuu ni UHARO japokuwa mnasema kila mmoja ana HAKI ya kutoa mawazo yake any way asante kwa kutuonyesha UHARO wako.......
#@*&^%$%^%#$....Baada ya viongozi wa kanisa kuchoshwa na CCM, hasa JK wameamua kukihalalisha chadema kuwa chama rasmi kwa wakristo wote, unaweza kuangalia SAFU yao uongozi wa juu hakuna waislamu na pia slaa ni padre (hii nafasi kama CID vile mpaka kufa mtu haachi). Mambo yafuatayo yanadhihirisha hilo
a) Hivi karibuni inasemekana walimrubuni Lwakatare atoke CUF
b) Chadema inapewa support kubwa na wafanyabishara wa kikristo na fedha nyingine kutoka kanisani ili iweze kushinda, wako kina Mengi (nyangumi) hii inafanyika kwa siri kubwa
c) Vyombo vya habari na mitandao itatumika ku-influence public opinion kanisa pamoja na Mengi wana-own 90% of the media Tanzania.
d) Hata hii movement ya waraka wa uchaguzi ni sehemu ya mkakati wenyewe
NB. Waislamu watagawanywa ili kila wakati ashinde mkristo nafasi ya U-rais!
Brainwashed and frustated mind!
Mpaka hapo bado una energy?Brainwashed and frustated mind!
Nafahamu nchi yetu wote hii ndio maana sipendi watu wafanye hila zozote zile maana tutaumia wote "waliokuwepo na wasiokuwepo"Mkuu,yapi katika hayo uliyooandika kwenye post mama yana hako unakoita 'ka-ukweli kidogo'?Na hayo mengine yasiyo na chembe ya ukweli umeyaandika ili iweje?Na kama yote ni kweli tupu kwanini umeya jumuisha yoote kwenye kapu moja na kuyabatiza 'tetesi'?Nini nia na dhamira yako?
Nchi yetu sote hii.Tuwe waangalifu tunapoandika.By the way,sio lazima kuandika andika.
Baada ya viongozi wa kanisa kuchoshwa na CCM, hasa JK wameamua kukihalalisha chadema kuwa chama rasmi kwa wakristo wote, unaweza kuangalia SAFU yao uongozi wa juu hakuna waislamu na pia slaa ni padre (hii nafasi kama CID vile mpaka kufa mtu haachi). Mambo yafuatayo yanadhihirisha hilo
a) Hivi karibuni inasemekana walimrubuni Lwakatare atoke CUF
b) Chadema inapewa support kubwa na wafanyabishara wa kikristo na fedha nyingine kutoka kanisani ili iweze kushinda, wako kina Mengi (nyangumi) hii inafanyika kwa siri kubwa
c) Vyombo vya habari na mitandao itatumika ku-influence public opinion kanisa pamoja na Mengi wana-own 90% of the media Tanzania.
d) Hata hii movement ya waraka wa uchaguzi ni sehemu ya mkakati wenyewe
NB. Waislamu watagawanywa ili kila wakati ashinde mkristo nafasi ya U-rais!
Ala kumbe wewe unafanya hesabu? then what watakupa ubunge? nilifikiri ni uwanja wa majadiliano kumbe wengine mtafuta kura sikufahmuJoin Date: Sun Jun 2009
Posts: 74
Thanks: 7
Thanked 10 Times in 4 Posts
Rep Power: 21
Credits: 108,340
Idadi ya Thanks ulizopata haiendani na idadi ya post ulizopost, inaonyesha hapa tunabishana expert wa kuproduce makapi a.k.a pumba
Nafahamu nchi yetu wote hii ndio maana sipendi watu wafanye hila zozote zile maana tutaumia wote "waliokuwepo na wasiokuwepo"
Harakati zinazoendelea zihiataji watu kufikiri kwa undani hazian mwisho mzuri kaka!! Tumaini langu waache upuuzi