CHADEMA baada ya miaka 28 hatimaye leo imekufa rasmi

Mku kwani ukiwaondolea uanachama siwatakwenda Mahakamani na watabaki wabunge hadi hiyo miaka 5 iishe. Hilo la kuondolewa uanachama walishapiga mahesabu yake wakapata majibu. Kwani kina Waitara,Katambi na wengine walivyotoka CHADEMA siwalikwenda kwenye vyama vingine? Tuwapotezee tu ili mradi ruzuku ya hao wabunge 19 inaingia CHADEMA sisi tutulie.
Waliokutuma kawambie CHADEMA wamekataa
 
Back
Top Bottom