CHADEMA acheni kukopi na kupest toka CCM

Limbukeni mkubwa wewe umetumwa na watu wa magamba haya sasa nenda ofisi za ccm ukachukue posho,mana umetekeleza ulichotumwa na NAPE,ANGUKO LENU CCM
 
kamati kuu, ilani, kamati ya maadili na mengine mengi na sasa mnataka kufungua tawi eti uk kisa ccm nao wamefungua. Udokta wenu uko wapi mnashindwa kuja na mfumo mwingine tofaut kabisa? Ndio maana mm nimehama chadema koz hapo juu kuna watu watatu chama wanafanya kama kampuni yao.

Nafasi zakusomesha vjana wao ndowana kauli ya mwisho mfano kimemo alichokuja nacho puye toka kwa mkubwa akapewa cheki wakati kuna vijana kibao wapiganaji hawapewi hata vocha kuwasaidia vyuoni. Majina ya nafasi ya bavicha tayari mlishasema eti yeyote mwenye harufu ya ztto, mpendazoe, wangwe na dk safari jina alitakubaliwa.

Nakwambia kwa ninayoyajua toka chadema hamtafika mbali, kumbuka dk slaa wakati wamjadala wakatiba karimjee pale nyuma ya gari yako ulikuwa ukiongea nini kuhusu zitto na mbowe kwa simu wakati unaongea na lema kuhusu mgombea urais wa chadema 2015.

Acheni kuwahadaa watz eti mnatetea haki na kwambieni kama si hekima za mzee baregu hapo nikundi la walafi tu linalowaonea wivu ccm nalo likitaka kwenda likale tu.
akili za kushikiwa hizo. Wewe ni moja ya kenge wachahche walio salia.
 
Peleka utapia elimu wako wa magamba fisi - adi mkubwa wewe. nani alikuambia uvute bangi ukiwa umejifungia chooni? haya sasa ona zinavyo kuumbua.Scrutunize your mind mzee acha kukurupuka CDM ni chama kubwa huwezi ukailinganisha na vilaza wa CCM. PIPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOZZZZ..
 
Bwana mdogo Tumaini acha upambe sio unapelekwa tu unakwenda kama Ling'ombe, Peleka utapia elimu wako wa magamba fisi - adi mkubwa wewe. nani alikuambia uvute bangi ukiwa umejifungia chooni? haya sasa ona zinavyo kuumbua.Scrutunize your mind mzee acha kukurupuka CDM ni chama kubwa huwezi ukailinganisha na vilaza wa CCM. PIPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOZZZZ..
 
Tumaini acha upambe bwana mdogo sio unapelekwa tu unakwenda kama ling'ombe, wewe ni virus ngoja nikuscan Peleka utapia elimu wako wa magamba fisi - adi mkubwa wewe. nani alikuambia uvute bangi ukiwa umejifungia chooni? haya sasa ona zinavyo kuumbua.Scrutunize your mind mzee acha kukurupuka CDM ni chama kubwa huwezi ukailinganisha na vilaza wa CCM.Kafie mbali huko. PIPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOZZZZ..
 
Nadhani si mbaya kwa chama kuwa na tawi nje ya nchi, chamsingi hapo ni kuhakikisha utendaji wa hayo matawi haupishani sana na shughuri za chama husika ndani ya nchi. CCM wafungue matawi popote, ata ikibidi bafuni. CDM kipo mioyoni mwetu, kinang'aa na mimi. TUTASHINDA!
 
Back
Top Bottom