chadema chama cha kaskazini. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chadema chama cha kaskazini.

Discussion in 'Jamii Photos' started by Ringo Edmund, Jul 23, 2012.

 1. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  wadau hiki chama mbona kinang'ang'ania kaskazini.
   

  Attached Files:

 2. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Sijakuelewa kabsaaa!
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,825
  Trophy Points: 280
  ni kweli kabisa, iringa ni kaskazini, mbeya ni kaskazini, musoma ni kaskazini, mwanza ni kaskazini.
   
 4. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Na ukitaka kufanikiwa kila jambo anza na kaskazini wewe ukianza kuzini unadhani utafanikiwa??
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Chadema chama cha kidini.
   
 6. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,136
  Likes Received: 10,495
  Trophy Points: 280
  Mstue Ritz, Rejao , Tume, Njiwa waambie chakula imekuja.
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Sasa hapa chademu inaingiaje? toeni huu udaku!
   
 9. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,825
  Trophy Points: 280
  Upo kwenye nyumba ya vioo alafu unamrushia mawe mtu anayeishi kwenye nyumba ya zege.


  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 10. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,825
  Trophy Points: 280
  Nimekomaa kisiasa that why siko tayari kukujibu kwa maneno unayotaka kwani sitaki kuwakwaza watu wa dini mbalimbali waliopo chadema.


  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 11. M

  Mbozib JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Zomba na rits mnapenda sana udini na ukabila .
   
 12. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Like!!
   
 13. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Leo si ndio siku ya ile debate ambayo sitachangia.
   
 14. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #14
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kama zomba na yeyote mwenye mawazo kama yake wana dini na madhehebu yao basi nao ni wadini pia.huwezi kuuzunguzia udini kama huna tabia za kidini dini.mchawi humtambua mchawi mwenzake.
   
 15. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #15
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  unaweza kuta ni mamluki tu na sio wa tz.
   
 16. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Na hii hapa vipi?

  CHADEMA.jpg
   
 17. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #17
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ni kwa sababu haking'ang'anii dar es salaam palipo na wachumia tumbo na watu wengi wasio na kazi maalum,na wapiga debe la kujipendekeza.
   
 18. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,467
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Kaskazini ya Msumbiji, Malawi na Zambia
   
 19. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #19
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  kigoma kasikazini nako ni kasikazini, hata kwa lisu nako ni kaskazini na kashindye aliyechakachuliwa na nape nako ni kaskazini
   
 20. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #20
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Sasa mbona kwenye hiyo heading hakuna mahali ambapo CHADEMA imetajwa?
   
Loading...