King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,678
- 68,660
Wameenda kuongoza!
Ndio maana Mbowe alimleta Lowassa hapo Ufipa ili agombee Urais wa JMT.Kwahiyo wanachaguliwa kuongoza taasisi au nchi? Kama kuongoza taasisi kwanini wasingechaguana ndani huko kwenye taasisi yao? kwani hao wengine wanaounda taasisi na wao wapo kwenye karatasi ya kura?
We don’t know for sure if Magu assigned sabayaFly over mnasema alijenga Magufuli,
Ujambazi mnasema ilikuwa Taasisi
Mbona hamna msimamo? Legacy yake ndio hii sasa
Wewe ndio Unataka Kupotosha mbona Dodoma kuwa Makao makuu mnasema ni Magufuli hamsemi SerikaliNawakumbusha tu Chadema wasimlishe maneno mtuhumiwa Ole sabaya kwamba amekiri kutumwa na hayati Magufuli kufanya yale anayoshtakiwa kuyafanya.
Ole sabaya ameitaja mamlaka ya uteuzi ambayo ni Rais, lakini tusisahau kuwa Rais ni taasisi
Mungu ni mwema wakati wote!
Aliposema hajaribiwi na wala hapangiwi... Ulimuelewa hapo?Nawakumbusha tu Chadema wasimlishe maneno mtuhumiwa Ole sabaya kwamba amekiri kutumwa na hayati Magufuli kufanya yale anayoshtakiwa kuyafanya...
That's not my point....We don’t know for sure if Magu assigned sabaya
imekuaje leo sabaya huyuhuyu tuliokua hatumuamini tumuamini hivi?
Ukiwa Mtu mzima ukakosa hekima ni hasara kwa taifa.Fly over mnasema alijenga Magufuli,
Ujambazi mnasema ilikuwa Taasisi
Mbona hamna msimamo? Legacy yake ndio hii sasa
Unawezaje kuwatambua wana CHADEMA humu mkubwa? Au unarusha jiwe gizani bila kujua litapiga kitu gani?Nawakumbusha tu Chadema wasimlishe maneno mtuhumiwa Ole sabaya kwamba amekiri kutumwa na hayati Magufuli kufanya yale anayoshtakiwa kuyafanya.
Ole sabaya ameitaja mamlaka ya uteuzi ambayo ni Rais, lakini tusisahau kuwa Rais ni taasisi
Mungu ni mwema wakati wote!
Wakati fulani huwa una hoja za kipumbavu sanaNawakumbusha tu Chadema wasimlishe maneno mtuhumiwa Ole sabaya kwamba amekiri kutumwa na hayati Magufuli kufanya yale anayoshtakiwa kuyafanya.
Ole sabaya ameitaja mamlaka ya uteuzi ambayo ni Rais, lakini tusisahau kuwa Rais ni taasisi
Mungu ni mwema wakati wote!
What's your point?Ukiwa Mtu mzima ukakosa hekima ni hasara kwa taifa.
Kila Mtu amesikia utetezi wa jambazi Sabaya isipokuwa wewe
Lakini unajitahidi kweli!Watu hujenga taasisi siyo mtu.
Ndio maana Tundu Lisu alikuwa na Salumu Mwalimu!
Ina maana ni wewe tu uliyesikiliza utetezi wa Sabaya?!Nawakumbusha tu Chadema wasimlishe maneno mtuhumiwa Ole sabaya kwamba amekiri kutumwa na hayati Magufuli kufanya yale anayoshtakiwa kuyafanya...
Hivyo ndiyo regacy yakee pamoja na madege ujambaxi na uuaji vimoNawakumbusha tu Chadema wasimlishe maneno mtuhumiwa Ole sabaya kwamba amekiri kutumwa na hayati Magufuli kufanya yale anayoshtakiwa kuyafanya.
Ole sabaya ameitaja mamlaka ya uteuzi ambayo ni Rais, lakini tusisahau kuwa Rais ni taasisi
Mungu ni mwema wakati wote!
Kwa hiyo mlipokuwa mnasema mama anaupiga mwingi mlikuwa mnamaanisha hana chochote kile cha maana ambacho anakifanya?Ukiambiwa mtu anaupiga mwingi ni ukweli ya kwamba hana chochote kile cha maana ambacho anakifanya.
Stupid, the ultimate responsibility rests on Rais. Unawajibika kwa atrocities za waliochini yako.Nawakumbusha tu Chadema wasimlishe maneno mtuhumiwa Ole sabaya kwamba amekiri kutumwa na hayati Magufuli kufanya yale anayoshtakiwa kuyafanya.
Ole sabaya ameitaja mamlaka ya uteuzi ambayo ni Rais, lakini tusisahau kuwa Rais ni taasisi
Mungu ni mwema wakati wote!