CHADEMA acheni kupotosha umma. Siasa hizi ndio zinawamaliza

yamindinda

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2011
Messages
1,577
Points
2,000

yamindinda

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2011
1,577 2,000
Katika mkutano wao na waandishi wa habari leo hii Chadema imesema kuwa diwani Lwena ameuliwa na Chama cha Mapinduzi, pamoja na jeshi la polisi. Ninachokijua ni kwamba jeshi la polisi bado linaendelea na uchunguzi, lakini taarifa ya awali ya polisi imeeleza kuwa tukio hili limekaa kama kulipizana kisasi, japo taarifa hiyo haijafafanua kwa undani zaidi.

Hii kauli ya Chadema inatakiwa kuwafumbua macho watanzania kuhusu aina ya siasa ambazo zimeanza kufanywa na Chadema kwa kutumia matukio mbalimbali. Asubuhi nilisema kuwa kutuhumiana kwa hisia siyo jambo jema maana tutawagawa watu kwasababu ya hisia pekee au kwasababu ya chuki zako za kisiasa kwa chama au kiongozi flani tu.

Japo ninaamini pia kwamba, kwa namna nyingine hii kauli ya Chadema itawaunganisha watanzania na wanaCCM ktk kutafakari aina ya siasa zinazofanywa na hiki chama kwa kulinganisha na matukio mbalimbali yanayojitokeza.

Hii kauli ya Chadema imenifanya nitafakari mambo mengi sana, mpaka nimejiuliza kuwa CCM haiwezi kumfungulia mashataka Mnyika na Chadema kwa kuichafua au tuendelee kuwapuuza!!?

By Magoiga SN
 
LENDEYSON

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2013
Messages
2,951
Points
2,000

LENDEYSON

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2013
2,951 2,000

Unadhani Kuna Tofauti na hao Waliotajwa? Ni kina Nani ambao Huwa wanamfungulia kesi na anawashinda? Kila kesi? Yaleyale ya TL,mmeshindwa kumjibu mkaamua pyupyu! Shame on You! Nawaunga mkono Wote wanaowanyooshea vidole CCM na ndugu zao Policcm!
 
marigy

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2017
Messages
343
Points
500

marigy

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2017
343 500
Ukitaka kujua mtaani kumebadilika na propaganda za ccm dhidi ya upinzani zinajulikana, fanya sensa yako tu kwa kuwauliza watu ambao huwafahamu kabisa kama 50 iv kwa siku mbili ndo utajua people they have been counscioutized with the situation..... Kama umeenda shule basi sina shaka kuhusu uwezo wako wa ku intergrate na mtu kwa mara ya kwanza lkn kama hujui fanya kumsalimia piga stori mbili tatu af uliza iv hii nchi siku mbona matukio mengi sana? Zingatia watu ambao huwajui kabisa misimamao yao kisiasa ili ikupe accurate investigation......... Mi nishafanya i made a call to my people and talk to them, nimepata correlation ya political situation...... Na ki ukweli watu hawapendi na wanaamini ccm na serikali ndo wahusika jumlisha ukimya wa presidaa ndo kabisa, kama serikali haiusiki basi sumu inayosambazwa mtaani ni hatari kwa future ya taifa hili...... Lkn kabla hujalalamika hapa jiulize what are measure undertaken by the Goverment to scale down the situation which harm the people dignity and fratenity? Na ili kupata accurate thought usianzie tukio la jana.. Itapendeza ukianzia from the first event, what Goverment done towards injustice action to Azory, Ben, Lissu, Aquilina, katibu wa chadema, diwani wa moro, na mauaji mengine mengi? Hii itakupa dot connection kwamba what blamed by opposition is because they have courtesy language to use rather than speaking the likes, hata ungekuwa wew mnyika ungezungumza vile..... Kwa sababu wenye wajibu they are silence....... According to this scenerio where could you get legal power to sue chadema? Otherwise you command urself to Think criticaly with what we call ukada.......!
 
Sumti

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2016
Messages
1,374
Points
2,000

Sumti

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2016
1,374 2,000
Katika mkutano wao na waandishi wa habari leo hii Chadema imesema kuwa diwani Lwena ameuliwa na Chama cha Mapinduzi, pamoja na jeshi la polisi. Ninachokijua ni kwamba jeshi la polisi bado linaendelea na uchunguzi, lakini taarifa ya awali ya polisi imeeleza kuwa tukio hili limekaa kama kulipizana kisasi, japo taarifa hiyo haijafafanua kwa undani zaidi.

Hii kauli ya Chadema inatakiwa kuwafumbua macho watanzania kuhusu aina ya siasa ambazo zimeanza kufanywa na Chadema kwa kutumia matukio mbalimbali. Asubuhi nilisema kuwa kutuhumiana kwa hisia siyo jambo jema maana tutawagawa watu kwasababu ya hisia pekee au kwasababu ya chuki zako za kisiasa kwa chama au kiongozi flani tu.

Japo ninaamini pia kwamba, kwa namna nyingine hii kauli ya Chadema itawaunganisha watanzania na wanaCCM ktk kutafakari aina ya siasa zinazofanywa na hiki chama kwa kulinganisha na matukio mbalimbali yanayojitokeza.

Hii kauli ya Chadema imenifanya nitafakari mambo mengi sana, mpaka nimejiuliza kuwa CCM haiwezi kumfungulia mashataka Mnyika na Chadema kwa kuichafua au tuendelee kuwapuuza!!?

By Magoiga SN
Mkuu ni kuwapuuza tu maana wanatapatapa na hawajui watendalo. 2020 kaa watafika hata 10 bungeni itakuwa bahati yao.
 
thetallest

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Messages
6,223
Points
2,000

thetallest

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2017
6,223 2,000
Katika mkutano wao na waandishi wa habari leo hii Chadema imesema kuwa diwani Lwena ameuliwa na Chama cha Mapinduzi, pamoja na jeshi la polisi. Ninachokijua ni kwamba jeshi la polisi bado linaendelea na uchunguzi, lakini taarifa ya awali ya polisi imeeleza kuwa tukio hili limekaa kama kulipizana kisasi, japo taarifa hiyo haijafafanua kwa undani zaidi.

Hii kauli ya Chadema inatakiwa kuwafumbua macho watanzania kuhusu aina ya siasa ambazo zimeanza kufanywa na Chadema kwa kutumia matukio mbalimbali. Asubuhi nilisema kuwa kutuhumiana kwa hisia siyo jambo jema maana tutawagawa watu kwasababu ya hisia pekee au kwasababu ya chuki zako za kisiasa kwa chama au kiongozi flani tu.

Japo ninaamini pia kwamba, kwa namna nyingine hii kauli ya Chadema itawaunganisha watanzania na wanaCCM ktk kutafakari aina ya siasa zinazofanywa na hiki chama kwa kulinganisha na matukio mbalimbali yanayojitokeza.

Hii kauli ya Chadema imenifanya nitafakari mambo mengi sana, mpaka nimejiuliza kuwa CCM haiwezi kumfungulia mashataka Mnyika na Chadema kwa kuichafua au tuendelee kuwapuuza!!?

By Magoiga SN
Hili ni genge la wahuni ,sijui kwanini wanalilea kiasi hiki,halifai kuwepo kwenye sura ya tanzania
 
Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
8,967
Points
2,000

Bila bila

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
8,967 2,000

Namba ya simu tafadhali!
 
excellentone

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Messages
725
Points
500

excellentone

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2017
725 500

Kinachowamaliza Ni risasi na mapanga ya ccm ...... Zidumu fikra za mwenyekiti
 
tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
26,127
Points
2,000

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
26,127 2,000
Hili ni genge la wahuni ,sijui kwanini wanalilea kiasi hiki,halifai kuwepo kwenye sura ya tanzania
Mkuu wala sikufichi, kwa aina ya siasa waliyoamua kufanya ccm chini ya mwenyekiti wake, ni dhahiri umma sasa umeanza kuona picha halisi ya ccm mpya. Ukijaribu kuangalia miaka miwili ya awamu hii ya tano kulijaribu kujengwa propaganda kubwa kwamba sasa Tz imepata kiongozi iliyemtaka. Kwa bahati mbaya inaoenakana mgema kasifiwa na sasa tembo kalitia maji. Ni ukweli usiofichika uchumi unadondoka kwa kasi, ajira hakuna na dalili ya kuwepo kwake zinazidi kutoweka. Halafu kwa haya mauaji na uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari, naona watu wakibadilika kwa kasi.

Jaribu kutazama lugha za viongozi wa dini kuelekea serekali hii, nidhamu ya woga iliyokuwa imejengeka ndani ya miaka hii miwili inapungua kwa kasi ya mwanga na sasa watu wanaongea ukweli. Ile miradi iliyopigiwa debe sasa wananchi wanaweza kujionea wenyewe ukweli na uongo wake Sijui ni kipi kitaendelea mpaka 2020, lakini nakuhakikishia kwa kasi hii ya watu kubadilika ikifika kipindi hicho tutashuhudia umwagaji mkubwa wa damu iil ccm iendelee kubaki madarkani. Dalili za haya ninayoyasema tumeziona kwenye chaguzi hizi zilizopita ambapo ccm ilitakiwa ishinde kirahisi na kihalali lakini imekuwa kinyume chake.
 
Mkuu tathimini yako sio uhalisia. lazima nikwambie ,mengi usemayo ni propaganda za watu mufilisi ki maarifa ,maisha mliozoea ni ya shortcut,njia sahihi zinawawia vigumu kuendana nazo ,mmebakia kulalamika ,hatuoni mbadala wa moni yenu zaidi ni kashifa na kuhimiza vurugu,mkikokotoa na baadhi ya viongozi wachache wa kidini kufikia malengo yenu.askwambie mtu nidhamu alioijenga rais bado ni imara kuliko unavyofikiri.
Kuhusu uhuru wa kutoa maoni mnao sana tu na nitoka zamani,jamii forum ni kielelezo cha uhuruwa kutoa maoni.Ni jukwaa huru ambalo mnalitumia kuelezea hisia zenu ,bila ya bugtha yoyote,uhuru unamipaka yake fahamu hilo.msikilizeni Mangi kimambi tuone kama mtashinda hili,nafahamu mmejikinga kwenye kivuli cha wananchi wakati mnafahamika ni genge la.wahuni flaniwapenda dezo
 
Konsciouz

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2015
Messages
4,799
Points
2,000

Konsciouz

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2015
4,799 2,000
Raia yeyote mwenye kufikiri vyema anajua perpetrators wa haya matukio ni nani.
Serikali haiwezi kujitenganisha na uovu huu, guilty as charged!
 
tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
26,127
Points
2,000

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
26,127 2,000
Mkuu tathimini yako sio uhalisia. lazima nikwambie ,mengi usemayo ni propaganda za watu mufilisi ki maarifa ,maisha mliozoea ni ya shortcut,njia sahihi zinawawia vigumu kuendana nazo ,mmebakia kulalamika ,hatuoni mbadala wa moni yenu zaidi ni kashifa na kuhimiza vurugu,mkikokotoa na baadhi ya viongozi wachache wa kidini kufikia mnaoalengo yenu.askwambie mtu nidhamu alioijenga rais bado ni imara kuliko unavyofikiri.
Kuhusu uhuru wa kutoa maoni mnao sana tu na nitoka zamani,jamii forum ni kielelezo cha uhuruwa kutoa maoni.Ni jukwaa huru ambalo mnalitumia kuelezea hisia zenu ,bila ya bugtha yoyote,uhuru unamipaka yake fahamu hilo.msikilizeni Mangi kimambi tuone kama mtashinda hili,nafahamu mmejikinga kwenye kivuli cha wananchi wakati mnafahamika ni genge la.wahuni flaniwapenda dezo
Mkuu waliozoe maisha ya shortcut ni viongozi na familia zao sio sisi. Wengi wetu tulikuwa tunafuata njia sahihi na hadi sasa tunafuata njia sahihi. Ambao walifaidika na maisha ya ujanja ujanja ni wale waliokuwa na nafasi serekalini na kwenye taasisi zake. Tuna mawazo mengi mbadala, ila kwa awamu hii kinachofanyika ni kutenga watu kwa mlengo wa kiitikadi na chuki za wazi. Kwa sasa ajira zimezidi kupungua, biashara zetu zimekuwa hovyo kuliko unavyofiikiri wewe. Rais kwa mtazamo wako kajenga nidhamu, mimi naona kajenga hofu, na matokeo yake unafiki umeshamiri badala ya tija.

Uhuru wa kutoa maoni huku jf tunatoa maoni yetu kwa fake ID's lakini kwenye majukwaa rasmi watu hawathubutu kwani tunaona kashikashi wanazokutana nazo. Sio mara moja au 2 tumeona watu wakasakamwa na kukutana na mikono ya dola kwa kuibua madhaifu ya awamu hii, mfano kijana aliyeonyesha majengo ya chuo kikuu. Kwanza nikusaidie maana inaoenaka unacheza ngoma ya watawala bila kujitambua, maandamano sio vita bali ni sehemu ya umma kuonyesha hisia zao. Ni vyema hayo maandamano yakaachwa kisha ujumbe wa hayo maandamano ukafanyiwa kazi. Ni dhahiri kuna mambo mengi yataonyeshwa kwenye hayo maandamano, sasa itakuwa ni sehem sahihi ya viongozi kujipima uongozi wao na kile watakachosikia.
 
kuuuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Messages
361
Points
250

kuuuu

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2016
361 250
huyu alieandik hii post nashngaa sana kusema hivyo ulishawah kujiuliza kila tukio linalotokea linakuwa halina majibu halis why?watu kukutwa wamekufa wakiwa wamefungwa kwenye viroba, akwilina amekufa kwa risas y polis unatawanya wtu unatumia risas ya moto walikuwa na maana gan au asingekuwa akwilin nani alie kuwa amelengwa?umeshajiuliza hilo swali?, diwan amekatwa mapanga kule morogoro hakuna majibu wala ufumbuz kila ktu upererez haujakamilika, lissu amepigwa lisas peupe tena mchana kwenye nyumba za serikal na zinalindwa 24hrs mpk leo hakuna majib wala waliohusika ww hufikilii wala kujiongeza kichwan mwako kuwa kuna nn hapa.
fikilia kwanza kbl ya kuandika post ya kipuuz ka hyo ndg inauma wtzania wenzetu kupoteza maisha kwa njia ziszorasimi ka hiz ww unaona raha tu.
 
Mulama

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
2,745
Points
2,000

Mulama

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2011
2,745 2,000
Katika mkutano wao na waandishi wa habari leo hii Chadema imesema kuwa diwani Lwena ameuliwa na Chama cha Mapinduzi, pamoja na jeshi la polisi. Ninachokijua ni kwamba jeshi la polisi bado linaendelea na uchunguzi, lakini taarifa ya awali ya polisi imeeleza kuwa tukio hili limekaa kama kulipizana kisasi, japo taarifa hiyo haijafafanua kwa undani zaidi.

Hii kauli ya Chadema inatakiwa kuwafumbua macho watanzania kuhusu aina ya siasa ambazo zimeanza kufanywa na Chadema kwa kutumia matukio mbalimbali. Asubuhi nilisema kuwa kutuhumiana kwa hisia siyo jambo jema maana tutawagawa watu kwasababu ya hisia pekee au kwasababu ya chuki zako za kisiasa kwa chama au kiongozi flani tu.

Japo ninaamini pia kwamba, kwa namna nyingine hii kauli ya Chadema itawaunganisha watanzania na wanaCCM ktk kutafakari aina ya siasa zinazofanywa na hiki chama kwa kulinganisha na matukio mbalimbali yanayojitokeza.

Hii kauli ya Chadema imenifanya nitafakari mambo mengi sana, mpaka nimejiuliza kuwa CCM haiwezi kumfungulia mashataka Mnyika na Chadema kwa kuichafua au tuendelee kuwapuuza!!?

By Magoiga SN
Nyie mnaua na kuteka kutesa chadema inayatumia haya kisiasa. Acheni kuua kuteka na kutesa ili muinyime chadema mtaji was kisiasa.
 
Forum statistics

Threads 1,378,985
Members 525,255
Posts 33,730,738
Top