SON OF DAVID
Member
- Apr 1, 2011
- 42
- 3
Hizi ni hisia zako, hakuna mtu toka ccm anayeweza kumzidi Dr Slaa. Dr Slaa ni chaguo la watz na ccm na chadema wanalijua hilio. Zingine zote ni story za kufurahisha baraza tu.
hizi ni stori za kwenye vibaraza vya misikiti
Hizi ni hisia zako, hakuna mtu toka ccm anayeweza kumzidi Dr Slaa. Dr Slaa ni chaguo la watz na ccm na chadema wanalijua hilio. Zingine zote ni story za kufurahisha baraza tu.
Mmm! Ukifahamu basic principles of philosophy hutasumbuka na lolote. No human being is indispensable. This makes the premise meaningles
No nafikiri ni maneno ya kwenye ngazi za kanisa
No nafikiri ni maneno ya kwenye ngazi za kanisa
Watu bwana! ukitaka kusoma matusi humu JF mjadili Silaha. Ingekuwa jukwaani watu wengeweza hata kuvua nguo ili kumtetea hata kama yanayozungumzwa kuhusu yeye ni kweli.
Mmm! Ukifahamu basic principles of philosophy hutasumbuka na lolote. No human being is indispensable. This makes the premise meaningles
Dr kuna wakati tunakuhitaji sana hapa jf,
lakini mara nyingi hupatikani kabisa na tunabaki na mwaswali
jf ina watu wengi wanaopenda mabadiliko,hapa ni sehemu ya kutoa taarifa za muhimu sana ambazo magazeti hayawezi kuzitoa
Kuna kila dalili kwamba CHADEMA hakitamsimamisha DR. SLAA kugombea Urais kupitia Chama hicho mwaka 2015 na kwamba mbadala wake anaandaliwa kutoka ndani ya CCM. Habari zilizopatikana toka ndani ya CHADEMA zinasema, uongozi wa Chama hicho hauridhishwi na utendaji kazi wa Katibu Mkuu huyo kwa kile kinachosemekana kwamba anaingilia shughuli za Chama ngazi za chini kwa mfano MKOA WA KILIMANJARO, uongozi ngazi ya Wilaya na Mkoa hususani BAZIL LEMA, PHILEMON NDESAMBURO, na LUCY OWENYA wanamlalamikia Dr.SLAA kuendesha uchaguzi katika Kata ya NJORO bila kuwashirikisha , ambapo JOHN JOMBA NKOY alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kata ya NJORO na ABDULRAHMAN YUSUF SHARIFF kuwa Katibu. Aidha Dr. SLAA alijaribu kulipa deni la CHADEMA linalokadiriwa kuwa Tsh. Mil.94 kwa TRA, kitendo ambacho Uongozi wa Chama uliona kama huko ni kujipendekeza kwani kuna madeni mengi tena makubwa ya kulipa hasa yale ambayo anayedai ni Mwenyekiti au swahiba zake. Swali ni, je huwenda ukawa mwisho wa Dr. SLAA ndani ya CHADEMA?MAONI YANGU: Watakuwa hawajamtendea haki Dr SLAA kwa vile ni yeye aliyengarisha nyota za watu wa aina mbalimbali na hata Chama kikapata idadi kubwa ya wabunge na kufakiwa kuunda kambi ya upinzani bungeni. Toa maoni yako.
nimeipenda sana hiyo mkuu,umemshika pabaya,sidhani kama ata coment kitu hapoMkuu inaonyesha uko vizuri sana katika kusoma dalili za kutokea vitu, hebu nisaidie kitu kimoja hapa. Mke wangu anaanza paper za NBAA kesho vipi kuna dalili zozote kwamba atafaulu? na kwa kiwango gani?
director
Tatizo ni ratiba. Lakini kila wakati nachungulia na kama kuna swali au jambo linahitaji mchango wangu ninajitahidi. Hivyo kama kuna issue nitajitahidi kama ilivyokuwa huko nyuma.