CHADEMA amkeni, jua limeshachomoza

Egnecious

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
875
960
Hivi CHADEMA wanajifunza kitu gani watakaposhuhudia mhe Dr kikwete akimkabidhi chama Dr Magufuli tar 23/7/2016.

Hivi Mbowe, Ndesamburo wanajifunza kitu gani??

Hivi vijana wanaharakati wa CHADEMA wanajifunza kitu gani hapo?

Je kuna tofauti gani kati ya CHADEMA na saccos au vikoba??

Kweli CCM ni chama cha watu wote.

Nawaza tuuuu

ac637cad56c5ef0ce3d1c9a4f51011e6.jpg
 
vijana wa Lumumba bana...naona baada ya kusakamwa sana na mwenzako kuwa unajianzishia thread tu wewe, umeamka
hivi hamuwezi kuleta mijadala ya kitaifa yenye tija kazi yenu ni UKAWA vs CCM tu kila mara? Dah hii Tanzania kazi kweli, ndio maana tunaletewa wahindi na wachina waje kuanzisha viwanda na sisi tuwe makuli na wafagiaji sababu mawazo yenu ndio kama haya kupiga domo tu kila siku na kulamba viatu...hovyo kabisa
 
Umechoka kuanzisha mada za kujisifia baada ya kushushuliwa sasa unaanza kuichokonoa chadema? Tafuta vyanzo vya matatizo ya kinondoni ya chadema yaache.
 
Mboe atakua mwenyekiti wa chadema mpaka hapo Mungu atakapomwita. Hakuna namna nyingine, Bavicha wapo wapo tu bora liende
 
Mmechafuana sana sasa unaanza kukitetea chama chako utabaki salama ngoja 23 sitashangaa kusikia kuwa umetenguliwa kwenye uteuzi utapangiwa kazi nyingine
 
Ahahaha mkubwa wa wilaya,unataka kumpindua John Bwax asipewe ukiti wa chama??? Achana na CHADEMA malizana na Lizabon kwanza
 
Wewe si umetahiriwa na Lizabonn jana? Unatakiwa utulie,achana na siasa uchwara. Endelea kupaka nyumba rangi ukisubiri kudeletewa maana huwezi mtetea adui wa bosi wako!!
 
Hivi CHADEMA wanajifunza kitu gani watakaposhuhudia mhe Dr kikwete akimkabidhi chama Dr Magufuli tar 23/7/2016.

Hivi Mbowe, Ndesamburo wanajifunza kitu gani??

Hivi vijana wanaharakati wa CHADEMA wanajifunza kitu gani hapo?

Je kuna tofauti gani kati ya CHADEMA na saccos au vikoba??

Kweli CCM ni chama cha watu wote.

Nawaza tuuuu

ac637cad56c5ef0ce3d1c9a4f51011e6.jpg
Mawazo toka kiuongo mbadala
 
Back
Top Bottom