Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,134
Chadema chama cha kidini.
Mstue Ritz, Rejao , Tume, Njiwa waambie chakula imekuja.
Upo kwenye nyumba ya vioo alafu unamrushia mawe mtu anayeishi kwenye nyumba ya zege.Chadema chama cha kidini.
Nimekomaa kisiasa that why siko tayari kukujibu kwa maneno unayotaka kwani sitaki kuwakwaza watu wa dini mbalimbali waliopo chadema.
Leo si ndio siku ya ile debate ambayo sitachangia.Chadema chama cha kidini.
kama zomba na yeyote mwenye mawazo kama yake wana dini na madhehebu yao basi nao ni wadini pia.huwezi kuuzunguzia udini kama huna tabia za kidini dini.mchawi humtambua mchawi mwenzake.Mstue Ritz, Rejao , Tume, Njiwa waambie chakula imekuja.
unaweza kuta ni mamluki tu na sio wa tz.Like!!
ni kwa sababu haking'ang'anii dar es salaam palipo na wachumia tumbo na watu wengi wasio na kazi maalum,na wapiga debe la kujipendekeza.wadau hiki chama mbona kinang'ang'ania kaskazini.
ni kweli kabisa, iringa ni kaskazini, mbeya ni kaskazini, musoma ni kaskazini, mwanza ni kaskazini.
ni kweli kabisa, iringa ni kaskazini, mbeya ni kaskazini, musoma ni kaskazini, mwanza ni kaskazini.
Sasa mbona kwenye hiyo heading hakuna mahali ambapo CHADEMA imetajwa?
Kanisa Katoliki Lawatenga Wanachama 400 wa CCM