Labda Nassari nitaelewa. Lakini kusema watu wazima wakae chini na kumjadili huyu chizi Shibuda ni utani mbaya. Everyone expected to see Shibuda doing what is he doing now. Ningeshangaa kama Shibuda angekaa kimya na kuachanan na undumi la kuwili. Atakula nini wakati ameajiriwa kuwa ndumi la kuwili?
.....ni sawa na huyu anayesema....kuna wabunge wengi kutoka sehemu mbali mbali..... 95% ya wabunge wa kupendelewa wa chadema ni kutoka kanda ya kaskazini?
Njooni na takwimu tuone na tujadili hoja, kama hii hoja ni kuyadili hapa.Usitake kupotosha watu hapa kuna wabunge wa sehemu mbali mbali wa viti maalumu
Hivi ni kweli 95% ya wabunge wa kupendelewa wa chadema ni kutoka kanda ya kaskazini?
Kama kweli, ni vipi utawafananisha na CCM? hiyo si ndio majimbo and kanda at its best?
Nilijibu post yako bila ya kuiona hii. Asante kwa kutuhabarisha. Unaweza, tafadhali, kuiboresha na kutuwekea sehemu wanazotoka, na kuweka katika mabano neno/kanda "Kaskazini?". Nimeona hii orodha hapa https://www.jamiiforums.com/tanzani...ti-maalum-chadema-ccm-na-cuf.html#post1179981 lakini nimeshindwa kujua vigezo vya "kaskazini" inaanzia wapi na kuishia wapi.MAJINA YA WABUNGE WATEULE 23 WA VITI MAALUMU WA CHADEMA NI:
- Lucy Owenya,
- Ester Matiko,
- Mhonga Ruhwanya,
- Anna Mallac,
- Paulina Gekuli
- Conchesta Rwamlaza,
- Suzan Kiwanga,
- Suzan Lyimo,
- Grace Kiwelu,
- Regia Mtema, [Marehem]
- Christowaja Mkinda,
- Anna Komu,
- Mwanamrisho Abama,
- Joyce Mukya,
- Leticia Nyerere
- Chiku Abwao.
- Naomi Kaihula,
- Grace Kiwelu,
- Rose Kamili,
- Christina Lissu Mughiwa,
- Raya Ibrahim,
- Philipa Mturano,
- Miriam Msabaha
- Rachel Mashishanga.
Tena kusema 95% nimekuwa "conservative" ukiitazama vizuri utakuta zaidi.
- Hoja yake ni kwamba kuna tatizo katika njia ya kutafuta mgombea urais huko upande wa pili, tuachane na yeye kama Shibuda!
William.
Hivi Chadema nacho kinaaminika kitachukua nchi ya Tanzania kama chama tawala?, labda miaka 1000, mbele ambayo nayo haitafika kabla ya dunia hii iliyochoka na kuchakaa kufikia mwisho wake ili kukaribisha ujio wa dunia mpya, labda kama Chadema wataongozea motoni hapo sawa.
.
"USIJITUKUZE MBELE ZA USO WA MFALME, WALA USISIMAME MAHALI PA WATU WAKUU".
- Unajua Great Thinker anatakiwa kujua kwamba Meli zote za kimataifa Duniani, kama nilizowahi kuzifanyia kazi hakuna hata moja isiyokuwa na machine maalum za kubebea mizigo yake.
- Elimu yangu ipo very clear na unajua sana maana ungekuwa unaamini unachokisema ungeileta hapa, sasa unataka na mimi nidai CV za baadhi ya Viongozi wenu huko upande wa pili? ha! ha! ha! ha!
- Kwenye mtoto wa gamba atleast unasema tatizo lako la msingi; HOWEVER: vipi kuhusu mada maana hujaigusa kabisa zaidi tu ya kunijadili mimi! ha1 ha! ha!
William.
Kuwa mkweli will kuwa wewe hujasoma na hata CV zako umeziambatanisha na vijicertificate vya ajabu pia hata unayoandika humu yanaendana na CV yako.
we william nilikuwa nakuona una busara kumbe na ww una akili kama za wenzio,ss shibuda kwa maneno anayoyatamka unamuona yuko timamu kweli,yy ana nia ya kugombea kwann asifuate taratibu za chama chake?yaani sawasawa unamatatizo na familia yako unatoka unaenda nyumba ya jirani unaanza kuitukana familia yko, huyu jamaa angekuwa ana nia njema angepambana kwenye vikao vyao halali ili kama mfumo haufurahii nazani wangepata ufumbuzi,kuliko anvyofanya sasaivi anaonekana ametumwa kuanzisha chokochoko chadema,maneno meeengi mara mtambuka ,yaani haeleweki anataka nn.
Nilijibu post yako bila ya kuiona hii. Asante kwa kutuhabarisha. Unaweza, tafadhali, kuiboresha na kutuwekea sehemu wanazotoka, na kuweka katika mabano neno/kanda "Kaskazini?". Nimeona hii orodha hapa https://www.jamiiforums.com/tanzani...ti-maalum-chadema-ccm-na-cuf.html#post1179981 lakini nimeshindwa kujua vigezo vya "kaskazini" inaanzia wapi na kuishia wapi.
Tukumbuke kuwa ni Shibuda huyo huyo aliyekuwa na tatizo na establishment ya CCM kuhusu jinsi ya kupata wagombea wa Ubunge na ndicho kilichompeleka CDM. Labda tujiulize tatizo ni CCM, CDM or Shibuda? Nani hapa ni common denominator (main tatizo?)
- Ungefunguliwa thread yake, maana kama umesoma ungejua kwamba hii thread inahusu mengine kabisa inajisema yenyewe kuhusu elimu yako1 ha! ha! ha1
William.
Kibudu... I mean Shibuda hastahili kupewa hata dakika chache za kumjadili. Tangu aingie CDM ameshafanya mengi ya kukidhalilisha chama hicho mbele ya wapiga kura hivyo anachostahili ni kufukuzwa chamani tu na siyo kumjadili....na aliyoyasema Nassari ni kweli tupu pamoja na magamba kutaka kumtisha eti aombe radhi.....aombe radhi kwa kusema kweli!?
- Matukio ya hivi karibuni kati ya Wabunge Nassari na Shibuda, yanaleta maswali magumu sana kuliko majibu yake. Ninasema hivi CCM wasipuuze maneno ya Nassari na pia Chadema wasipuuze maneno ya Shibuda wayatafakari na kuyafanyia kazi, mifano ipo mingi sana kwa mfano kuna wakati hatukutaka kuongelea katiba wala Muungano, lakini sasa wakati umefika ambapo ukweli upo wazi kwamba tungenongea haya kule nyuma, saa hizi tungekwua mbali sana.
- So Chadema na CCM, wasiwapuuze Nassari na Shibuda, kwa sababu reading between the lines kuna ujumbe mzito wa kisiasa kwenye maneno yao.
William.
- Hoja yake ni kwamba kuna tatizo katika njia ya kutafuta mgombea urais huko upande wa pili, tuachane na yeye kama Shibuda!
William.
- Hapana kuna ujumbe mzito sana kwenye maneno yao, ni waste of time kuwajadili wao kama walivyo, ila hoja zao hazikwepeki!
William.
Tatizo la jinsi ya kupata mgombea URAIS ni sugu zaidi huko CCM alikofukuzwa huyo Shibuda kuliko huko unakokuita upande wa pili; na tatizo hili lina kielelezo hai kwa jinsi John Malecela alivyochinjiwa baharini kwa jina lake kukataliwa na cc ya ccm eti kwa sababu alikuwa hachaguliki wakati huo huo chama hicho hicho kilikuwa kinamtumia kama TINGATINGA kwenye kampeni zake za by-elections!! Huko alikosemea mada yake Shibuda ndio kwenye matatizo .