CHADEMA acheni kupotosha, hakuna sehemu Ole Sabaya amedai alitumwa na Hayati Magufuli kutenda aliyotenda, Rais ni taasisi

Kwahiyo unataka kusema kwa matukio yaliyokuwa yakitokea kuna namna jiwe anaweza kutokuhusika au alikua hafahamu?

Kwani anayeteua DC na RC ni nani?
Orders wanachukua wapi??

Ndio maana tunahitaji katiba mpya, haya mambo huchagizwa kutokana na hisani hizi mtu anaokotwa huko na kupewa ofisi inayomzidi kila kitu!

Tunajitaji katiba mpya na huu uDc aidha ufutwe au iwepo uwanja wa ushindani huru kwa hawa watu kugombea na kufanyiwa usahili wa kina kabla ya kupewa ofisi
Kazi aliyo tumwa Sabaya amekwisha imaliza, hongera Mbunge wa Hai, Waziri mkuu mtarajiwa. Politics at its worst. Spinning Doctors are sweeping the floor for and against.
 
Siku hizi unaandika vitu huku JF kama mtu aliechanganyikiwa.Hii ni chadema?👇
2880951_IMG-20210813-WA0022-1.jpg
 
Nawakumbusha tu CHADEMA wasimlishe maneno mtuhumiwa Ole Sabaya kwamba amekiri kutumwa na Hayati Magufuli kufanya yale anayoshtakiwa kuyafanya.

Ole Sabaya ameitaja mamlaka ya uteuzi ambayo ni Rais, lakini tusisahau kuwa Rais ni taasisi

Mungu ni mwema wakati wote!
Kumbe gazeti la mwananchi ni la chadema! Leo ndiyo nimejua!
 
Nawakumbusha tu CHADEMA wasimlishe maneno mtuhumiwa Ole Sabaya kwamba amekiri kutumwa na Hayati Magufuli kufanya yale anayoshtakiwa kuyafanya.

Ole Sabaya ameitaja mamlaka ya uteuzi ambayo ni Rais, lakini tusisahau kuwa Rais ni taasisi

Mungu ni mwema wakati wote!
Kwani aliyemteua ni W/Mkuu, Spika au Jaji Mkuu?? Yaani Mamlaka ya Uteuzi hapa tunazungumzia nani hasa au ni CHADEMA?
 
Baba yako aliekuwa anachukua mishahara ya watumishi hewa hakuwa jambazi ila aliyemfukuza kazi !!
Pumbavu! Kamuulize mama yako nani anamkuna uchi wake!

Shika adabu wewe mtoto mimi ni baba yako mzazi!
 
Baba uwe wewe, wakati jamaa wameisha zibua mfereji wa Suez ? Yanatiririka tu
Ni kweli wakati namtafuta mama yako nilikuta ameshazibuliwa kote kote, hata hivyo sikujali mpaka ukapatikana!
 
Ni kweli wakati namtafuta mama yako nilikuta ameshazibuliwa kote kote, hata hivyo sikujali mpaka ukapatikana!
Yaani ile napata akili vyema nakuta na baba choko kama wewe, fasta ningekutafutia jamaa kama kumi wanakukorokocha mpaka unakufa.
 
Nawakumbusha tu CHADEMA wasimlishe maneno mtuhumiwa Ole Sabaya kwamba amekiri kutumwa na Hayati Magufuli kufanya yale anayoshtakiwa kuyafanya.

Ole Sabaya ameitaja mamlaka ya uteuzi ambayo ni Rais, lakini tusisahau kuwa Rais ni taasisi

Mungu ni mwema wakati wote!
Wewe dada kila ukiwa kwenye deiz zako lazima uitaje Chadema,hii imekaaje?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom