William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
Si dhani kama ni vyema kutumia muda kuanza kuangalia Shibuda au Nassari alichoongea kama ni ujumbe walitaka kuufikisha umefika, hivyo ni kupanga kukabiliana nao. Sitarajii watu kuacha kujadili masuala muhimu ya kujenga na kuanza kumjadilia Shibuda ambaye kwa vyovyote kauli yake ile ni ya kuganga njaa.
Tutumie majukwaa ya siasa kujadili mawazo ya kujenga nchi yetu na siyo nani kasema nini, hizi ni siasa za maji taka kwa wakati huu. Tena kwa mtu kama shibuda ni bora kukaa kimya tu ili ajione mwenyewe alichikifanya hakina maana.
Shibuda ameongea lipi la maana?
- In the big picture Shibuda ana tatizo na establishment na njia inayotumiuka kumtafuta mgombea wa urais huko!
William.
Tukumbuke kuwa ni Shibuda huyo huyo aliyekuwa na tatizo na establishment ya CCM kuhusu jinsi ya kupata wagombea wa Ubunge na ndicho kilichompeleka CDM. Labda tujiulize tatizo ni CCM, CDM or Shibuda? Nani hapa ni common denominator (main tatizo?)
- In the big picture Shibuda ana tatizo na establishment na njia inayotumiuka kumtafuta mgombea wa urais huko!
William.
Bora Aliyosema Nassari kuhusu utawala wa majimbo kuliko kujadili mtu anayeshobokea urais kupitia CDM lakini anaenda kutangazia kwenye Mikutano ya magamba ha! ha ha
Kuna watu humu jamvini yani ukizungumzia mtu yeyote anayetoka au mwanachama,mbunge wa chadema yan wanadiscourage hoja hata kama ina ujumbe."Utasikia tusipoteze muda kumjadili"Mi nakubaliana nawe Willy ipo haja ya kuangalia kauli zao kwa jicho la tatu.Kwani hoja zao walizotoa huyo Nassari na Shibuda pamoja na majibu yanayotolewa na wahusika siyo mazuri kabisa wengine wanapenda kushabikia hoja zenye ukakasi.Mi nasema ingawa hoja ya Nassari inachunguzwa lakini haikuwa nzuri pia hata majibu ya hoja za Shibuda za kuutaka Urais kupitia CDM na majibu aliyopata kutoka BAVICHA hayakuwa mazuri kwani inaonekana ukitaka kugombana na vigogo wa chadema basi we sema unautaka urais utashambuliwa sana lakini wakati huo huo hawasemi nani wanamtaka katika nafasi hiyo angalia alivyoshambuliwa Mh.Zitto tena kwa maneno meusi kabisa.Mi naogopa sana kusemea ukanda,ukabila au udini kwani naamini nikiamini hivyo nitakuwa mvivu wa kufikiri ni vema hizi kauli zikaangaliwa kwa kina kwani zina madhara na madhara yake hayaonekani hapo hapo ni kwa baadaye.- Hapana kuna ujumbe mzito sana kwenye maneno yao, ni waste of time kuwajadili wao kama walivyo, ila hoja zao hazikwepeki!
William.
Tukumbuke kuwa ni Shibuda huyo huyo aliyekuwa na tatizo na establishment ya CCM kuhusu jinsi ya kupata wagombea wa Ubunge na ndicho kilichompeleka CDM. Labda tujiulize tatizo ni CCM, CDM or Shibuda? Nani hapa ni common denominator (main tatizo?)
Ilani ya CDM mwaka 2015 ilikua na sera za majimbo nilitegemea baada ya kukosa uraisi utendaji wa chama ungegawanya kimajimbo tuone ufanisi wa hili jambo lakini wameendelea na mfumo wa CCM wakuwa na wenyekiti wa Mkoa kama mnahubiri majimbo simamieni sera yenu ya majimbo sasa mpaka sasa ni Miaka Miwili na Nusu inabaki mingine jk amalize muda wake.
Kwenye Ilani ya CDM ya 2010-2015 ni wapi inaelezea sera ya majimbo au kuweka ahadi kuwa ingeunda majimbo kama ingeshinda?