CHADEMA acheni kupoteza muda, Tamko lishatolewa na Mtei

Kimsingi almost wajumbe wote ni waislamu. Lazima kuna ajenda ya siri hapa. Yeyote anayejifanya haoni hii atakuwa muislam pia hivyo anatetea waislam wenzake.

Huu udini ni mbaya sana, ikizingatiwa anayefanya hivi ni Rais mwenyewe. Narudia tena karibuni wajumbe wote ni Waislamu, hapa kutakuwa na maslahi ya waislamu au wanataka katiba kama ya Nigeria na nchi nyingine za Kiislamu.

Siungi mkono wajumbe wengi kuwa waislamu.

CDM km akil zenu wakat wote zinafikir udini basi hamtufai kbs kuongoza nchi hii
 
Huyu mzee Mtei kumbe ni mdini kiasi hicho eti anasema wajumbe wa Tanzania Bara kuna Wakiristo na wengine hawana dini nimemuliza tutajie hao ambao hawana dini kakimbia thread yake hawa wazee ndio wamelifikisha hapa taifa letu.
Alisemea wapi? Nani alisema tamko la Mtei ndilo tamko la chadema? Chadema ni chama makini na ndio maana hawatoi tamko bila kukaa vikao
 
Dah! Huyu Mtei atakuwa mdini namba moja. Nadhani anachofanya Mtei ni ku divert attention kwakuwa anaona wazi kuwa kwenye timu ya bara waislam wachache.

Mimi ni muislam and I care less namba ya waislam au wakristo kwenye hiyo team ya katiba mpya. Cha muhimu ni kwamba wahakikishe watanzania wote wanapata haki sawa mwisho wa siku.

I hope mtei ametoa mtazamo wa binafsi sio wa Chadema
 
dih! huyu mzee kanichefua
kweli, kwani alikuwa hajuwi kuwa Zanzibar ni waislam watupu! usawa huo anaoutaka haiwezekani, CDM mnyamazisheni mzee atawaharibia.
 
mtei anatakiwa apumzike siasa amezeeka mno!anaanza kurudi utotoni,cdm wawe makini na maneno yake sometimes

Hivi kweli tulimwelewa huyo Mzee? Mimi ninawasisi. Hoja ya Mtei haikuwa kubagua Wajumbe kwa Dini za, Bali ni uwiano wa uwakilishi. Zanzibar yenye watu milioni 1.2 inawakilishwa na wajumbe 15 na Tanzania yenye watu milioni 46, inawakilishwa na wajumbe 15 (zote ziwakilishwe na idadi sawa ya wajumbe) si sawa. Hata kama sheria imefuatwa lakini hiyo sheria ni MBOVU haifai. TUJARIBU KUTENDEA HAKI MAONI YA HUYU MZEE WETU. Yeye aliandika hivi:

"Licha ya kwamba J.K. kajitahidi kuwa na vigogo kweli kweli, na Katiba ya sasa imezingatiwa katika kuandaa m'badala wake, muundo wa hii tume umedhihirisha kwamba demokrasia ya kweli ni ndoto kwa Watanzania wa leo. Kama tunanuia kwa dhati kuwa na Demokrasia ya kweli, itabidi Watanzania wanaoamini kwamba hilo ni muhimu, waendelee na juhudi za kuandaa hata Mabadiliko kwa Katiba Mpya ijayo.

Kwa mfano ni jambo la kichekesho kwamba Tanzania Bara ambayo ina Watu takriban 42 milioni iwakilishe na wajumbe sawa na Tanzania Zanzibar ambayo ina watu wasiozidi 1.5 milioni. Mfano wa pili ni kwamba, licha ya kwamba Tanzania si nchi inayozingatia dini katika maamuzi yake ya kisiasa, ni lazima tukubali kuwa madhehebu ya dini yana influence katika mchakato na hatimaye maamuzi. Nikihesabu Waislamu katika hii tume kwa kuzingatia majina naona zaidi ya theluthi mbili ni Wao. Wengine ni Wakristo au watu wasiokuwa na dini yoyote.

Hata kama ni lazima tujali Muungano wa Jamhuri yetu, hatuwezi kupuuza ukweli kuwa sasa kuna matatizo ya umilikaji wa raslimali maliasili (e.g. gas), na kuna wananchi wamediriki hata kwenda Umoja wa Mataifa kudai Zanzibar ijiondoe. Haya ni mambo mazito na nimeona ni vema niyataje sasa, siyo tu yajadiliwe na Tume, bali ikiwa ni lazima, basi mjadala uendelee hata baada ya Tume kutoa taarifa na Bunge Maalumu kupitisha Katiba Mpya." HAPO KUNA KOSA GANI LA KUTISHA KIASI HICHO? FUNGUKENI WANDUGU
 
kimsingi wafanye kazi kwa moyo na uzalendo wa nchi yao udini wa nin jamani? still bado katiba itarudi kwa wenye nchi ambao ni watanzania kama itaonekana imekaa kiseminary au kisharia tutaikataa.
 
...hv udini utatufikisha wapi? Aaghrr, a we great thinkers with basing on certain religion? Mtei is not a spokesman of chdm....we ave 2make sure that we are not basing on religion otherwise.......
 
km tunaanza kuangalia tume ya katiba kwa mtazamo huo vilevile tuangalie muundo wa uongozi wa kada zote kuanzia juu hadi chni na liingizwe kwenye katiba mpya!
 
Hivi kweli tulimwelewa huyo Mzee? Mimi ninawasisi. Hoja ya Mtei haikuwa kubagua Wajumbe kwa Dini za, Bali ni uwiano wa uwakilishi. Zanzibar yenye watu milioni 1.2 inawakilishwa na wajumbe 15 na Tanzania yenye watu milioni 46, inawakilishwa na wajumbe 15 (zote ziwakilishwe na idadi sawa ya wajumbe) si sawa. Hata kama sheria imefuatwa lakini hiyo sheria ni MBOVU haifai. TUJARIBU KUTENDEA HAKI MAONI YA HUYU MZEE WETU. Yeye aliandika hivi:

"Licha ya kwamba J.K. kajitahidi kuwa na vigogo kweli kweli, na Katiba ya sasa imezingatiwa katika kuandaa m'badala wake, muundo wa hii tume umedhihirisha kwamba demokrasia ya kweli ni ndoto kwa Watanzania wa leo. Kama tunanuia kwa dhati kuwa na Demokrasia ya kweli, itabidi Watanzania wanaoamini kwamba hilo ni muhimu, waendelee na juhudi za kuandaa hata Mabadiliko kwa Katiba Mpya ijayo.

Kwa mfano ni jambo la kichekesho kwamba Tanzania Bara ambayo ina Watu takriban 42 milioni iwakilishe na wajumbe sawa na Tanzania Zanzibar ambayo ina watu wasiozidi 1.5 milioni. Mfano wa pili ni kwamba, licha ya kwamba Tanzania si nchi inayozingatia dini katika maamuzi yake ya kisiasa, ni lazima tukubali kuwa madhehebu ya dini yana influence katika mchakato na hatimaye maamuzi. Nikihesabu Waislamu katika hii tume kwa kuzingatia majina naona zaidi ya theluthi mbili ni Wao. Wengine ni Wakristo au watu wasiokuwa na dini yoyote.

Hata kama ni lazima tujali Muungano wa Jamhuri yetu, hatuwezi kupuuza ukweli kuwa sasa kuna matatizo ya umilikaji wa raslimali maliasili (e.g. gas), na kuna wananchi wamediriki hata kwenda Umoja wa Mataifa kudai Zanzibar ijiondoe. Haya ni mambo mazito na nimeona ni vema niyataje sasa, siyo tu yajadiliwe na Tume, bali ikiwa ni lazima, basi mjadala uendelee hata baada ya Tume kutoa taarifa na Bunge Maalumu kupitisha Katiba Mpya." HAPO KUNA KOSA GANI LA KUTISHA KIASI HICHO? FUNGUKENI WANDUGU
Huwezi endelea kutetea madudu haya mkuu wangu achana nayo kabisa... wewe unaamini maneno ya Mtei aliposema:- Ni lazima tukubali kuwa madhehebu ya dini yana influence katika mchakato na hatimaye maamuzi?

Kama kuna ukweli ktk maneno haya, Je ni influence kama zipi ambazo zimetumika ktk mchakato wowote ule?.. Je hii haitupi shuku ya kwamba kumbe muda wote serikali yetu imekuwa influenced na madhehebu ya dini ktk maamuzi yake? sasa wanapolalamika watu kuhusu dini kuwa na influence kubwa serikalini kwa nini huwa tunapinga?

Hivi mlitaka Zanzibar walete wajumbe gani? tupeni majina yao basi - hamtaki. Kwa nini mnaingilia hata uchaguzi wa wajumbe wa Wazanzibar lakini? yaani tuwachagulie hadi wajumbe wa kuingia ktk tume jamani tumezidi kuburura watu..Mbona bara tuna wakristu wengi hamtaki kulitazama hilo ambalo linatuhusu sisi na wamechaguliwa kwa ajili ya uwakilishi wa bara tunakoishi na waislaam wa bara hawasemi lolote..tena tunawakubali wengi sana wakristu waliochaguliwa..Why?

Wakuu zangu msitake kutuharibia chama, aloyasema Mtei yamekataliwa na chama na hayaungwi mkono na kiongozi yeyote wa Chadema. Leo hii huko Marekani kuna mama mmoja karopoka hivyo hivyo kwenye tweet kwa majibizano, viongozi wa Demokratic wote wamemruka. Na mama huyo kajirudi, amekubali kufanya makosa na hata kuomba radhi pasipo kuathiri chama ktk uchaguzi huu.
 
Mkuu,

Huyu mzee ni muasisi wa hichi chama au kitaalamu anaitwa founder wa Chadema ni sawa na Nyerere kwa CCM ana influence kubwa sana chamani kwake. Kama ana fikra hizi si hasha hata hao wengine wana mtazamo huo huo ni vema Chadema wakaja kukanusha hili kwani tunataka watu makini katika tume na sio dini? Tukitazama dirisha la dini mtaibua grievance za waislamu za siku nyingi ambazo zinaweza kupelekea nchi kubaya ni vema Chadema wakawa makini na hilo.

Hii ndio mbinu pekee ambayo CCM wamebaki nayo kuwashambulia wanaharakati wa mageuzi ya Tanzania. Ukileta mada ya kuinua maisha ya watanzania wanatulia kimya. Mada ya kutugawa wana CDM wanachochea upuuzi huo. We know what to do hamuwezi kuzima moto wetu. Uimara wa chama hautegemei fikra za muasisi wake thats why hakikuchukua dola mapema kama ilivyokua kwa nyerere bali ingawa walidhulumu 2010, 2015 kitaeleweka.\
 
Back
Top Bottom