Kivipi? Mbona hawa ni washindani katika siasa.We ndiyo usiongee kabisaa .nilikuwa nikiwaambia cdm ni ccm hamsikii,mkomeee!!

Kuna ka msemo ka Kiswahili kanasema
"Hakunaga Umoja kwenye Njaa akitokea mwenye chakula "
Ni dhahiri shahiri huu msemo unatumika sasa kwa kile ambacho kinatokea na kinachoendelea kutokea ndani ya CHADEMA
Ni ujinga mkubwa kiasi gani kuona usaliti wa namna hii unatokea. Watu wamefungwa gerezani, kupigwa, kujinyima ili tu wapate haki yao halafu anatokea mtu ambaye alikua anawahimiza wananchi kujitolea anawasaliti mbele yao tena dakika za lala salama kabisa. Ina maana hawa wabunge wa CHADEMA walioapa kama Wabunge wateule wa viti maalumu hawajaona AIBU kabisa kwa usaliti wao huu!! Huku si kuwasaliti wanachama tu yaani umesaliti hata Nchi yao Mama.
Watu wanasaliti ilihali MAPAMBANO ya kutafuta haki bado yanaendelea. Inasikitisha sana
Halima Mdee na kikundi chake wamesaliti Nchi.Hawafai kufumbiwa macho kabisa.Wanafaa kuondolewa uanachama
Alamsiki
Kama mlijua hayo mbona hamkujitoa kama mlivyojitoa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa? Hayo ni machungu ya kushindwa kihalali.Ule wizi tumeona kwa macho yetu, msijifiche kwa watanzania maana ukweli tunaujua. Katafuteni wajinga ndio muwaambie huo utoto wa eti sera za ushoga. Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga mtu mweusi kwenye box la kura fullstop.
Kama mlijua hayo mbona hamkujitoa kama mlivyojitoa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa? Hayo ni machungu ya kushindwa kihalali.
Kuna watu walikuwa hawaamini kuwa ccm haina uwezo wa kushinda tena kwa kura za wananchi walio wengi, hivyo tulishiriki ili kuweka upuuzi wenu hadharani, na kwa uhakika somo hilo limewafikia vyema kwenye ule upuuzi uitwao uchaguzi.
MAGUFULI ni mtu muoga sana. Hawezi kushindana kwa hoja.mwaka 1994 yanga chini ya mpondela ilifukuza zaidi ya 80% ya nyota wake wakaja kina Anwar awadh, abdallah msheli sijui maalum saleh romario . Sijawahi Hama yanga so hata haya yatapita wanachadema watabakiSasa wanamwelewa
MAGUFULI ni mtu muoga sana. Hawezi kushindana kwa hoja.mwaka 1994 yanga chini ya mpondela ilifukuza zaidi ya 80% ya nyota wake wakaja kina Anwar awadh, abdallah msheli sijui maalum saleh romario . Sijawahi Hama yanga so hata haya yatapita wanachadema watabaki
Walimuelewa ndio maana TACAIDS wanalia na wengine kibao watafuataMagu aliposema CHADEMA kufikia mwaka 2020 na upinzani wote utakuwa umekufa
Hawakumwelewa
TACAIDS wamekanusha hiZo taarifaWalimuelewa ndio maana TACAIDS wanalia na wengine kibao watafuata
Wametishwa tuTACAIDS wamekanusha hiZo taarifa
Haya yamekuwa yakisemwa tangu 2016.Kuna ka msemo ka Kiswahili kanasema
"Hakunaga Umoja kwenye Njaa akitokea mwenye chakula "
Ni dhahiri shahiri huu msemo unatumika sasa kwa kile ambacho kinatokea na kinachoendelea kutokea ndani ya CHADEMA
Ni ujinga mkubwa kiasi gani kuona usaliti wa namna hii unatokea. Watu wamefungwa gerezani, kupigwa, kujinyima ili tu wapate haki yao halafu anatokea mtu ambaye alikua anawahimiza wananchi kujitolea anawasaliti mbele yao tena dakika za lala salama kabisa. Ina maana hawa wabunge wa CHADEMA walioapa kama Wabunge wateule wa viti maalumu hawajaona AIBU kabisa kwa usaliti wao huu!! Huku si kuwasaliti wanachama tu yaani umesaliti hata Nchi yao Mama.
Watu wanasaliti ilihali MAPAMBANO ya kutafuta haki bado yanaendelea. Inasikitisha sana
Halima Mdee na kikundi chake wamesaliti Nchi.Hawafai kufumbiwa macho kabisa.Wanafaa kuondolewa uanachama
Alamsiki
Mtasema mengi sana,chama chadema ni chama la wahuni tu,sasa wanaume wameingia wivu kuona wanawake wataendelea kupata pesa zaidi yao wanawapiga mkwara, kwao hiyo ni ajira waiache wafe njaa eti kwa sababu ya Mnyika na Mbowe? lakini wako watu bado mnasingizia serikali na chama cha mapinduzi. Hilo chama limesha gawanyika wao kwa wao baada ya dili zao kubuma sasa wanasuguana,lakini kutwa kucha zuzu wote wanaielekezea lawama CCM. Yaani wabongo ni bure kabisaNasikia eti wamepewa ulinzi, wanalindwa na usalama wa taifa
Ndio maana hili likaitwa Jukwaa la Siasa,,, kama kwako ni upumbavu chagua Jukwaa linalokufaa kwa maana yako mengi humu JFHivi huwa mnashabikia nini kwenye siasa mbona mimi huo mzuka sinaga yani kama vile mpira
Unashindwa kula kisa upumbavu wa mtu mwingine?? Hii ishu ikoje??
Yaan ufanye ujinga wako mimi niumie?
Utakufa wewe utaiachaKuna ka msemo ka Kiswahili kanasema
"Hakunaga Umoja kwenye Njaa akitokea mwenye chakula "
Ni dhahiri shahiri huu msemo unatumika sasa kwa kile ambacho kinatokea na kinachoendelea kutokea ndani ya CHADEMA
Ni ujinga mkubwa kiasi gani kuona usaliti wa namna hii unatokea. Watu wamefungwa gerezani, kupigwa, kujinyima ili tu wapate haki yao halafu anatokea mtu ambaye alikua anawahimiza wananchi kujitolea anawasaliti mbele yao tena dakika za lala salama kabisa. Ina maana hawa wabunge wa CHADEMA walioapa kama Wabunge wateule wa viti maalumu hawajaona AIBU kabisa kwa usaliti wao huu!! Huku si kuwasaliti wanachama tu yaani umesaliti hata Nchi yao Mama.
Watu wanasaliti ilihali MAPAMBANO ya kutafuta haki bado yanaendelea. Inasikitisha sana
Halima Mdee na kikundi chake wamesaliti Nchi.Hawafai kufumbiwa macho kabisa.Wanafaa kuondolewa uanachama
Alamsiki
Umemjibu vizuri sana kadri ya upumbavu wake.Ndio maana hili likaitwa Jukwaa la Siasa,,, kama kwako ni upumbavu chagua Jukwaa linalokufaa kwa maana yako mengi humu JF
KimaKuna ka msemo ka Kiswahili kanasema