CHAD 1 - 2 Taifa Stars: Tanzania Kidedea!

Safi sana vijana, sasa wakija huku tunawapiga zao wakalale. Msituletee yale ya Central Africa. Ahsante!
 
FT Chad [1 - 2] Tanzania
11'[0 - 1]M. Ngasa
goal.gif
12'[1 - 1]A. Labo
goal.gif
80'[1 - 2]B. Hamadi
goal.gif
 
Safi sana tumejisafishia njia ya kwenda kwenye makundi kama tukipita kundi letu tupo na Morocco na Ivory Cost kazi ipo wafungaji Mrisho Ngassa dakika ya 11 na Hamadi dakika ya 80. Hongera Stars.
 
sasa TFF wanacheka mana wanajua mechi ya marudiano mtu lazima zijae U/taifa watavuna milioni 600 watatangaza wamepata milioni mia 3 hahahahahahah
 
Back
Top Bottom