CHADEMA bado mko hivi kweli?

CHADEMA bado mko hivi kweli?

Ungekuwa unajua mipango ya ndani ya chadema ungemjua mmiliki wa nyumba iliyopangishwa na chadema pale Kinondoni. Vilevile ungejua tenda ya magari hya M4C amepewa nani na kwa vigezo gani. Halafu ungefahamu mikutano ya chadema inafanyika kweye hoteli za nani na kwa bill ya shilingi ngapi.

Vilevile ungeona aibu kuja jamvini kuitetea chadema kila kukicha. Umeona Mbowe anaitetea chadema hapa? Yeye ni member hapa lakini nafsi yake inamsuta. Nyinyi msiojua kinachoendelea ndio kutwa mko nyuma ya keyboard kutetea vitu msivyoelewa.

Una ujasiri gani wa kusema wengine wakti wewe kutwa uko nyuma ya keyboard kutetea uovu na uchafu unaofanywa na ccm kwa watu wake na Tanzania yetu!!!?
 
Watu hawataki kuombea kwa tiketi ya chama ambacho madhumuni ya kuaznishwa kwake siyo mema.

Vijana waliolaghaika wasiojua kinachoendelea ndio mko mstari wa mbele kushabikia chama msichoelewa mipango yake ya ndani.
Yapi yasiyo mema? uongo ni tabia ya Shwatwaini, maana ni baba wa huo.
 
Kwa nini usiitumie taaluma yako ya sheria kuwasaidia katika kuwapata wagombea ambao wamelaghaika.

Kuna umaana gani kuweka wagombea ambao kitakuwa ni kichekesho kwenye matokeo kama ilivyofanyika Iramba.

Unajifanya hujui kama waanzilishi wa CHADEMA ni wachumi au kwa vile taaluma yako ya sheria haifahamu DEBIT AND CREDIT.

Hujaona kama kampeni za udiwani Arusha zinafanyika kwa chopper. Put money where it belong. Hii ndiyo main principle ya waanzilishi wa CHADEMA.

Siku utakayo chukua form za ubunge ndiyo utaifahamu zaidi CHADEMA.
 
umeongea kitu cha ukweri mkuu,hata mimi sipendi CHADEMA wamekuwa wakiweka nguvu sehemu za mijini tu,huku sehemu zingine zikiwa hazina hata uongozi,huwezi amini mpaka saasa Tanzania hii kina kata,wilaya zingine hazina hata uongozi wa cCDM
 
Unanataka kunianbia CHADEMA inamalengo ya kuwa na wagombea sehemu zilezile?kama ndo hivyo basi kitakuwa chama cha upinzani milele.
 
Bavicha wanajipongeza wamepata 28% Iramba ni mafanikio kwao.

Tangu chaguzi za marudio kata 29 mwaka jana, mwezi Oktoba, CCM wamekuwa wakishangaza jambo moja muhimu sana katika mahesabu ya kiuchaguzi! Wamekuwa sawa na bwana mkubwa mjinga nitakayemwelezea hapa chini;

Hivi bwana mkubwa mwenye watumwa 40 mfano anakwenda vitani na mtu mmoja anayedhaniwa kuwa dhaifu, asiye na kitu ambaye anajitutumua na anafanikiwa kupambana na jeshi la bwana mkubwa na kuteka watumwa wanne kati ya wals 40, vita hiyo fupi inakwisha, bwana mkubwa anaanza kujisifu kwa kushinda vita na kubakia na watumwa 32, hakumbuki kuwa mtu yule ambaye hakuwa na chochote ameweza kupambana na 'kumshinda' kwa kuweza kuwachukua na kuwaweka huru waliokuwa watumwa wake.

Maeneo hayo ambayo wameweza kupata viongozi na wajumbe wa CHADEMA, kuanzia juzi ni maeneo huru, yamekombolewa kutoka utumwani mwa mikono ya serikali dhalimu ya CCM inayohangaika kujiokoa katika anguko kubwa. Wamekuwa watu huru. Wamepata utumishi. Watatumikiwa hawatatawaliwa.

Wananchi hao ni sawa na mkulima aliyeamua kufuga paka wachache tu kuwaweka ndani ya ghala kubwa la chakula lililokuwa limejaa mapanya wengi. Ulaji (kuminya haki za wananchi, kuwadhulumu, kuwanyanyasa n.k) katika maeneo hayo sasa, hautakuwa kama ilivyokuwa.

Swali moja la msingi sana, CCM wanaweza kuwaambia watu hapa kiuhalisia hali ya kisiasa katika vijiji na vitongoji hivyo ilikuwaje mathalani, miaka miwili tu iliyopita?

Kama CCM imefikishwa mahali ambapo inaweza kujivunia kushinda vijiji na vitingoji, maana yake ni kwamba kuna mshindani huko na mshindani huyo ukimshinda inabidi utambe mji mzima. Haikuwahi kutokea katika historia ya upinzani nchini. Dalili za CCM kufa, wanazionesha kwa maneno na vitendo vyao wenyewe.

Wameshakabwa hadi kwenye vitongoji. CHADEMA sasa imefika na imesimikwa kila mahali nchi nzima. Hili ndilo lilikuwa la muhimu na hatua kubwa sana katika safari hii iliyoanza miaka mingi iliyopita.
 
Una ujasiri gani wa kusema wengine wakti wewe kutwa uko nyuma ya keyboard kutetea uovu na uchafu unaofanywa na ccm kwa watu wake na Tanzania yetu!!!?

Sijawahi kutetea uovu na sitatetea uovu DAIMA.

Una evidence ya uovu niliowahi kuutetea au ndio porojo zenu za bavicha tulizozizoea?
 
Tatizo lenu mlidhani watu wanavyojaa kwenye mikutano maana yake watawapigia kura. Kumbe mlisahau kuwa watu wakiona kitu chochote "abnormal" lazima wajazane kukishangaa. Watu walikuwa wanawacheka nyinyi mnadhani wanawachekelea.

Hahahahahahahahahahahaha

Akili za Bavicha ni VITUKO...
 
Wananikumbusha ile timu iliyokuwa inashangalia kwa kufungwa magoli matano TU. Timu hiyo ilizoea kufungwa 12 na kuendelea.

Hahahahahahahah Bavicha is a ridiculous entity...

Unanikumbusha fainal za kombe ya dunia mwaka 96 Urusi aliifunga Saudia Arabia mabao 8-1 yule aliofunga bao 1 la Saudia alipewa zawadi ya Benz mpya new model... Ha haa haa ha.

Cc.. chama,
 
Last edited by a moderator:
Unanikumbusha fainal za kombe ya dunia mwaka 96 Urusi aliifunga Saudia Arabia mabao 8-1 yule aliofunga bao 1 la Saudia alipewa zawadi ya Benz mpya new model... Ha haa haa ha.

Cc.. chama,

Hahahahahaha nakumbuka game nyingine tena na Ujerumani. Tena jamaa aliyefunga alikuwa mweusi. Ilikuwa 2002 walipigwa tena nane.

Kumbe chadema ni kama Saudia kwenye football.

Chadema MDEBWEDO...
 
si ajabu wakaja kuwaponda wananchi waliopiga kura kuwa wamelala na hawajitambui
 
Tangu chaguzi za marudio kata 29 mwaka jana, mwezi Oktoba, CCM wamekuwa wakishangaza jambo moja muhimu sana katika mahesabu ya kiuchaguzi! Wamekuwa sawa na bwana mkubwa mjinga nitakayemwelezea hapa chini;

Hivi bwana mkubwa mwenye watumwa 40 mfano anakwenda vitani na mtu mmoja anayedhaniwa kuwa dhaifu, asiye na kitu ambaye anajitutumua na anafanikiwa kupambana na jeshi la bwana mkubwa na kuteka watumwa wanne kati ya wals 40, vita hiyo fupi inakwisha, bwana mkubwa anaanza kujisifu kwa kushinda vita na kubakia na watumwa 32, hakumbuki kuwa mtu yule ambaye hakuwa na chochote ameweza kupambana na 'kumshinda' kwa kuweza kuwachukua na kuwaweka huru waliokuwa watumwa wake.

Maeneo hayo ambayo wameweza kupata viongozi na wajumbe wa CHADEMA, kuanzia juzi ni maeneo huru, yamekombolewa kutoka utumwani mwa mikono ya serikali dhalimu ya CCM inayohangaika kujiokoa katika anguko kubwa. Wamekuwa watu huru. Wamepata utumishi. Watatumikiwa hawatatawaliwa.

Wananchi hao ni sawa na mkulima aliyeamua kufuga paka wachache tu kuwaweka ndani ya ghala kubwa la chakula lililokuwa limejaa mapanya wengi. Ulaji (kuminya haki za wananchi, kuwadhulumu, kuwanyanyasa n.k) katika maeneo hayo sasa, hautakuwa kama ilivyokuwa.

Swali moja la msingi sana, CCM wanaweza kuwaambia watu hapa kiuhalisia hali ya kisiasa katika vijiji na vitongoji hivyo ilikuwaje mathalani, miaka miwili tu iliyopita?

Kama CCM imefikishwa mahali ambapo inaweza kujivunia kushinda vijiji na vitingoji, maana yake ni kwamba kuna mshindani huko na mshindani huyo ukimshinda inabidi utambe mji mzima. Haikuwahi kutokea katika historia ya upinzani nchini. Dalili za CCM kufa, wanazionesha kwa maneno na vitendo vyao wenyewe.

Wameshakabwa hadi kwenye vitongoji. CHADEMA sasa imefika na imesimikwa kila mahali nchi nzima. Hili ndilo lilikuwa la muhimu na hatua kubwa sana katika safari hii iliyoanza miaka mingi iliyopita.
What's this?. Umekosa cha kuandika hata maneno ya kilaghai yanakosekana mpaka unajitahidi kujaza page with a load of cobblers.

Mtatafuta sana kwenye vitabu mpaka vya hadithi za abunuwasi kupata LOGIC ya kile mnachotaka kuwalaghai wajumbe wa mtaa wa Togo na pia kuwafurahisha wakuu wa hapo mtaa wa Ufipa Kinondoni.

Matokeo ya chaguzi huwa hayadanganyi.

Kama mlikuwa hamna siraha, kimbelembele gani kiliwafanya kutanguliza tumbo kwenye vita wakati hamna hata cha kuwaeleza wananchi wakayakubali maneno yenu ambao hayana hata mantiki ya kiutendaji.

Chama kimejaza watu kwenye mitandao na kinawalipa pesa nyingi kwa ajiri ya kupongezana wao kwa wao badala ya kuwapeleka kwenye ground zero kupambana vita halisi.

Keep on dreaming.
 
Bado mnaruhusu wagombea wa CCM,hadi leo hii,kupita bila kupingwa? Hadi leo hii mnaamini kuwa Makamanda wachache wa mikoani wanaweza kuwabadili wananchi bila nguvu ya pamoja? Bado mnaamini kuwa Nafasi za chini kama Wenyeviti wa Vijiji,Mitaa na Vitongoji na Madiwani hawana maana. Kimsingi,hao ndio wenye watu.CHADEMA, CCM is still strong. Strong shall be defeated by the stronger. Nafasi ya kupata mafanikio ni kubwa sasa kuliko wakati wowote mwingine. Hii ni kwakuwa,wananchi walio wengi sasa wanashiriki siasa za upinzani bila woga. CHADEMA, wakati ni huu! Badilikeni mtuoneshe siasa ya kweli ya ushindani Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Well said! Chadema wamekuwa wakiendesha M4C makao makuu ya wilaya na mikoa, kumbe wanapaswa wakaeneze siasa zao kuanzia ngaz ya kata na vijiji bila kujalisha ni Katib mkuu au Mwenyekiti wa chama Taifa huko ndipo palipo na siri ya ushindi na kazi hii wangeifanya angalau kabla ya June 2014. Ili uchaguz wa serikali za mtaa waweze kufanya jambo la maana,kwa sababu kuna sehem nyingine hawapat habar za mabadiliko na maov yanayofanywa na watawala labda kidogo ugumu wa maisha lkn wat wa jembe na nyundo wakianza kugawa chumvi na vi elfu kumi kwisha habari mwananch anasahau. Ni mtazamo na ushauri tu.
 
Kutosimamisha wagombea tafsiri yake ni kuwa hawaubaliki.
 
Ndiyo mjue kuwa M4C ni project ya mtu na ndiyo maana inahusisha watu wachache, maalum kwa maslahi ya watu fulani, nadhani mmeona mtunda yake huko SINDIDA.
 
Kwa vile tunaendelea kuuelimisha Uma kupitia ndugu zetu walizagaa sehemu tofauti hapa nchini na duniani kote,ipo siku wataelewa tu,japo ccm iliwekeza kwenye ujinga kwa miaka mingi ila sisi tutaendelea kuwatoa vijana wenzetu huko kwa speed ya ajabu,kwani mungu sio soggy doggy hujama mnazowafanyia watanzania anaziona na kuna siku atawatoa huko kwa ushirikiano mkubwa wa cdm
 
What's this?. Umekosa cha kuandika hata maneno ya kilaghai yanakosekana mpaka unajitahidi kujaza page with a load of cobblers.

Mtatafuta sana kwenye vitabu mpaka vya hadithi za abunuwasi kupata LOGIC ya kile mnachotaka kuwalaghai wajumbe wa mtaa wa Togo na pia kuwafurahisha wakuu wa hapo mtaa wa Ufipa Kinondoni.

Matokeo ya chaguzi huwa hayadanganyi.

Kama mlikuwa hamna siraha, kimbelembele gani kiliwafanya kutanguliza tumbo kwenye vita wakati hamna hata cha kuwaeleza wananchi wakayakubali maneno yenu ambao hayana hata mantiki ya kiutendaji.

Chama kimejaza watu kwenye mitandao na kinawalipa pesa nyingi kwa ajiri ya kupongezana wao kwa wao badala ya kuwapeleka kwenye ground zero kupambana vita halisi.

Keep on dreaming.
Hili ndilo Tatizo la CHADEMA! huyu ni mwenzenu, kwa sababu tu kasema ukweli mnamshambulia, jirekebisheni hata kama mnatetea matumbo yenu lakini pale mnapoambiwa ukweli mkubali na kuchukua hatua na hapo mnajifunza usikivu kwa wananchi , jambo ambalo limekuwa ni siri kubwa kwa CCM kuendelea kukubalika kwa asilimia 100%
 
Bado mnaruhusu wagombea wa CCM,hadi leo hii,kupita bila kupingwa? Hadi leo hii mnaamini kuwa Makamanda wachache wa mikoani wanaweza kuwabadili wananchi bila nguvu ya pamoja? Bado mnaamini kuwa Nafasi za chini kama Wenyeviti wa Vijiji,Mitaa na Vitongoji na Madiwani hawana maana. Kimsingi,hao ndio wenye watu.CHADEMA, CCM is still strong. Strong shall be defeated by the stronger. Nafasi ya kupata mafanikio ni kubwa sasa kuliko wakati wowote mwingine. Hii ni kwakuwa,wananchi walio wengi sasa wanashiriki siasa za upinzani bila woga. CHADEMA, wakati ni huu! Badilikeni mtuoneshe siasa ya kweli ya ushindani Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Safari ni atua
 
Bado mnaruhusu wagombea wa CCM,hadi leo hii,kupita bila kupingwa? Hadi leo hii mnaamini kuwa Makamanda wachache wa mikoani wanaweza kuwabadili wananchi bila nguvu ya pamoja? Bado mnaamini kuwa Nafasi za chini kama Wenyeviti wa Vijiji,Mitaa na Vitongoji na Madiwani hawana maana. Kimsingi,hao ndio wenye watu.CHADEMA, CCM is still strong. Strong shall be defeated by the stronger. Nafasi ya kupata mafanikio ni kubwa sasa kuliko wakati wowote mwingine. Hii ni kwakuwa,wananchi walio wengi sasa wanashiriki siasa za upinzani bila woga. CHADEMA, wakati ni huu! Badilikeni mtuoneshe siasa ya kweli ya ushindani

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Mkuu VUTA-NKUVUTE

Naona leo umejisahau na kuamua kujikumbusha propaganda za Lumumba.

Ni vyema tukajua unatumia mifano ipi kujadili na kujenga hoja yako hii. Lini na wapi, CHADEMA wameruhusu wagombea wa CCM kupita bila kupingwa? Tusije kujikuta tunajadili abstarct.

CHADEMA imekuwa na kawaida ya kutumia vipaji vyake vyote ilivyonavyo, vilivyoko ngazi ya taifa hadi vitongojini na mitaani. Katika operesheni zote za chama ambazo zimekuwa zikifanyika kuanzia enzi za Sangara hadi sasa M4C, mara zote umekuwa ni mkusanyiko wa vipaji kutoka maeneo mbalimbali ya nchi, vinakusanywa pamoja, vinapewa majukumu na kutumwa mahali. Katika kundi hilo ambalo huongozwa na viongozi wa kitaifa, wamo makamanda kutoka maeneo mbalimbali ya nchi ambao huja kupata uzoefu kwa kufanya kazi kwenye uwanja wa mapambano.

Hiyo ndiyo nguvu ya pamoja unayosema iwepo. Suala la namna hii nililijibu hivi karibuni kwenye thread moja iliyoanzishwa na politiki hapa;

Re: Chadema: Acheni kurudia/kuendeleza makosa yale ya awali.

Hakuna nafasi katika ngazi yoyote ya uongozi wa kiserikali iwe ni kitongoji/mtaa, kijiji, kata hadi taifa imepuuzwa. Hakuna. Umuhimu wao si suala ambalo mtu makini anaweza kuanzisha debate ya ndiyo au hapana. Kwa sababu dhana ya viongozi kuwa karibu na watu inaendana kabisa na zonalization inayofanywa na CHADEMA kwa sasa. Chama kinataka kuwa kwa watu. Kwa wenye chama.

Ndiyo maana CHADEMA inao viongozi wa kiserikali wanaotokana na kuchaguliwa katika ngazi zote, kuanzia wajumbe wa serikali za vitongoji, mitaa na vijiji, madiwani wa kata na wabunge kutoka maeneo yote ya vijijini na mijini, nchi nzima.

CCM imeshalegezwa sana. Wewe ukiamua kuwa balanced tunataraji unafahamu hilo vizuri. CCM hii inayoporomoka kwa kasi imefikia mahali inajitahidi kweli kujitangaza kuwa imepita kwenye kata moja bila kupingwa (baada ya kufanya hila). Na haya mambo usifikiri yatakwisha leo, yatafanyika hadi CCM inaondolewa madarakani. Usaliti utakuwepo hafi wachache wenye moyo wa kujitoa watakapoweza kufanikisha hii safari kwa ajili ya manufaa ya wengi.

CCM ingelikuwa bado inapata laizer fare kama ilivyokuwa miaka kadhaa huko nyuma kabla ya upinzani mkali na wa dhati kutoka chama makini cha CHADEMA, viongozi wake waandamizi akiwemo msemaji na katibu mkuu wa chama hicho, wasingepita kila mahali kuanzia humu mitandaoni na kwenye mikutano ya hadhara wakijivunia kushinda vijiji kadhaa, huku wakisahau walivyopoteza.

Tuko kwenye zama ambazo CCM wanalazimika kufikiria mara mbili mbili kweli kwenda kwenye uchaguzi wa ngazi yoyote ile mahali popote pale nchini, kila wanapoona wanakwenda kuchuana na CHADEMA. Hawana uhakika tena wa ushindi. Hawajui nini kitatokea. Wanaliona anguko lao dhahiri. CCM has been defeated by the srongest political party among the parties.

Umesema vyema kabisa, kwamba wananchi sasa wanashiriki siasa za upinzani bila uoga! Ulichosahau ni kuonesha tumefikaje hapo, nani katufikisha hapo, ungelikumbuka hilo, ungeliona mchango wa CHADEMA waziwazi kwa asilimia zote. Nani kawatia ujasiri Watanzania leo wanaweza kuiasi CCM hadharani na sirini?

CHADEMA imeanza kuonesha siasa za ushindani makini tangu kilipoanzishwa. Hili haliwezi kutiliwa mashaka na mtu yeyote anayeitakia Tanzania mabadiliko ya dhati ya kumfumo na kiutawala.

Unaweza pia kusoma hapa, kwa reference nyingine, utaona majibu tuliyompatia Nape ambayo yanaweza kuwa yanaendana na hoja yako hapa kwa kiasi fulani.

Re: CCM YAPITA KATA YA LANGILO RUVUMA bila kupingwa!
 
Una ujasiri gani wa kusema wengine wakti wewe kutwa uko nyuma ya keyboard kutetea uovu na uchafu unaofanywa na ccm kwa watu wake na Tanzania yetu!!!?
Mkuu umeuona uchafu wa ccm tu na uchafu wa chama chako hujauona au tukubainishie huo uchafu.
 
Back
Top Bottom