yamindinda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2011
- 1,581
- 1,318
Katika mkutano wao na waandishi wa habari leo hii Chadema imesema kuwa diwani Lwena ameuliwa na Chama cha Mapinduzi, pamoja na jeshi la polisi. Ninachokijua ni kwamba jeshi la polisi bado linaendelea na uchunguzi, lakini taarifa ya awali ya polisi imeeleza kuwa tukio hili limekaa kama kulipizana kisasi, japo taarifa hiyo haijafafanua kwa undani zaidi.
Hii kauli ya Chadema inatakiwa kuwafumbua macho watanzania kuhusu aina ya siasa ambazo zimeanza kufanywa na Chadema kwa kutumia matukio mbalimbali. Asubuhi nilisema kuwa kutuhumiana kwa hisia siyo jambo jema maana tutawagawa watu kwasababu ya hisia pekee au kwasababu ya chuki zako za kisiasa kwa chama au kiongozi flani tu.
Japo ninaamini pia kwamba, kwa namna nyingine hii kauli ya Chadema itawaunganisha watanzania na wanaCCM ktk kutafakari aina ya siasa zinazofanywa na hiki chama kwa kulinganisha na matukio mbalimbali yanayojitokeza.
Hii kauli ya Chadema imenifanya nitafakari mambo mengi sana, mpaka nimejiuliza kuwa CCM haiwezi kumfungulia mashataka Mnyika na Chadema kwa kuichafua au tuendelee kuwapuuza!!?
By Magoiga SN