Kirode
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 3,566
- 84
Chadema wao wanataka kata za Arusha tu uko kwingine hawana haja napo walianza Mungu na wanamaliza na Mungu.
vipi mkuu upo? habari za hapo lumumba mnaendeleaje... vipi zomba yupo likizo au? nasikia kuna semina elekezi ya vijana wa nape pale ubungo blue peal ijumaa sa tisa ni kweli? nasikia mnataka kugoma buku saba ni ndogo ebu tujuze mwana jf. mwenzetu ......wana jf. ritz yuko live leo kama kuna mwenye maswali amuulize hapa...