CHADEMA acheni kupotosha, hakuna sehemu Ole Sabaya amedai alitumwa na Hayati Magufuli kutenda aliyotenda, Rais ni taasisi

Kwahiyo wanachaguliwa kuongoza taasisi au nchi? Kama kuongoza taasisi kwanini wasingechaguana ndani huko kwenye taasisi yao? kwani hao wengine wanaounda taasisi na wao wapo kwenye karatasi ya kura?
Ndio maana Mbowe alimleta Lowassa hapo Ufipa ili agombee Urais wa JMT.

Rais ni taasisi vinginevyo angegombea Dr Slaa aliyekuwa mwanachama wa Chadema tofauti na Lowassa wa CCM!
 
Fly over mnasema alijenga Magufuli,
Ujambazi mnasema ilikuwa Taasisi

Mbona hamna msimamo? Legacy yake ndio hii sasa
We don’t know for sure if Magu assigned sabaya

imekuaje leo sabaya huyuhuyu tuliokua hatumuamini tumuamini hivi?
 
Nawakumbusha tu Chadema wasimlishe maneno mtuhumiwa Ole sabaya kwamba amekiri kutumwa na hayati Magufuli kufanya yale anayoshtakiwa kuyafanya.

Ole sabaya ameitaja mamlaka ya uteuzi ambayo ni Rais, lakini tusisahau kuwa Rais ni taasisi

Mungu ni mwema wakati wote!
Wewe ndio Unataka Kupotosha mbona Dodoma kuwa Makao makuu mnasema ni Magufuli hamsemi Serikali

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Vipi kwa Mpango nayo ni wizara iliyomtuma siyo yeye Mpango, vipi Luoga ni BOT iliyomtuma na siyo yeye Luoga ha ha ila nilichokukubali unakubali kuwa huo ujambazi wa Sabaya aliufanya kweli ila wewe hupendi tu atajwe Mwendazake
 
We don’t know for sure if Magu assigned sabaya

imekuaje leo sabaya huyuhuyu tuliokua hatumuamini tumuamini hivi?
That's not my point....

Mleta mada anadai, CHADEMA wanapotosha kwa kusema Sabaya alitumwa na Magu, eti waseme alitumwa na The Presidency.

Kama tukiamua hivyo, tuache kusema Fly Over kajenga Magu, tuseme imejengwa na Taasisi.

Sio mazuri anapewa yeye, mabaya inapewa taasisi.
 
Fly over mnasema alijenga Magufuli,
Ujambazi mnasema ilikuwa Taasisi

Mbona hamna msimamo? Legacy yake ndio hii sasa
Ukiwa Mtu mzima ukakosa hekima ni hasara kwa taifa.
Kila Mtu amesikia utetezi wa jambazi Sabaya isipokuwa wewe
 
Nawakumbusha tu Chadema wasimlishe maneno mtuhumiwa Ole sabaya kwamba amekiri kutumwa na hayati Magufuli kufanya yale anayoshtakiwa kuyafanya.

Ole sabaya ameitaja mamlaka ya uteuzi ambayo ni Rais, lakini tusisahau kuwa Rais ni taasisi

Mungu ni mwema wakati wote!
Unawezaje kuwatambua wana CHADEMA humu mkubwa? Au unarusha jiwe gizani bila kujua litapiga kitu gani?
 
Nawakumbusha tu Chadema wasimlishe maneno mtuhumiwa Ole sabaya kwamba amekiri kutumwa na hayati Magufuli kufanya yale anayoshtakiwa kuyafanya.

Ole sabaya ameitaja mamlaka ya uteuzi ambayo ni Rais, lakini tusisahau kuwa Rais ni taasisi

Mungu ni mwema wakati wote!
Wakati fulani huwa una hoja za kipumbavu sana
 
Kwahiyo unataka kusema kwa matukio yaliyokuwa yakitokea kuna namna jiwe anaweza kutokuhusika au alikua hafahamu?

Kwani anayeteua DC na RC ni nani?
Orders wanachukua wapi??

Ndio maana tunahitaji katiba mpya, haya mambo huchagizwa kutokana na hisani hizi mtu anaokotwa huko na kupewa ofisi inayomzidi kila kitu!

Tunajitaji katiba mpya na huu uDc aidha ufutwe au iwepo uwanja wa ushindani huru kwa hawa watu kugombea na kufanyiwa usahili wa kina kabla ya kupewa ofisi
 
Nawakumbusha tu Chadema wasimlishe maneno mtuhumiwa Ole sabaya kwamba amekiri kutumwa na hayati Magufuli kufanya yale anayoshtakiwa kuyafanya.

Ole sabaya ameitaja mamlaka ya uteuzi ambayo ni Rais, lakini tusisahau kuwa Rais ni taasisi

Mungu ni mwema wakati wote!
Hivyo ndiyo regacy yakee pamoja na madege ujambaxi na uuaji vimo
 
Nawakumbusha tu Chadema wasimlishe maneno mtuhumiwa Ole sabaya kwamba amekiri kutumwa na hayati Magufuli kufanya yale anayoshtakiwa kuyafanya.

Ole sabaya ameitaja mamlaka ya uteuzi ambayo ni Rais, lakini tusisahau kuwa Rais ni taasisi

Mungu ni mwema wakati wote!
Stupid, the ultimate responsibility rests on Rais. Unawajibika kwa atrocities za waliochini yako.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom