CHADEMA acheni kupoteza muda, Tamko lishatolewa na Mtei

Tumejaribu sana kuonyesha upande huu wa CDM ambao upo influential. Lakini washabiki wengi wanazima.
 
I cant see how Freeman Mbowe atakavyoweza kuja na tamko la wajumbe wa katiba zaidi ya hayo aliyoyasema mwanzilishi wa CHADEMA bwana Edwin Mtei ambaye ni baba mkwe wa Freeman Mbowe.

sasa nawashauri Chadema, msipoteze muda wa kuita press conference msiharibu mazingira kuchapisha tamko kwenye makaratasi.

Msimamo wa Ed Mtei ni kuwa wajumbe wakatiba ni waislam wengi kuliko wakristo na sababu zake Pasco alishazichambua na kila mtu kaziona kuwa ni muflis (najua watakuja kumparamaia Pasco kuwa ni Mgamba etc) lakini naomba tusipotezeane muda.

Unless juna jopo la waliobobea kwenye hii issue ya constitution ( includingwaziri kivuli wa katiba na sheria) waje na hoja zilizosheheni kwa nini wanamuunga mkono Mtei.
Tinker, nyinyi ndio mnao tuharibia jf yetu!. Mzee Edwin Mtei amepost as a member na mawazo yake ni yake binafsi na sio ya Chadema!. Kuyatumia mawazo yake na kuyalazimisha ndio yawe ya Chadema ni kuto mtendea haki!. Huku ni kumlisha maneno mdomoni na kumsingizia na hata kumuogopesha kuwa next time kila atakacho sema yeye kitachukuliwa ndio msimamo wa Chadema wakati sii kweli, huku ni kuingilia uhuru wa member humu!.

Pili wengi wamemjibu Mzee Mbowe, why umeni quote mimi tuu?!. Huu ni uchonganishi!. Kwa vile mimi najulikana wazi msimamo wangu, na tumeisha wahi kutofautiana na baadhi ya misimamo ya Chadema, hapa umenitumia mimi ili kuwa provoke Chadema kuwa Pasco ametofautiana na Muasisi wao, ili kuendelea kujiaminisha mimi ni CCM damu kwa hiyo nitapingana na chochote cha Chadema no matter ni kizuri kiasi gani!.

Mode: Fungilia mbali thread ni ya uzandiki, uchochezi na uchonganishi!.

Tulikuwa na kina Zitto, Dr. Slaa, Nape, Dr Kigwa etc kama regulars sasa wanakuja once in a while kwa sababu ya kuvunjiwa heshima, au mawazo yao kutotendewa haki, tusiiache hali hii kuendelea tutawapoteza kuweapoteza wana jf wachache muhimu hata kama tutaingiza wengine kwa mamia!
 
Yeah waacha wawe wengi kama watatoa Mapendekezo Mazuri, Miafaka Mizuri sidhani hiyo ni Tatizo

Mnakumbuka Kenya? Walikuwa na Wahindi Majaji wawili ambao ndio viongozi wa Muafaka wa Katiba ndio wao waliokuwa

na Mawaidha ya Mwisho Angalia Katiba ya Kenya Ilivyotoka hakuna aliyeipinga kila mtu anaikumbatia

Wahindi Kenya ni alilima 2 ya Ididi ya Wananchi wa Kenya lakini wametoa Katiba bora kwa Wananchi wa Aina yote wa

Kenya

Tusihangaike na nani na nani katajwa, kitu tunataka ni nini kilichoko akilini mwano kitaisaidia Taifa la Tanganyika na

Zanzibar

Na Sio Maumbile yao Unene wao, Mapaja yao, Vidole Vyao... lakini ukiwafinya hao woote watatokwa na damu nyekundu?

Katiba ya Kenya ambayo imebeba upendeleo kwa waislamu si mfano wa katiba nzuri. Kina shehe Ilunga na Issa Ponda katika mihadhara yao kila siku wanasifia waislamu wa Kenya walivyoingia katika uchaguzi kama kundi maslahi na kupatana na Odinga kuwa lazima awape mahakama ya kadhi ili wampe kura. Na leo kweli imo katika katiba ya Kenya. Isitoshe hiyo katiba inasema katika taasisi yoyote hakuna mtu atayeruhusiwa kuajiri mtu kwa misingi ya udini. Lakini katika taasisi ya kuendesha mahakama ya kadhi wanaoruhusiwa kuajiriwa ni waislamu tu. A sheer contradiction! Huo ndio udini tusioutaka katika katiba yetu. Kila mtu awe huru kufuata au kutofuata dini anayotaka. Kuna waislamu wengependa kuachana na uislamu lakini inawawia vigumu wasiadhibiwe na waislamu kwa kuritadi. Tunataka demokrasia ya ukweli!!!
 
mtei anatakiwa apumzike siasa amezeeka mno!anaanza kurudi utotoni,cdm wawe makini na maneno yake sometimes
Binafsi sijapata kauli kamili aliyoitoa mzee wetu Mtei (CHADEMA founder) lakini kutokana na malalamiko ya wengi waliochangia thread hii inaonyesha kwama amezungumzia uwakilishi wa tume kaktika mtazamo wa kibaguzi kidini.

Kama ndivyo ni bahati mbaya sana kwake kwa heshima aliyonayo kama miongoni mwa wanamageuzi wa mwanzo kabisa ndani ya nchi hii, nitaendelea kuchangia nitakapopata kwa hakika amesema nini ila hali kama ni hiyo inasikitisha!
 
dscf0060.jpg

pichani: Freeman Mbowe akiwa na dedi yake...Ed Mtei

I cant see how Freeman Mbowe atakavyoweza kuja na tamko la wajumbe wa katiba zaidi ya hayo aliyoyasema mwanzilishi wa CHADEMA bwana Edwin Mtei ambaye ni baba mkwe wa Freeman Mbowe.

sasa nawashauri Chadema, msipoteze muda wa kuita press conference msiharibu mazingira kuchapisha tamko kwenye makaratasi.

Msimamo wa Ed Mtei ni kuwa wajumbe wakatiba ni waislam wengi kuliko wakristo na sababu zake Pasco alishazichambua na kila mtu kaziona kuwa ni muflis (najua watakuja kumparamaia Pasco kuwa ni Mgamba etc) lakini naomba tusipotezeane muda.

Unless juna jopo la waliobobea kwenye hii issue ya constitution ( includingwaziri kivuli wa katiba na sheria) waje na hoja zilizosheheni kwa nini wanamuunga mkono Mtei.

nchi hii ina watu wa ajabu sana.

kwani ni uwongo kusema kuwa Waislam ni wengi kwenye tume ya katiba?

kwani ni dhambi kusema kuwa wakristo wa zanzibar wamebaguliwa?
 
Wameshaanza kulewa sifa hao ss mtei anasema eti ina waislam wengi alitaka wawekwe watu wa kaskazin nn........ am very much disapointed ckutegemea huyu mzee anaweza kutoa mawazo mufilisi kama hayo......

You didn't think criticaly/big guy!
 
Tumeanza vizuri, Waislamu wengi kuliko Wakristo.
Tukiondoka hapo tuje kwenya Shia/Sunni/Ibadhi/Sanashir wangapi, Wakatoliki/Prostetant/Walokole wangapi. Baadaye kila kanda imetoa wangapi na pengine mkoa na wilaya, bila ya kusahau wanawake na wanaume wangapi. Ah, nilisahau vijana na wazee wangapi.

Maneno aliyamaliza Nyerere, dhambi ya ubaguzi ni mzunguko usiokwisha.
 
Huyu mtu anaitwa PASKO ni nani hasa kati ya watanzania miliona45?.

ni kweli kabisa hiyo tume inawalakini,haiwezekani tume kati ya wati 15 wa 4 tu ndiyo wakristu,hapo lazima twe na wasiwasi sana tu. Mimi siyo mkristu lakini hawa wenzetu lazima wawe na wasiwasi kwa uchaguzi huu. Tuweke embeni hisia zetu na utofati wetu na tutendee wenzetu haki.ingekuwa ni sisi waislamu ninavyo jua tungepiga kelele misikitini mpaka basi.nisawa tume pendelewa lakini pendeleo hu sio wa haki tunahitaji uwasawa katika kila eneo.hi ni katiba ya wananchi wote,nani moyo wa nchi tunataka itungwe kwa makini na isiache lawama kwa hata mmoja wetu.nilifahamu hili lazima litokee,sicho taka kutendewa usintendee mwenzako na kkimbilia HOJA YA UDINI,

Hoja hii niya msingi wenzetu wasikilizwe.

we sio bure ulutheran umekupitiliza we si mwislam,
 
Kimsingi almost wajumbe wote ni waislamu. Lazima kuna ajenda ya siri hapa. Yeyote anayejifanya haoni hii atakuwa muislam pia hivyo anatetea waislam wenzake.

Huu udini ni mbaya sana, ikizingatiwa anayefanya hivi ni Rais mwenyewe. Narudia tena karibuni wajumbe wote ni Waislamu, hapa kutakuwa na maslahi ya waislamu au wanataka katiba kama ya Nigeria na nchi nyingine za Kiislamu.

Siungi mkono wajumbe wengi kuwa waislamu.

ukiona mtu aneleta mambo ya udini ktk swala muhimu ujue huyu cdm, tume imeteuliwa na rais ameiamini nyinyi mnaleta mambo ya dini chadema nyinyi ni wadini wa kikristo mbona cuf hawasemi wala ccm inamana cdm ndo imewauma au kutokuwepo wachagga mnasingizia dini.
 
Tinker, nyinyi ndio mnao tuharibia jf yetu!. Mzee Edwin Mtei amepost as a member na mawazo yake ni yake binafsi na sio ya Chadema!. Kuyatumia mawazo yake na kuyalazimisha ndio yawe ya Chadema ni kuto mtendea haki!. Huku ni kumlisha maneno mdomoni na kumsingizia na hata kumuogopesha kuwa next time kila atakacho sema yeye kitachukuliwa ndio msimamo wa Chadema wakati sii kweli, huku ni kuingilia uhuru wa member humu!.

Pili wengi wamemjibu Mzee Mbowe, why umeni quote mimi tuu?!. Huu ni uchonganishi!. Kwa vile mimi najulikana wazi msimamo wangu, na tumeisha wahi kutofautiana na baadhi ya misimamo ya Chadema, hapa umenitumia mimi ili kuwa provoke Chadema kuwa Pasco ametofautiana na Muasisi wao, ili kuendelea kujiaminisha mimi ni CCM damu kwa hiyo nitapingana na chochote cha Chadema no matter ni kizuri kiasi gani!.

Mode: Fungilia mbali thread ni ya uzandiki, uchochezi na uchonganishi!.

Tulikuwa na kina Zitto, Dr. Slaa, Nape, Dr Kigwa etc kama regulars sasa wanakuja once in a while kwa sababu ya kuvunjiwa heshima, au mawazo yao kutotendewa haki, tusiiache hali hii kuendelea tutawapoteza kuweapoteza wana jf wachache muhimu hata kama tutaingiza wengine kwa mamia!

Edwin Mtei ni muasisi wa Chadema na binti yake kaolewa na Freeman Mbowe, mwenyekiti wa Chadema sasa leo katoa tamko kuhusu wajumbe wa Katiba je unataka kutuambia kuwa Freeman ataacha kumsikiliza dedi yake?

seriously?

halafu I disagree with you kuwa thread ifungwe kwa sababu hukubaliani na mawazo ya watu humu. If anything thread iko within the realm of discussion humu JF. Hajatukanwa mtu wala hajatolewa kashfa yoyote ile sasa kwa nini unataka kutumia rungu la kuwanyima wengine nafasi na uhuru wa kutoa mawazo yao?

Kwa mtu mwenye hadhi yako naogopa sana unapokuja na statements ambazo zinamwelekeo wa kubana uhuru wa mawazo. Bwana Pasco last time I checked Jamii Forums welcomed debate and dissent, but NOT personal attacks (on authors, other users or any individual), I cant see any reason why you would even think of advocating thread closure.

I understand that at times that people often feel strongly about issues debated on the forum, so I ask you politely to respect other people's views and beliefs (regardless of how much you disagree with then) and consider your impact on others when making your contribution aimed at closing the thread for no apparent reason whatsoever.
 
dscf0060.jpg

pichani: Freeman Mbowe akiwa na dedi yake...Ed Mtei

I cant see how Freeman Mbowe atakavyoweza kuja na tamko la wajumbe wa katiba zaidi ya hayo aliyoyasema mwanzilishi wa CHADEMA bwana Edwin Mtei ambaye ni baba mkwe wa Freeman Mbowe.

sasa nawashauri Chadema, msipoteze muda wa kuita press conference msiharibu mazingira kuchapisha tamko kwenye makaratasi.

Msimamo wa Ed Mtei ni kuwa wajumbe wakatiba ni waislam wengi kuliko wakristo na sababu zake Pasco alishazichambua na kila mtu kaziona kuwa ni muflis (najua watakuja kumparamaia Pasco kuwa ni Mgamba etc) lakini naomba tusipotezeane muda.

Unless juna jopo la waliobobea kwenye hii issue ya constitution ( includingwaziri kivuli wa katiba na sheria) waje na hoja zilizosheheni kwa nini wanamuunga mkono Mtei.

Huu udini hautaisaidia CCM, CDM au CUF. Ila kwa kuuongelea udini wa CDM zaidi muathirika anakuwa ni CCM. I hope CCM strategists know that. On one hand wanawaunganisha wakristo na kuwaamsha kuunga mkono chama fulani at the same time waislam wote wenye uelewa kama mimi tutajiunga na CDM na CCM itakuta imebakia na waislam wachache ambao watagawana na CUF. Tuache udini tuangalie uwezo wa mtu, Tume haina mamlaka ya kutoa final product ya katiba, kama kutakuwa na vipengere vya kupendelea dini fulani basi hatutaipigia kura ya NDIYO hiyo rasimu.
 
Last edited by a moderator:
nchi hii ina watu wa ajabu sana.

kwani ni uwongo kusema kuwa Waislam ni wengi kwenye tume ya katiba?

kwani ni dhambi kusema kuwa wakristo wa zanzibar wamebaguliwa?

huo ni udini fika, tena unatia wasiwasi huyu mtei inawezekana kaona mchaga hayupo ktk tume ana singizia dini mtei acha kuingamiza nchi kwa udini wako na ukabila hatutaki utuchonganishe hii nchi ya amani, wakristo wapo kina cheyo, mrema,mvungi hawajasema ni wewe ndio mwenye macho makali mtei acha udini nawewe unaemtetea ndio mchochezi mkubwa
 
Huu udini hautaisaidia CCM, CDM au CUF. Ila kwa kuuongelea udini wa CDM zaidi muathirika anakuwa ni CCM. I hope CCM strategists know that. On one hand wanawaunganisha wakristo na kuwaamsha kuunga mkono chama fulani at the same time waislam wote wenye uelewa kama mimi tutajiunga na CDM na CCM itakuta imebakia na waislam wachache ambao watagawana na CUF. Tuache udini tuangalie uwezo wa mtu, Tume haina mamlaka ya kutoa final product ya katiba, kama kutakuwa na vipengere vya kupendelea dini fulani basi hatutaipigia kura ya NDIYO hiyo rasimu.

Mkuu,

Hapa naona unateleza kidogo udini utaangamiza chama chochote hapa nchini iwe CCM, CUF, Chadema. For your information wakristo wengi 2010 waliipigia kura Chadema hilo sio siri na hata maaskofu walikuwa wakipiga ndogo ndogo na kilichotokea kila mtu anajua walishindwa urais. CUF walitumia kura ya uislamu miaka ya 90 na 2000 wakashindwa. CCM wanaakili sana wanawachomekea propaganda ya udini ikiwavaa vizuri wapinzani wao wanajitenga ndio maana wanawashinda wapinzani kila siku. Naona chama chochote cha upinzani kijitenge na udini na kikatae dhana ya udini ili kiweze kuchukua nchi vyenginevyo hakuna upinzani utachukua nchi mkuu iwe 2015 au kuendelea kwani watanzania wengi hawataki ubaguzi
 
Last edited by a moderator:
Wakristo wa Zanzibar walistahili kupewa uwakilishi pia. Uwepo wao hauwezi kuwa neglected kiasi hicho. Tukubalini ukweli, tume ina mapungufu fulani.
 
Mtei kaachemkaaa kama alivyochemka jusa.sema ye cdm tu ndo mana hatalaumiwa sana
 
Huyu mzee chuki zake kwa waislam zimefurumia miaka mingi sasa mwenyezimungu anamtapisha kabla hajamuita kwenye makazi ya kudumu ili liwe funzo kwa wataobaki duniani,Zitto alisema kuna baadhi ya watu wanamchukia kwa sababu ya dini yake,alipoulizwa mzee Mtei kwa nn kashinikiza Zitto atoswe alisema I cant leave my PARTY to person from NOWHERE,sasa ndo nafaham from Nowhere alimaanisha nn? Kwa mtindo huu Ikulu mtaenda kunywa Juice tu,bora tuchague mafisadi kuliko wadini!
 
dscf0060.jpg

pichani: Freeman Mbowe akiwa na dedi yake...Ed Mtei

I cant see how Freeman Mbowe atakavyoweza kuja na tamko la wajumbe wa katiba zaidi ya hayo aliyoyasema mwanzilishi wa CHADEMA bwana Edwin Mtei ambaye ni baba mkwe wa Freeman Mbowe.

sasa nawashauri Chadema, msipoteze muda wa kuita press conference msiharibu mazingira kuchapisha tamko kwenye makaratasi.

Msimamo wa Ed Mtei ni kuwa wajumbe wakatiba ni waislam wengi kuliko wakristo na sababu zake Pasco alishazichambua na kila mtu kaziona kuwa ni muflis (najua watakuja kumparamaia Pasco kuwa ni Mgamba etc) lakini naomba tusipotezeane muda.

Unless juna jopo la waliobobea kwenye hii issue ya constitution ( includingwaziri kivuli wa katiba na sheria) waje na hoja zilizosheheni kwa nini wanamuunga mkono Mtei.

Wachagga wana ajenda ya siri ndugu zangu tuwe macho,Tanzania itageuka Rwanda ya enzi zile tusipowatizama hawa jamaa kwa jicho la tahadhari,unawaona hapo kwenye picha wako watatu mmoja mchana anakuwaga ccm
 
hivi mtoa maada haoni jutokuwepo kwa mkristu hata mmoja kati ya wale wajumbe 15 kutoka zanzibar/ na wale makatibu wa2 wa tume nao?
tuache ushabiki kwenye ukweli tuseme, tusimung'unye maneno
 
Wakristo wa Zanzibar walistahili kupewa uwakilishi pia. Uwepo wao hauwezi kuwa neglected kiasi hicho. Tukubalini ukweli,
tume ina mapungufu fulani.
idadi ya wakristo Znz ni ndogo kuliko ya baniani hapa bara je baniani nao walilie mwakilishi? Basi htakuwa kazi ya ajabu au mzee Mtei aje na tume itayojumuisha uwakilishi wa kidini,kikabila,rangi,jinsia,kikanda,taaluma,kipato ili kupunguza manung'uniko then JK aibariki hiyo tume yenye mchanganyiko huo,tulitegemea haya madai yatolewe na Chadema masalia sio mzee kama huyu ambae tuliamin ni kisima cha busara kumbe bwawa la chuki!
 
Huu udini hautaisaidia CCM, CDM au CUF. Ila kwa kuuongelea udini wa CDM zaidi muathirika anakuwa ni CCM. I hope CCM strategists know that. On one hand wanawaunganisha wakristo na kuwaamsha kuunga mkono chama fulani at the same time waislam wote wenye uelewa kama mimi tutajiunga na CDM na CCM itakuta imebakia na waislam wachache ambao watagawana na CUF. Tuache udini tuangalie uwezo wa mtu, Tume haina mamlaka ya kutoa final product ya katiba, kama kutakuwa na vipengere vya kupendelea dini fulani basi hatutaipigia kura ya NDIYO hiyo rasimu.

Wewe unauelewa kiasi gani hadi kuwachagulia waislam chama cha kujiunga?? wewe ukiwa chadema ni mbeba begi wa maboss wako (hadi kiama) maana hujitambui wala waislam huko hawana nafasi..maximum they can offer you et al. ni kuwasaidia wakristo kama kawawa na nyerinyeri..otherwise una hatarisha uanachama wako..

Waislam watajiunga kwa chama wanachotaka kati ya vyama 19 vyenye usajili.. kwamba wakristo watakiunga mkono chadema mbona hilo liko wazi kama mwanga wa jua la mchana...lakini kamwe kura za wakristo hazitoshi kwenda ikulu..lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom